Nandy atafutwa na Usher Raymond kwaajili ya remix ya wimbo wa "Dah"

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya THE AFRICAN PRINCES Nandy, ameweka wazi kutafutwa na msanii wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond kwa ajili ya Remix ya wimbo wake wa Dah ambao awali alimshirikisha Msanii Alikiba.

Nandy ameshare chat zake na Usher akimuomba aweke Verse.

Snapinsta.app_426048389_265350829924857_4646664410677886116_n_1080.jpg

Nini maoni yako?
 
Kama ni kweli, hiyo ni good step 👏🏾👏🏾👏🏾

Japo najaribu kupatia picha, Usher ataweka verse ipi kwenye hiyo pure bongo flava 😁
Nadhani Usher baada ya kuisikiliza aliona Kuna kitu anaweza fanya, wanasema Music is the universal language , hata Kama msanii mwingine haelewi lyrics anaweza ku feel rhythm na Melody na kuelewa nyimbo inahusu Nini...
 
Ni kweli mkuu, hata Alaine aliimba na willy Paul lakini wimbo ukawa hit.. Huwezi jua kama Nandy akifanikisha hili, pengine pure bongo flava itatambulishwa duniani zaidi
 
Hamna cha remix wala nini, hapo wanagombania kutrend na kuizima Mapozi, kama nae Mondi jana alivyo trend na yule ndege aliyeenda nyumbani kwake ili aizime Dah.

Hapo hamna remix yoyote, halafu siku hizi kwenye ulimwengu wa AI na App ambazo zinaweza kutengeneza chat na watu mbalimbali ikaonekana kweli.

Ila remix haipo amefanya hivyo ili kuendelea kuipromoti nyimbo yake,ila hana remix na Usher haipo.

Mwendo wa Kiki tu hapo,hapo bado nae Konde anaplan atoke na kiki gani,maana baada ya kutoa audio akaja na kiki ya kukunja chupi, video sijui atakuja na kiki gani.

Ukifuatilia mziki wabongo wasanii karibia wote wanapenda kiki, kuacha wimbo uptrend wenyewe hawawezi,ndio maana na wakubali Darrasa na Mboso.
 
Hamna cha remix wala nini ,hapo wanagombania kutrend na kuizima Mapozi, kama nae Mondi jana alivyo trend na yule ndege aliye enda nyumbani kwake ili aizime Dah.

Nyie WBC acheni wivu bhn. Mondi andelee tu na Mapozi.
 
ah inapendeza. bongo kwa mademu ukiondoa malegend wa zaman, kwa sasa ni nandy, maua sama na zuchu upande wa mademu. lakini kwangu namba 1 wao nandy. chikonda ruby kana dharau sana na hit song zake 2 sijui 1
Ruby kashawahi kukuletea wewe dharau Gani!?
 
Hamna cha remix wala nini ,hapo wanagombania kutrend na kuizima Mapozi, kama nae Mondi jana alivyo trend na yule ndege aliye enda nyumbani kwake ili aizime Dah.

Hapo hamna remix yoyote, halafu siku hizi kwenye ulimwengu wa AI na App ambazo zinaweza kutengeneza chat na watu mbalimbali ikaonekana kweli.

Ila remix haipo amefanya hivyo ili kuendelea kuipromoti nyimbo yake,ila hana remix na Usher haipo.

Mwendo wa Kiki tu hapo,hapo bado nae Konde anaplan atoke na kiki gani,maana baada ya kutoa audio akaja na kiki ya kukunja chupi, video sijui atakuja na kiki gani.

Ukifuatilia mziki wabongo wasanii karibia wote wanapenda kiki, kuacha wimbo uptrend wenyewe hawawezi,ndio maana na wakubali Darrasa na Mboso.
Wachachewatakuelewa mkuu!
Bongo janja janja kila mahali
 
Back
Top Bottom