whatsapp

  1. S

    JamiiForums Tanzania WhatsApp has sued the Indian government in a bid to block new rules

    Inakuwa kama amini usiamini ,kumbe inawezekana na wenyewe wamelivalia njuga. Ni wangapi wamekamatwa kupitia meseji za wasapu hapa Tz na polisi wakijigamba, tena meseji zenyewe ni none-sense basi tu wakiwakamata watu ili waonekane na yule baba kuwa wapo imara,kumbe sheria haiwaruhusu. ======...
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Intanet yarejea Ethiopia baada ya kuzuiwa mwishoni mwa juma

    Shirika linalofuatilia upatikanaji wa huduma ya intanet la NetBlocks limesema huduma ya intaneti kwa majukwaa ya Facebook, WhatsApp na Instagram imerudi nchini Ethiopia baada ya kukosekana mwishoni mwa juma. Taasisi ya Huduma za Habari ya Ethiopia na Kampuni inayomilikiwa na Serikali ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania WhatsApp: Jumamosi ijayo kuwa siku ya mwisho ya watumiaji kukubali masharti mapya

    WhatsApp imetaja Jumamosi ijayo kuwa siku ya mwisho kwa mamilioni ya wateja wake kukubali masharti mapya ya utumiaji wa mtandao huo ambao ulikosolewa sana katika mitandao ya kijamii huo mwanzoni mwa mwaka huu. Kupitia masharti hayo mapya, mtandao huo unawataka wateja wake isipokuwa wale...
  4. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania India kutafuta njia mbadala ya kufuatilia mawasiliano ya watumiaji wa WhatsApp

    Moja ya sababu zilizofanya mitandao ya kijamii kuaminiwa zaidi na watumiaji ni kutokana na hakikisho la usalama wa mawasiliano kwa kutumia mfumo wa msimbo fiche wa mwisho hadi mwisho (end-to-end encryption). Huu ni mfumo unaoficha ujumbe uliotumwa kutoka kwa mtumiaji mmoja ili usiweze kusomwa na...
  5. chief_

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

    Tupeane updates... Ni makampuni ya Facebook pekee au! Au wamefanya yao 'wazee' ===== Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram yatoweka hewani muda huu. Mtandao wa Facebook ambao ndio mmiliki wa mitandao hiyo hawajatoa taarifa yoyote kwa wateja wao mpaka sasa. ===== Baada ya...
  6. w0rM

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mkono wa Serikali katika kuongeza bei ya vifurushi? Serikali kuja na mfumo wa kudhibiti simu za WhatsApp

    Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu. Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha...
  7. music mimi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu wangu inashindwa ku-update WhatsApp

    Simu yangu ni Samsung S 8 Nilikuwa najaribu ku-update WhatsApp lakini nimeshindwa. Nimejaribu ku uninstall ili niirudishe upya pia imeshindikana. Kinachotokea nikiingia kwenye google play naipata app ya WhatsApp lakini niki download inaload tu haiwezi download. Naomba mnisaidie shida...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania WhatsApp yasogeza mbele muda wa kuanza kutumika rasmi kwa sera yao mpya ya faragha

    Baada ya sintofahamu iliyoendelea kwa muda wa wiki moja sasa, WhatsApp imesema kuwa inasogeza mbele muda wa kukubaliana na sera yake mpya ya faragha hadi Mei 15, 2021 badala ya tarehe ya awali iliyokuwa imewekwa ya Februari 8. Katika chapisho la blogu, kampuni hiyo ya mawasiliano inayomilikiwa...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania India: Wafanyabiashara waomba WhatsApp na Facebook vizuiwe kutokana na sera mpya

    Shirikisho la Wafanyabiashara wa India (CAIT) limeiomba serikali izuie mtandao wa WhatsApp, Facebook na Facebook Messenger kutokana na sera mpya ya Faragha. Wafanyabiashara wamemuandikia Waziri wa Habari na Teknolojia kuwa India inawatumiaji zaidi ya milioni 200 hivyo kuchukua taarifa zao kwa...
  10. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Sera mpya ya faragha ya WhatsApp inavyowafukuza wateja

