I & M Bank kuwawezesha wateja kutumia WhatsApp kufanya miamala

Madumbikaya

JF-Expert Member
Jun 6, 2018
243
1,000
Maisha yamebadilika sana, Leo Tanzania program ya whatsapp inakuwezesha kutuma na kupokea pesa

I & M Bank(T) , Hii imekuwa Bank ya kwanza kuwawezesha wateja wake Tanzania kutumia WhatsApp kutuma na kupokea pesa, Kulipia bili za maji na umeme

Rais Samia Suluhu Hassan akihubiri kuhusu pesa za mtandaoni kuna watu walishangaa sana lakini teknolojia tusipokuwa makini itatuacha sana

Mitandao yote au wallet za Tigo pesa, Airtel money, M Pesa na Halo pesa zimeungwa na mfumo wa Whatsapp Banking ya I&m Bank Tanzania

Hii ni Bank toka Kenya lakini waliinunua CF Union Bank Tanzania mwaka 2010

Nilisikia Taarifa Katika wasafi Media asubuhi kipindi cha Magazeti, Nikaamua kutembelea Bank husika Posta na kujifunza uhalisia

Mambo yamerahisishwa sana sana, Leo WhatsApp yako ndio Bank yako
 
Madumbikaya

JF-Expert Member
Jun 6, 2018
243
1,000
Whatsapp watakata tozo kufanikisha huduma hii?
Labda ni Bank na kampuni ya whatsapp, Lakini mimi sijawahi katwa tangu nijiunge na huduma hii

Kwa mujibu wa wahusika India wao Bank zao ndio za mwanzo kuzindua mwaka jana na mamilioni ya Transaction yamefanyika

Transfer zote za nje kwa sasa nafanya kupitia WhatsApp yangu, Hata nikisafiri nina uhakika wa kufanya miamala kwa watu nyumbani kupitia WhatsApp is Banking yangu
 
Ifururu

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
375
500
Hebu weka wazi maelezo mkuu,
Je ni mpaka uwe na akaunti benki husika?
Whasp ipi inasapoti hiyo huduma maana kuna Gb,Fm na nyinginezo.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,155
2,000
Labda ni Bank na kampuni ya whatsapp, Lakini mimi sijawahi katwa tangu nijiunge na huduma hii

Kwa mujibu wa wahusika India wao Bank zao ndio za mwanzo kuzindua mwaka jana na mamilioni ya Transaction yamefanyika

Transfer zote za nje kwa sasa nafanya kupitia WhatsApp yangu, Hata nikisafiri nina uhakika wa kufanya miamala kwa watu nyumbani kupitia WhatsApp is Banking yangu
Model moja niliyoiona kwa hizi huduma za makampuni ya teknolojia makubwa, ni kuanza kutoa huduma bure ili kuvutia watu, halafu baadaye, wateja wakiwa wengi, wanaweka fee.

Google huku Marekani walikuwa na huduma kama hiyo ya Google wallet. Ilikuwa unaweza kumtumia mtu benki yoyote muamala, bure.

Juzi nimeona wameanza kutoza tozo la 1.5% ya muamala.

Kwa hiyo muwe makini na hilo.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,457
2,000
Maisha yamebadilika sana, Leo Tanzania program ya whatsapp inakuwezesha kutuma na kupokea pesa

I & M Bank(T) , Hii imekuwa Bank ya kwanza kuwawezesha wateja wake Tanzania kutumia WhatsApp kutuma na kupokea pesa, Kulipia bili za maji na umeme

Rais Samia Suluhu Hassan akihubiri kuhusu pesa za mtandaoni kuna watu walishangaa sana lakini teknolojia tusipokuwa makini itatuacha sana

Mitandao yote au wallet za Tigo pesa, Airtel money, M Pesa na Halo pesa zimeungwa na mfumo wa Whatsapp Banking ya I&m Bank Tanzania

Hii ni Bank toka Kenya lakini waliinunua CF Union Bank Tanzania mwaka 2010

Nilisikia Taarifa Katika wasafi Media asubuhi kipindi cha Magazeti, Nikaamua kutembelea Bank husika Posta na kujifunza uhalisia

Mambo yamerahisishwa sana sana, Leo WhatsApp yako ndio Bank yako
How does it work!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom