Anatumiwa video za girlfriend wake WhatsApp. Je, afanye maamuzi gani?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Kuna mambo mengine ya ajabu sana aisee, kuna muhuni anamtumia rafiki yangu videos nyingi 50 kidogo, akiblokiwa anatuma kwa namba nyingine, namba za Whatsapp anazotumia ni za china , india, urusi, n.j

binafsi nlicheki video mbili tu kwa lengo la uchunguzi Ili nitoe wazo au msaada ila nilitoka kapa, jamaa sura haonyeshi, yeye hajirekodi anamrekodi binti tu pindi wakiwa kwenye tendo.

Kwa upande wa binti alisita mwanzoni kumjua ila nikamshauri rafiki afanye namna fulani ili aseme, binti akakiri ni yeye ila sasa walishachana kitambo na huyo jamaa, namba zake hazipatikani na hata makazi yake alihama.

Kwenda polisi jamaa hataki Kusikia kabisa anataka kumaliza mambo yeye na mhusika bila habari kusambaa.

Sasa kwa hali hii huyu rafiki achuke uamuzi gani?
 
Binti amripoti huyo jamaa polisi, maana Sheria hairuhusu kusambaza video za utupu hata zako mwenyewe.
Blackmailing ni haramu.

Polisi kupitia kitengo chao Cha IT wataitress hiyo IP address inayorusha video hizo na jamaa atakamatwa Leo alfajiri kabla jogoo hajawika mara tatu 🐓🐓🐓
 
Kuna watu wapumbavu na washamba sana, kama mtu umeachana nae mwache aendelee na Maisha yake sio kufuatana fuatana.

Kwa haraka haraka jamaa aliachwa huku akiwa bado anampenda huyo Demu, kwa akili yake anajua hiyo ndio silaha yake ya maangamizi.

Mimi kama ningekuwa huyo rafiki yako hata kama ingekuwa natoka na huyo Demu kwa kujishikiza, nisingemwacha mpaka huyo jamaa atulie kufanya ujinga wake
 
Dunia imekuwa na maendeleo makubwa sana kwenye teknolojia na tunaona siku hizi swala la kutunza kumbukubu aidha kwa picha au video limekuwa jepesi mno kwasababu ya simu janja.

Matumizi haya ya simu janja katika kutunza hizi kumbu kumbu yana faida uoande moja ila yana hasara kubwa sana katika upande mwengine.

kuna rafiki ambae yupo katika majusiano ya takribani miezi 8 na binti flani.

Sasa tatizo lililopo ni kwamba guyo binti aliwahi kutembea na mwanaume ambae alikuwa anapenda kumrekodi wanapofanya yao.

video ni zile ambazo mwanaume yupo kwa nyuma alafu anaanza kurekodi.

sasa huyo mtu sijui hata kapatwa na nini, huwa anatumia namba za china, ukraine, urusi, n.k kumtumia rafiki yangu video hizo.

kwa upande wa binti alisita mwanzoni kumjua ila baada ya namna fulani ifanyike ili aseme, akakiri ni yeye ila sasa walishaachana na huyo jamaa na namba zake hazipatikani na hata makazi yake ni mtihani.

kosa kubwa ni huyo jamaa kutuma video na sio kuwahi kuwa ex wa huyu binti, hivi mtu na akili zako wapi na wapi unamtumia mwanaume mpya wa ex wako video za jinsi mlivyokua mnapeana tendo.

video nimezicheki na kiukweli zinatia hasira sana,

sasa kwa hali hii huyu rafiki achuke uamuzi gani
Nawewe jirekodi ukiwa umemkunja huyo demu kisawasawa then mtumie huyo fala. Tena hakikisha demu anatoa miguno ile haswaa..
 
Dunia imekuwa na maendeleo makubwa sana kwenye teknolojia na tunaona siku hizi swala la kutunza kumbukubu aidha kwa picha au video limekuwa jepesi mno kwasababu ya simu janja.

Matumizi haya ya simu janja katika kutunza hizi kumbu kumbu yana faida uoande moja ila yana hasara kubwa sana katika upande mwengine.

kuna rafiki ambae yupo katika majusiano ya takribani miezi 8 na binti flani.

Sasa tatizo lililopo ni kwamba guyo binti aliwahi kutembea na mwanaume ambae alikuwa anapenda kumrekodi wanapofanya yao.

video ni zile ambazo mwanaume yupo kwa nyuma alafu anaanza kurekodi.

sasa huyo mtu sijui hata kapatwa na nini, huwa anatumia namba za china, ukraine, urusi, n.k kumtumia rafiki yangu video hizo.

kwa upande wa binti alisita mwanzoni kumjua ila baada ya namna fulani ifanyike ili aseme, akakiri ni yeye ila sasa walishaachana na huyo jamaa na namba zake hazipatikani na hata makazi yake ni mtihani.

kosa kubwa ni huyo jamaa kutuma video na sio kuwahi kuwa ex wa huyu binti, hivi mtu na akili zako wapi na wapi unamtumia mwanaume mpya wa ex wako video za jinsi mlivyokua mnapeana tendo.

video nimezicheki na kiukweli zinatia hasira sana,

sasa kwa hali hii huyu rafiki achuke uamuzi gani
Huo ni ushamba period!
 
Kitufe cha block hakipo?
 
Haya ndomadhara ya kupenda kupitiliza, unarekodiwaje unanyanduliwa jmn ke tubadilike ona sasa kinachompata huyu tena ashukuru anatumiwa boyfriend wake tu, huyo jamaa akiamua kuzisambaza kwenye magroup ya watsap unadhalilikaje
 
Bwana mdogo, hizo video ni hatari kwa afya na pepo yako, kwasababu binti anapelekwa kwa mpalange. Usiziombe kutumiwa ukaja kuikosa pepo ya mungu. Nakushauri endelea kufanya ibada na funga, shetani usimpe nafasi.

Ila akikutumia, naomba na mimi uni PM hizo video nizi tathmini.
Mtumishi vibaya hivyo.
 
Huyo jamaa anaetuma hizo videos bado anamtaka huyo dem hapo anajaribu kumtisha ili iwe rahisi kumpata tena. Cha muhimu ni kwenda kumreport polisi mapema kabla mambo hayajawa mabaya
 
Back
Top Bottom