    Mapema wiki hii, programu tumishi ya mawasiliano ya WhatsApp ilianza kutoa taarifa kwa watumiaji wake wa Android na iOS kuhusu mabadiliko ya sera ya matumizi na sera ya faragha, ikiwafahamisha wateja wake kuhusu jinsi mtandao huo utakavyomudu taarifa binafsi za watumiaji wake. Sera hizo mpya...
  11. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania WhatsApp kutofanya kazi kwenye baadhi ya simu za Android na iPhone mwaka 2021

    Programu tumishi ya mawasiliano ya Whatsapp haitafanya kazi katika baadhi ya simu kuanzia mwaka 2021, baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti. Programu hiyo haitafanya kazi katika simu za Android zinazotumia toleo la 4.0.2 au ndogo zaidi ya hiyo, na kwa simu za iPhone zinazotumia toleo la 9 (iOS...
  12. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na WhatsApp...

    Siku ya leo katika Hotuba ya Mhe. Rais hii teknolojia (anavyoiita) ya WhatsApp amelitaja sana jina hili zaidi ya mara 6 akituhumu kuwa inavujisha sana Siri za Serikali. Jambo la kufikiria kidogo nyuma ya pazia ni nini kinaendelea au tutegemee nini hapo mbeleni ambacho hatukijui bado kipo jikoni...
  13. Bin Shaib

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaotumia WhatsApp

    Habari za uzima wapendwa, natumai mko poa japo changamoto hazikosekani hiyo ni sehemu ya maisha. Maada yangu inahusu changamoto ya WhatsApp,katika kutuma audio kwa mtu,, kuna audio ambazo nilimtumia mtu zikagoma kuna maneno haya hapa chini inaandika na mimi sijajua tatizo ni nini,,kuna audio...
  14. I AM NO ONE

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Instagram

    Habari wakuu. Hebu tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Insta ilikuaje kwako. Mi nakumbuka nilikuwa makongo sekondari aise, yaani swagga zetu ilikuwa ni kupendeza kuvaa vizuri; mademu tuliburuza sana aise bila shida yoyote maana hakukuwa na swagga za kuonekana wewe unamiliki simu kali...
  15. King Kong III

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana ukifanya biashara na mtu aliyeficha Last seen na Read Receipts kwenye WhatsApp

    Umuofia Kwenu wana JF, Kwa uchunguzi na utafiti nilioufanya,wengi wa watu walioficha Last seen na Read receipts kwenye whatsapp wana makandokando katika mishe wanazofanya...Ukitaka kujua mtu kama ni wa magumashi angalia whatsapp ,kama kaficha last seen na read receipts kuna kitu anakimbia...
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Blue ticks za whatsapp: Ni kwamba huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau za waziwazi?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Wewe binafsi unalichukuliaje hili suala la blue ticks za whatsapp kukaa muda mrefu (wiki moja)? Ni kwamba, huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau? MFANO MDOGO APRIL 2018 =========...
  17. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania WhatsApp yarahisisha mfumo wa kuhifadhi nafasi katika simu yako

    Mtandao wa kijamii na mawasiliano WhatsApp umefanya maboresho katika mfumo wa uhifadhi na nafasi 'Storage' kwa kurahisisha namna ya upatikanaji wa data/mafaili (Picha, Gifs, Video na Stika) zinazochukua nafasi kubwa katika simu yako. Zana hii itashuhudiwa kwa watumiaji wa WhatsApp duniani kote...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania WhatsApp yaruhusu watumiaji kutuma ujumbe unaopotea

    Mtandao wa Whatsapp sasa kuwa na ujumbe unaotoweka, kipengele kilichoundwa kuwawezesha watumiaji kuondoa nyayo zao za kidijitali (Digital footprint). Sasisho hilo ambalo limeanza kutoka Alhamis, watumiaji wataweza kuweka chaguo kwenye jumbe yeyote, inaweza kuwa kwa mtu mmoja mmoja au kundi...
  19. MC44

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa na vp bado WhatsApp haifanyi kazi

    Tangu juzi nikiwa na VPN nilikuwa naweza kupata huduma ya mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp ila kwa leo imegoma. Kuna njia nyingine?
  20. Mtini

    JamiiForums Tanzania GE2020 ITV washambuliwa mtandaoni baada ya kuwataka wananchi wawatumie matukio yanayojiri kwa WhatsApp

Back
Top Bottom