whatsapp

  1. B

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuzuia WhatsApp group kushow zimeingia SMS mpya

    Habari, Wadau naomba mwenye elimu ya kuzuia message zisionekane kwenye group maana nina group nyingi sana mpaka za kanisa lakini ni fujo nyingi sana nataka kuzuia popup kama kuna new message ili nisifungue nafanyeje au kufuta kabla kufunga au kublock nisipate message kwa group A au B. Msaada...
  2. EmmanuelKamaghe

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Total station kwa ajili ya kazi za survey bila chaja na begi lake inauzwa Tsh Milioni 2

    TOTAL STATION KWAAJILI YA KAZI ZA SURVEY BRAND NI TOPCON USED BILA CHAJA NA BEGI LAKE.... 2 MILLION. MAWASILIANO 0621390287 WHATSAPP AND NORMAL CALLS.
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nikutumie hivi vitabu viwili free

    1. Safari ya Bulicheka. 2. Tajiri wa Babeli. Nicheki whatsapp. Vingine vingi. Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies, za vitabu hivi. Tunakutumia kwa whatsapp. 0715278384 Pia kuna bonasi ya vitabu kama nane. Hardcopy kipo kitabu kimoja cha Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Status za WhatsApp zimekuwa njia nzuri kwa watu mnaojuana kujuzana, kuburudishana, kuelimishana, n.k. Facebook na Instagram hakuna usiri

    Ni mara chache sana mtu atapost facebook na instagram, inaweza kuwa mara 1 kwa mwezi lakini huku status za whatsapp mtu anaweza kupost kila siku maana hata watu wanaoziona ni wale aliowasevu na anaweza kuwachuja zaidi, pia hata watu watao like ama ku comment ni siri yake sio wazi wazi. Mtu...
  5. dubu

    JamiiForums Tanzania Dharau wa watu kuhusu chanjo ya Uviko-19, kunavyogharimu maisha yao

    Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali, jambo ambalo si kweli. Kwa maneno mengine unaweza kusema kuwa watu wanachukulia poa ilihali maisha ya watu yanapotea. Wapo wanaosikika...
  6. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi. ===== DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Tuma screen shot ya emoji ulizotumia kwenye WhatsApp

    Naanza
  8. zink

    JamiiForums Tanzania Whatsapp ya blustack haioneshi majina ya namba

    Habari wakuu wa jf, niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nimekua nikitumia whatsapp ya blustack kwenye laptop yangu, sasa shida imeanza juzi hapo nilipofungua whatsapp hii ya blustack na kushindwa kuona majina ya namba nilizosave na sijajua shida ni nini ebu wakuu nisaidieni hapo...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Ni rahisi kusambaza habari potoshi kupitia WhatsApp

    Umoja wa Mataifa (UN) kupitia ukurasa wake wa twitter wameutaja mtandao wa kijamii wa WhatsApp kama njia rahisi ya kusambaza taarifa zisizo sahihi. Wameandika ujumbe kupitia WhatsApp huweza kuonekana kama umetoka kwa mtu wa karibu. Wamesema ni muhimu kuhakiki ujumbe kabla ya kuutuma kwa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Kiwanja kinauzwa Dodoma eneo makulu bei ni 15M kwa description za kiwanja 0755151642. Karibuni
  11. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Soon inakuja whatsapp ya kiswahili

    Kampuni ya meta iko mbioni kushusha whatsapp yenye menu za kiswahili ili kueleweka zaidi wa jamii ya watumiaji wa kiswahili. Kiswahili cha kenya ndicho kitatumika maana kenya ndio inajulikana kwa kiswahili. Ila mimi sijawahi penda kutumia kiswahili kwenye apps au social media au hata menu za...
  12. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutumia whatsapp kwenye PC

    Habari ni majanga kidogo nimepata kwa sasa sina simu ya smart na whasapp ya pc inataka uscan je nijinsi gani nitaweza kuitumia kwa kusajili namba moja kwa moja. Ahsante
  13. Fifteen

    JamiiForums Tanzania mwenye link ya whatsapp for pc

    habari wakuu naomba mwenye link ya whatsapp for pc ambayo tatumia bila kulink na mobile phone
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye kesi fulani ipo mbele yake

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama" Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa...
  15. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

    Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka. Je, nitakuwa nimekosea?
  16. Vannyram

    JamiiForums Tanzania Software ya kulock whatsapp

    Samahani wakuu Naomba msaada wa kupata software inayofanya kazi ya kulock account ya mtu ya whatsapp ili asiweze kutumia na kuirudisha ktk hali yake ya mwanzo bila ya kuwa na simu hiyo karibu. Asante.
  17. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtandao maarufu wa WhatsApp GB hii kitu kitaalamu inakaaje

    Habari za Xmas niende Moja kwa Moja kwenye mada. Majuzi nilijiunga na mtandao huu. Hapo nyuma nikiwa natumia WhatsApp ya kawaida sikuona hizi mambo....kwa namna WhatsApp GB ilivyo ukiwa online nakuona na ninaambiwa kabisa XY is online. Na mengine mengi.
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Group Admin kuwa na uwezo wa kufuta jumbe kwenye group la WhatsApp.

    Group Admin kuwa na uwezo wa kufuta jumbe kwenye group la WhatsApp. Mtandao wa WhatsApp kufanya maboresho na kuruhusu kiongozi wa kikundi (Group Admin) uwezo wa kufuta jumbe kwenye kikundi. Hivyo group Admin atakuwa na uwezo wa kudhibiti mijadala kwenye group boresho hili WhatsApp wamepanga...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Unafanya Majaribio Ya Mfumo Wa Kutuma Na Kupokea Crypto

    Miezi sita iliyopita kampuni ya Meta ilitoa Wallet yake ya Crypto ambayo inaitwa Novi Wallet na inatumia Stablecoin ya Pax Dollars (USDP) ambayo ni crypto yenye thamani sawa na Dola 1. WhatsApp imeanza majaribio ya kuunganisha Wallet ya Novi na WhatsApp hivyo utaweza kutuma na kupokea pesa...
  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania WhatsApp imeweka mfumo wa "Disappearing Messages" kwa chatting mpya

    Wiki hii WhatsApp inaweka uwezo wa kuchagua mfumo wa Disappearing Messages katika chats zote mpya. Disappearing Messages ni option ya kuamua chats zifutike baada ya masaa 24, Siku 7 au Siku 90. Mfumo mpya unaofanana na mfumo wa Snapchat, utawezesha watumiaji kuweka option ya Disappering...
Back
Top Bottom