wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi kama wewe ni mzazi/ mlezi unachukua hatua au maamuzi gani endapo mtoto wako anakataa kwenda shule?

    Wana JF naombeni ushauri wenu. Kuna kijana wangu atakataa kwenda shule, yupo kidato cha kwanza . Nimfanye nini maana kama kupiga nimepiga na kumshauri lakini haambiliki😭😭
  2. L

    Kama wewe ni mwanaume hii itakusaidia

    Kwenye mchezo wa kandanda kinachohitajika na kupata pointi tatu muhimu, hii ni muhimu Sana, haitajilishi unashinda hyo mechi Kwa goli 1, 2, 3au goli 4 muhimu ni kupata point tatu haijalishi utachezea uwanja wa nyumbani au ugenini. Jambo muhimu ni kupata alama tatu. Ni vizuri uwe na mikakati...
  3. Wewe ni Mvulana au mwanaume? | Maana halisi ya Umri ni namba

    Wewe ni Mvulana au Mwanaume.? Kuna ukweli mchungu inapokuja kwenye kubadirika kutoka Mvulana kwenda Mwanaume na umri hauhusiani na hilo. Ni ngumu katika kubadirika kutoka Mvulana na kuwa Mwanaume. Lakini pia jamii ya sasa inafanya hili kuwa ni ngumu zaidi. Jamii ya sasa inajaribu...
  4. Wewe mwanamke unaetaka mwanaume wa peke yako tafuta mwanaume kapuku

    Nasema hivi wewe mwanamke unaetaka kuwa na mwanaume wa peke yako tafuta mwanaume kapuku huyo ndie atakaekusikiliza na kubembeleza. Mimi mwanaume mwenye future sina muda huo 😁😁 ninatafutwa na wengi. Mimi mwanaume mwenye assets na mwenye muonekano mzuri ninapendwa na wengi ukitaka niwe wa peke...
  5. Wewe ni mtu wa movies halafu haujaiona Casablanca?

    Ni kama wewe ni muwindaji haujawahi kumuona simba, au ni mvuvi haujawahi kumsikia nguva. Okay maybe utasema simba wapo mpaka leo na sio mfano halisi, basi niseme ni kama wewe ni palaeontologist na haujawahi kusikia habari za dinosaur.
  6. CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

    Asante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii. CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama. Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe? Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje? Alafu kuna watu...
  7. Wanaokwenda jela si wote wana hatia, hata wewe kesho unaweza kuwa mfungwa

    Hakuna anaejua siku yake ya kesho itakuwa vipi, lolote laweza kutokea uwe muhalifu ama sio mhalifu waweza kujikuta umeingia rasmi 18 za kwenda gerezani. Wiki iliyopita nilienda mtembelea rafiki gerezani, yupo kwa takribani mwezi sasa kosa likiwa kununua simu kwenye magroup haya ya whatsapp...
  8. Aisee! Shangaa na wewe

    Wananchi wengi hasa nchini Kenya wamebaki midomo wazi baada ya kuona video iliyovuja ikimuonesha jinsi Dj Brownskin akimrekodi mkewe Sharon Mwangi akijitoa uhai hadi kufa mbele za Watoto wake. Video hiyo ilianza pale ambapo mkewe anaonekana akikoroga mchanganyiko wa dawa zenye sumu kwenye...
  9. Haya ndio maswali yangu machache yaliyokosa majibu. Je, wewe unaweza kunijibu?

    Vipi hali zenu ndugu zangu? Nimekuwa na maswali kadhaa akilini kwangu, lakini kila nikijaribu kuwauliza wana historia wanashindwa kunipa majibu yanayoeleweka. Anyway ngoja niyalete hapa huenda watapatikana wenye majibu yanayoeleweka. Kwanza kabla ya kuendelea naomba niseme kwamba mada yangu...
  10. Miss u wana Mmu, ramadhani hii ukiwa na ugumu wewe sio binadamu

    😂😂😂 kwanza nafuraha sana baada ya kutoka jela segerea mitaaa ya ban thanks mod Nikitambo sana ila kikubwa ni hiki jamani mwezi huu mtukufu (mimi ni mkrito) ila nipo pamoja na nyie jua kali sana mpaka genye haziji kabisa Nashangaa kuna vijana bado wanamizika sijui wanaitoa wapi mimi tu...
  11. N

    Nipo tayari kusimama na wewe katika hali zote

    Sikuachi hadi mwisho wa dahari, nitakuwa nawe kwenye hali zote, raha na huzuni kwenye kusifiwa na kwenye kusimangwa nitakuwa nawe, kwa kuwa hakuna binadamu aliye mkamilifu nitasimama na wewe kwenye hayo mapungufu yako yakibinadamu uliyonayo,najua wengi wanapenda ukosee ili wakusimange na...
  12. Hii picha imebeba ujumbe mzito sana, Wewe umeielewaje?

    Mimi nikiingiaga mtandaoni kilasiku huwa napenda sana kutazama picha mbalimbali zinazohusu sana asili ya kiuumbaji (Nature) ikiwemo picha za Miti, wanyama, watu, Miinuko ya ardhi, n.k) leo katika pita pita zangu za kutazama picha mtandaoni nimekutana na hii picha na hakika nimeitazama sanaaa...
  13. Mtanzania kama hujawahi kufika South Africa, Europe au USA wewe ni mshamba tu

    Godbless Lema alikuwa hajawahi kutoka nje ya East Africa, aliishia Nairobi tu, siku alipotoka nje ya Afrika ndio akagundua kumbe sisi hatuishi tunadumu. Ndio maana anaropoka tu, asamehewe, mashikolo mageni.. Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani alikokaa kwa miaka zaidi ya 26 alikuta south...
  14. Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

    Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili. Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa. Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba...
  15. Pesa ni za kwangu ila mie nashikiwa bunduki kisa wewe ni deep state? Haikubaliki

    Hii kitu hakiwezekani kabisa mimi nakudai billions of money ila unanishikia Bastola eti kisa wewe ni deep state hii kitu hajiwezekani na bila shaka ya muhusika upo humu na unaisoma hii thread kile kitendo ulichonifanyia pale Hyatt regency kunishikia bastola ile jana tayari nimeshashitaki pale...
  16. Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika kuendeleza kipaji

    Habari rafiki! Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako! Tunayo akaunti ya TikTok inayoitwa B&G Entertainment ambayo inakusudia kuwawezesha vijana wenye vipaji mbalimbali...
  17. Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

    Nilimkuta mke wangu ni bikra kabisa yaani hymen iko slide kabisa kwahiyo mimi ndiyo nilikuwa mtu wa mwanzo kumtoa hiyo bikra ila na bado wahuni wimechapa bila hata ya kupindisha kabisa ila masela ni michosho sana. Labda sijui ni laana ya kuhasi uparoko wala hata sijui kuna moment katika maisha...
  18. Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

    Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa...
  19. Mwanaume mwenye pesa si wa peke yako wewe mwanamke

    Amani iwe kwenu! Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana true love... Na siku zote ukiona mwanaume mwenye pesa hana mbamba nyingi yaani hana michepuko na wala...
  20. Ngoja nikuvalie njuga Mfyuuuuuu(mfyonyo)

    Haijalishi weee hapa tunazunguzmia Mfyooonyo yaani unasikia mfyuuuuu mtu katoa yake na imevutwa kama mpira wa manati, yaani inaanza mbali na ikimalizika lazima utaona cha mtema kuni😂 🤪Wee acha tu ngoja nikuvalie njuga.... qqmmk mfyuuuuuu😂 enzi hizo njuga ilikuwa kiatu chochote oversize...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…