whatsapp

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Anatumiwa video za girlfriend wake WhatsApp. Je, afanye maamuzi gani?

    Kuna mambo mengine ya ajabu sana aisee, kuna muhuni anamtumia rafiki yangu videos nyingi 50 kidogo, akiblokiwa anatuma kwa namba nyingine, namba za Whatsapp anazotumia ni za china , india, urusi, n.j binafsi nlicheki video mbili tu kwa lengo la uchunguzi Ili nitoe wazo au msaada ila nilitoka...
  2. B

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu fursa ya kutumia bussiness whatsapp kufanya biashara

    nawasalimu wote katika jukwaa hili la JamiiForum Nitazungumzia bussiness whatsapp kama nyanja muhimu ya kujiingizia kipato Mtandao wa whatsapp umekuwa ukipata umaarufu kila kukicha kwasababu unakua kwa kasi kila siku Kutoka kwenye status za kuandika mpaka status za picha na video. Kutoka...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Ireland: WhatsApp yapigwa faini ya Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi

    Mtandao wa WhatsApp umetakiwa kulipa Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ya Umoja wa Ulaya (EU) kwa kutowaambia Watumiaji wake jinsi inavyotumia Taarifa zao Tume ya Ulinzi wa Data ya Ireland imesema imebaini ukiukwaji katika namna ambayo WhatsApp ilielezea jinsi...
  4. E

    JamiiForums Tanzania 7 types of members you’ll find in your family WhatsApp group

    1. The Clown: They post jokes, memes and funny videos in the most inappropriate of forums. They can post lewd jokes in a WhatsApp group created to organise a funeral. When asked to stop, the culprits claim they are “livening up” the group because everybody else is “too serious” 2. The Flirt...
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Instagram kuwalazimisha wateja wanaojisajili kuandika umri wao kwaajili ya usalama wa watoto

    Sasisho jipya la Instagram linawataka wote wanaojiunga na mtandao huo wa kijamii kuandika umri wao, vinginevyo hawataweza kujiunga na mtandao huo. Hatua hiyo mpya ya Instagram haitawaathiri wote ambao wamekwishajisajili kwenye mtandao huo, lakini itawalenga wateja wapya wanaojisajili, ikiwa na...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Urusi yatoza Twitter, Facebook na WhatsApp faini ya fedha milioni 36 kwa kukiuka sheria ya habari

    Mahakama nchini Urusi ilitoza kampuni za mitandao ya kijamii ya Twitter, Facebook na WhatsApp faini ya fedha rubles milioni 36 (Bilioni 1.1) kwa "kukiuka sheria ya habari ya kibinafsi". Kesi zilizowasilishwa na Wakala wa Teknolojia ya Habari ya Shirikisho la Urusi na Wakala wa Usimamizi wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tusiwe makeyboard warriors: Tuingie mabarabarani kupinga kodi na tozo zisizohalali, kulalamika kwenye whatsapp group hakutasaidia

    Habari za Muda huu wana Jfs. Ni muda sasa wa takribani mwezi kumekuwa na introduction ya kile kinachoitwa tozo ambapo kwa mujibu wa Mh Rais Samia kupitia Waziri Wake Dr Mwigulu nchemba na wabunge wake wanadai ni kwa ajili ya solidarity funds ili kusaidia miradi mbali mbali ya kijamii kama...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani: Tume ya Biashara yaitaka Facebook iuze WhatsApp na Instagram

    Tume ya Biashara ya Marekani ambayo inahusika na kudhibiti ushindani wa kibiashara imefungua mashtaka dhidi ya Facebook kwa kujimilikisha (Monopolize) soko la mtandao kinyume cha sheria. Shauri hilo limeitaka Facebook iuze Instagram na WhatsApp ambapo awali shauri hilo lilitupiliwa mbali na...
  9. yahoocom

    JamiiForums Tanzania Msaada; Kurudisha Whatsapp image

    Msaada namna naweza rudisha image nilotumiwa na mtu bahat mbaya kwake kafuta. Nikijaribu kuidownload inakataa na kusema hivyo kwenye screenshot
  10. TRACE

