Hupaswi kutafuta fedha, unapaswa kujiongeza thamani ndipo fedha zitakutafuta wewe

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,159
Mtu anayetafuta pesa ataishia kupata pesa ya kula siku moja au mbili kisha atakuwa mtumwa daima. Yaani kila akitaka kufanya jambo lazima ahangahikie pesa ya hilo jambo kisha atalifanya kwa taabu na kurudi tena kuhangahikia fedha .
Itakuwa ni cycle ya maisha yake mpaka uzee au kifo
No rest time.
Ongeza thamani katika maisha yako.
Iko hivi: Kitu kinachoweza kufanywa na watu wengi maslahi yake ni ndogo bila kujali ugumu na challenge ya hiyo kazi.
Kwanini mpishi, mlinzi, mhudumu wa ofisi, hulipwa kidogo kulingana na Engineer?
Jibu ni kwamba hizo kazi zinaweza kufanywa na watu wengi.
Hivyo ukitaka thamani yako ikue kwa kasi tafuta taaluma/fani ambayo ni adimu katika jamii husika .
Miaka ya nyuma kidogo Tanzania kulikuwa na mtaalamu mmoja tu wa kufanya service ya 🏧 machine. Alijizolea mamilioni kirahisi sana.
Kama ni seremala ongeza kitu kwenye uselemala wako.
Kama ni muashi ongeza kitu kwenye uashi wako .
Kama mpishi ongeza kitu kwenye upushi wako.
Kama Daktari ongeza kitu kwenye udaktari wako.
Kama Mhandisi ongeza kitu kwenye uhandisi wako.
Kama mwanamuziki ongeza kitu kwenye muziki wako .
Wote munaweza kuwa wana hip-hop lakini mmoja akaitwa kwenye show moja kwa sh. Milioni 100 wewe ukaitwa kwa sh. Milioni 1. Mwenzako amekuzidi thamani. Ameongeza kitu kwenye hip-hop yake.
Fundi umeme mwingine utamwita kwako afanye wiring utamlipa laki 2, the same work mwingine ukimwita itakubidi umlipe laki 5. Hawa 2 wanafanya kazi moja ila wana thamani tofauti.
Kuna fundi computer anakuja ofisini kufix computer na harrier yake na mwingine anakuja na Daladala hapo automatically huyu mwenye harrier atawapiga pakubwa kuliko kijana aliyekuja kwa Daladala ingawa muda mwingine huyu aliyekuja kwa Daladala yuko vizuri zaidi.
Kuhusu ni namna gani utajipandisha thamani utajua mwenyewe. Hili sio tangazo la biashara na sihitaji pesa ya mtu hapa kwamba nihangahike kukufundisha namna gani utajiongezea thamani.
 
sawa tumekuelewa,hata nyeto iongeze thamani sio kila siku unatumia jamaa tumia hata sabuni zenye marashi manzuri kama ayu,n.k ni hayo tu all is about thamani
 
Asee nimekupata mkuu ubarikiwe sana
 
Sawa Mkuu,
Serikali zetu za kiafrika nazo zijifunze kuheshimu taaluma na thamani za watu pia..
 
Nani alikuomba uandike kwani?
 
Mimi kwanza nilimtafuta Yesu Kisha nikaongeza ujuzi nikatafuta kazi USA nimepata najiandaa kuondoka, upo sahii kabisa.
Safi mkuu Yesu Akakuongeze Huko uendako hakika hatokuacha barikiwa sana ukawe njia kwa wengine
 
Mimi kwanza nilimtafuta Yesu Kisha nikaongeza ujuzi nikatafuta kazi USA nimepata najiandaa kuondoka, upo sahii kabisa.
Nikushauri mdogo wangu? ongea na Yesu akufanyie wepesi upate kazi hapa hapa bongo kwa mshahara uliopatana kupewa huko US
 
Back
Top Bottom