Kumekuwa na ongezeko la watu ku-adiana au kuingizwa katika magrupu ya WhatsApp, wakati mwingine wanaofanya hivi hata huwajui na utalazimika kusubiri maelekezo.
Ili kukabiliana na hilo kuna namna ya kufanya. Unachotakiwa kufanya ni kuingia katika whatsApp kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa...
Habari!
Kuna tatizo limeonekana kujitokeza la kutotuma wala kupokea jumbe zozote zile katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp hivi sasa ninapoandika uzi huu.
Hili tatizo linatajwa kuwakumba watumiaji wa mtandao huu sehemu mbalimbali duniani na hata mimi kwa upande wangu nimelishuhudia tatizo...
Wakuu habari,
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, huwa najitathmini vitu mbalimbali kimoja wapo ni marafiki/ndugu niliokuwa nao karibu mwaka uliopita na ambao tumetupana mwaka mzima.
Sasa leo nilikuwa nafutafuta baadhi ya namba za simu ambazo hatujawasiliana miaka nenda rudi, zipo tu kwenye...
Hallow wadau wa JF
Naomba msaada kwa sasa natumia Yowhatsapp nataka kurudi kwenye Official WhatsApp.
Lakini nataka kufanya Backup ya meseji na picha ambazo zipo kwenye Yowhatsapp.
Yaani nikiweka WhatsApp official niweze kurudisha meseji zangu zote zilizopo YoWhatsapp.
Natanguliza shukrani.
Hivi karibuni WhatsApp itasitisha programu yake kwa mamilioni ya simu baada ya kutangaza kwamba programu hiyo itaacha kufanya kazi katika simu za zamani.
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Facebook iliweka wazi katika ukurasa wake wa msaada, simu za mikononi ambazo hazitaweza kupata programu hiyo...
Shirika kuu la usalama wa mtandao nchini India, Cert, imewaomba watumiaji wa mtandao wa WhatsApp kupakua programu mpya ( ya hivi punde) katika simu zao baada ya kugundua kuwa kulikuwa na programu mpya ya udukuzi katika programu ya awali ya ujumbe wa programu hiyo.
Programu hiyo ya software...
Habari wapendwa, ndugu, na jamaaa wote ndani ya jukwaa.
Nahitaji msaada jinsi ya kuinstall whatsApp kwenye hii iPhone 4 yangu ina iOS ya 7.1.2
Wataalamu
Nielezeni jinsi ya kuinstall
Habarini ndugu. Jumamosi ya tar 06.07.2019 niliangusha simu yangu na ikaokotwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari fulani, kijana alitu pa simu cards zote akaenda kuuza kwa mtu ambaye mie ninamfahamu so simu nikaiona kwa jamaa.
Sasa jana nilieenda mjini Mwanza kuiflash maana dogo alipeleka kwa...
Naombeni msaada wa kurudisha whatsapp app kwenye simu yangu.
Nilibadili number ya account kwa makosa na nilipojaribu kuirudisha tena ikakataa, option niliyoifanya ni ku-uninstall whatsapp ili ni re-install, lakini nilipo download inakataa ku-install.
Msaada wataalamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.