    JamiiForums Tanzania Msaada jamaa yangu amehakiwa Whatsapp

    Samahani kama kichwa cha habari hakijatulia.Naomba mwongozo wa nini kifanyike au nimshauri rafiki yangu whatspp namba yake ime be hacked na aliyemhak sasa ana access magroup yote ambayo jamaa yupo na anamtoa na kuleta usumbufu
  11. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania WhatsApp kuruhusu kutumia huduma zake bila kuunganisha simu

    WhatsApp imesema inajaribu matumizi mapya ya mtandao huo utakaowawezesha watumiaji kutuma na kupokea ujumbe bila kutumia simu zao. Kwa sasa, mtandao huo unakulazimu kuunganisha simu yako na kompyuta ili uweze kutumia huduma zake katika tovuti (web) na programu (desktop app). Mtandao huo sasa...
  12. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna uwezekano wa kuongeza Members zaidi ya 256 kwenye kundi la WhatsApp?

    Habari, wanaJF! Title imejitosheleza. Je, Kuna uwezekano? Kama upo ni kwa namna gani? Naomba kufahamishwa.
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa pili sasa sipo group lolote la WhatsApp

    Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp. Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika. Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo. Magroup sijui ya kabila moja simo. I feel good.
  14. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

    What's app status ni kipengele moja wapo katika whats app kinacho ruhusu kupost maudhui mbali mbali na contact zako Ku view ; Je ni kitu gani cha kushangaza au kukuumiza ,kukufurahisha,kukujenga !; Uliona katika status za contact namba ulizo Nazo kwenye simu yako, Kutokana na mishe zangu...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Tutafuta tozo zote kandamizi katika Tehama

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema watafuta tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana vijana katika kujiajiri kwa kuendesha YouTube channels au blogs. Amesema vijana walikuwa wanapata shida kutokana na kodi na tozo zilizowekwa ktk uendeshaji wa blogs na YouTube...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aonya barua za Serikali kusambaa WhatsApp, Instagram

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema imeibuka tabia ya barua za ofisi za Serikali kuonekana mitandaoni akitaka taarifa hizo kuwa siri. Majaliwa ameeleza hayo leo Jumatano Juni 30, 2021 katika mkutano wa mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa mikoa na makatibu tawala Tanzania Bara na...
  17. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Mtumiaji wa WhatsApp, chunga sana usije ukaibiwa kwa mtindo huu

    ATTENTION DEAR MEMBERS For those who are posting free internet data, free this and free that. Let me teach you some basic ICT. Any Link that start with "http " is most likely a phishing link. Phishing is usually intended to get your Personal details including your date of...
  18. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania I & M Bank kuwawezesha wateja kutumia WhatsApp kufanya miamala

    Maisha yamebadilika sana, Leo Tanzania program ya whatsapp inakuwezesha kutuma na kupokea pesa I & M Bank(T) , Hii imekuwa Bank ya kwanza kuwawezesha wateja wake Tanzania kutumia WhatsApp kutuma na kupokea pesa, Kulipia bili za maji na umeme Rais Samia Suluhu Hassan akihubiri kuhusu pesa za...
  19. MKONGORO

    JamiiForums Tanzania Msaada Whatsapp yangu inajituma link kwenye Magroup

    Wakuu habarini za majukumu, Juzi nimebadilisha simu nika install WhatsApp upya Basi kila nikiifungua inajituma /kujipost link kwenye magroup yangu yote ya whatsap niliyo jiunga nayo. Hata nikiifungua kuchat na mtu link hiyo hujituma kwanza hali hii imenifanya nionekane kama tapeli...
  20. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania Group la WhatsApp latumika kuchangisha mifuko 300 ya saruji ya ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Nachingwea Boys

    Baadhi ya wananchi wa Nachingwea ambao wapo ktk kundi sogozi la WhatsApp la NACHINGWEA YETU, wamekabidhi mifuko 300 ya saruji kuunga mkono ujenzi wa mradi mpya wa Nachingwea boys high school inayojengwa kwa kutumia mapato ya ndani ya halmashauri ya wilaya ya Nachingwea iliyopo mkoa wa Lindi...
Back
Top Bottom