whatsapp

  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Una namba za simu (contacts) ngapi kwenye Simu yako?

    Wakuu habari, Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, huwa najitathmini vitu mbalimbali kimoja wapo ni marafiki/ndugu niliokuwa nao karibu mwaka uliopita na ambao tumetupana mwaka mzima. Sasa leo nilikuwa nafutafuta baadhi ya namba za simu ambazo hatujawasiliana miaka nenda rudi, zipo tu kwenye...
  2. poposindege

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kufanya Backup kwa Unofficial WhatsApp to Official WhatsApp

    Hallow wadau wa JF Naomba msaada kwa sasa natumia Yowhatsapp nataka kurudi kwenye Official WhatsApp. Lakini nataka kufanya Backup ya meseji na picha ambazo zipo kwenye Yowhatsapp. Yaani nikiweka WhatsApp official niweze kurudisha meseji zangu zote zilizopo YoWhatsapp. Natanguliza shukrani.
  3. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania WhatsApp kusitisha huduma kwa mamilioni ya simu (Smartphones)

    Hivi karibuni WhatsApp itasitisha programu yake kwa mamilioni ya simu baada ya kutangaza kwamba programu hiyo itaacha kufanya kazi katika simu za zamani. Kampuni hiyo inayomilikiwa na Facebook iliweka wazi katika ukurasa wake wa msaada, simu za mikononi ambazo hazitaweza kupata programu hiyo...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watumiaji wa WhatsApp India wameagizwa kupakua programu mpya?

    Shirika kuu la usalama wa mtandao nchini India, Cert, imewaomba watumiaji wa mtandao wa WhatsApp kupakua programu mpya ( ya hivi punde) katika simu zao baada ya kugundua kuwa kulikuwa na programu mpya ya udukuzi katika programu ya awali ya ujumbe wa programu hiyo. Programu hiyo ya software...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naturals Butters and Oils

    Raw Shea Butter, African Black Soap, Cocoa butter, Mango butter etc ( jumla na rejareja) karibuni. WhatsApp 0752555223
  6. kyesha

    JamiiForums Tanzania WhatsApp na iPhone 4

    Habari wapendwa, ndugu, na jamaaa wote ndani ya jukwaa. Nahitaji msaada jinsi ya kuinstall whatsApp kwenye hii iPhone 4 yangu ina iOS ya 7.1.2 Wataalamu Nielezeni jinsi ya kuinstall
  7. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kurudisha account ya WhatsApp

    Habarini ndugu. Jumamosi ya tar 06.07.2019 niliangusha simu yangu na ikaokotwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari fulani, kijana alitu pa simu cards zote akaenda kuuza kwa mtu ambaye mie ninamfahamu so simu nikaiona kwa jamaa. Sasa jana nilieenda mjini Mwanza kuiflash maana dogo alipeleka kwa...
  8. Balungi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Kurudisha WhatAapp kwenye simu yangu

    Naombeni msaada wa kurudisha whatsapp app kwenye simu yangu. Nilibadili number ya account kwa makosa na nilipojaribu kuirudisha tena ikakataa, option niliyoifanya ni ku-uninstall whatsapp ili ni re-install, lakini nilipo download inakataa ku-install. Msaada wataalamu.
Back
Top Bottom