Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Quavohucho

JF-Expert Member
Aug 30, 2020
753
1,881
What's app status ni kipengele moja wapo katika whats app kinacho ruhusu kupost maudhui mbali mbali na contact zako Ku view ; Je ni kitu gani cha kushangaza au kukuumiza ,kukufurahisha,kukujenga !;
Uliona katika status za contact namba ulizo Nazo kwenye simu yako,

Kutokana na mishe zangu nime save contact nyingi sana so Nina access ya kuview status nyingi sana.

Kuna kipindi fulani niliumia kinoma baada ya kuona rafiki wa jamaa angu kampost demu wangu wakiwa na( demu aliniambia mgonjwa hawezi kutoka) na caption ya new chapter na makopa ya kutosha nilichofanya nilimkaushia tu demu mazma.

Kuna demu mwingine alipost picha yake akiionesha matiti yake na caption ya matusi ,hata sijui alimaanshaga nini sijawahi hata kuuliza.

Juzi nimeona kuna mmama kapost picha ya mtoto wake wa kike 5 au 7 yrs hivi wakifanya deep kiss na kavulana nilibaki kushangaa tu.

Jamaaa angu wa Q net kila siku anapost magari makali na caption za kejeli kwa tuliokataa kujiunga na utapeli huu

Tu share experience ulishawahii kukuona kitu gani cha kitofauti kwenye status?
 
Back
Top Bottom