Je wewe au rafiki yako u/aliwahi kufanikiwa kibiashara baada ya kumshirikisha mganga?

Stability

Senior Member
Jan 30, 2020
171
332
Kuna nyakati unaweza kupitia katika biashara yako ambapo unaona unaelekea kuanguka vibaya sana na bado unafamilia na bills nyingine. Inaweza kuwa sio usimamizi mmbaya ila labda ni factors za hali ya kiuchumi na factors nyingine ambazo hata wewe haulewi mambo yamekuharubikiaje.

Inapelekea sasa hauna jinsi na inabidi uende kwa mganga asaidie ku-boost baishara yako. Vp ulifanikiwa?, tupatie story.
 
Mganga katu hawezi mpa utajiri ndugu yake sababu hayupo tayari kumpoteza ndugu yake,anajua madhara ya utajjri huo
Huyu haendi kutafuta utajiri, anaenda kupata mvuto wa biashara yake ili auze biashara isife. Dawa ya mvuto ni tofauti na utajiri, hii unasaidiwa biashara yako iendelee vizuri as in you dont get rich and you will never be broke. Hapo kati kati yaani
 
Kuna nyakati unaweza kupitia katika biashara yako ambapo unaona unaelekea kuanguka vibaya sana na bado unafamilia na bills nyingine. Inaweza kuwa sio usimamizi mmbaya ila labda ni factors za hali ya kiuchumi na factors nyingine ambazo hata wewe haulewi mambo yamekuharubikiaje.

Inapelekea sasa hauna jinsi na inabidi uende kwa mganga asaidie ku-boost baishara yako. Vp ulifanikiwa?, tupatie story.
Nenda ukasaidike, changamoto siku hizi ni kupata mganga wa kweli tu maana wengi wa uongo. Ila vijijini huko unapata na wanakusaidia kabisa. Hawa waheshimiwa wenyewe tunapishana nao huko kwa wataalam. Wengine tunalala nao kabisa kambini, haha
 
Mwanangu mmoja alifanikiwa lakini alipita sehemu nyingi Sasa haijulikani Nani alikuwa zaidi kati ya waganga aliopita
 
Mganga kukusaidia kuwa tajiri ni ngumu mno. Kwa mganga nenda kwa mambo madogo madogo kama vile kumfanya ex wako kuwa chizi, kumpumbaza mwenye nyumba au kumnasa demu aliyewahi kukuambia "you are not her type"...
 
Hahah
Nenda ukasaidike, changamoto siku hizi ni kupata mganga wa kweli tu maana wengi wa uongo. Ila vijijini huko unapata na wanakusaidia kabisa. Hawa waheshimiwa wenyewe tunapishana nao huko kwa wataalam. Wengine tunalala nao kabisa kambini, haha
AIseee
 
Hawa waganga wanaolalia ngozi ndo wakupe ww utajiri? Unadhani kuna mtu hapendi fedha au anapenda kuishi mazingira magumu tu? Afu hata ukipata utajiri wao waga ni wa muda tu lazima cha moto 🔥 ukione.. You must regret it and pay the debt in pain and blood.

Utajiri upo kwa Mungu sema mpaka ukafikie neema zake mpaka usote kweli kweli ila kuna machaguo yake Mungu miongoni mwetu wao ni ganda la ndizi tu kwenye haya maisha kila jambo wanalofanya la mafanikio basi linaenda kwenye mstari bila kutumia nguvu wala kupoteza muda mwingi...

Mungu anatupenda sote ila kuna anaowapenda zaidi/wateule wake hili hatuwezi kulizuia, hata ww kama baba ukiwa na watoto wengi lazima utakua na the top priority ya watoto wako watakao faidi peremende, mapenzi ya kua karibu nao na kila aina ya toleo la nguo ila japokua damu yako yote utaipenda ila si wote utawahudumia equally...
 
Back
Top Bottom