Ungefanya nini Kama ni wewe.

bigmen

Senior Member
Jul 3, 2020
145
310
Katika maisha Kuna wale akina sisi ambao Kila tutokapo mihangaikoni tunapitia mahali kuchamba koo kidogo alafu ndo turud magetoni, katika moja na mbili Kuna mahali nimekuwa napendelea kwenda hapo ni kagrossery flani hivi Cha ukweli Sana, nimehudhuria hapo mpaka nikazoeana na muhudumu was hapo adi kufikia kuchangamshana Mara kwa mara.

Siku moja nilienda mchana hakuwa amefungua nikazama adi chumbani kwake Mahal napoichapaga na kuichapa Kama kawa, niliwasha kweli kweli Kama vile natafuta ndoa, baadae kausingizi kakatupitia nimekuja kustuka manzi bado amelala nikamuamsha nikamuage naondoka, nikavaa Kisha nkafungua mlango nisepe lkn nilipokuwa nafungua mlango nilikutana na sura na mzee namfahamu Ila yy hanifahamu, akasukuma mlango na kuingia ndani kwa jazba,

Akawa anaongea na yule binti kwa jazba na kumuliza amekosa nn, kwa mazungumzo yao ni wazi kabisa yule mzee ndiye anamuweka yule bibie mjini na wanamahusiano na biashara ya grossery yy ndo kamfungulia, baadae mzee akanitimua kwa kuniambia we kijana toka toka hapa Harakat Sana,

Ila huyo mzee ni baba wa chumba wangu na tuna mipango ya kutambulishana kwa wazazi na huyo mchumba wangu, siku niliyopanga na mchumba wangu kutambulishana inakaribia Ila sijui nifanyeje maana yule mzee lazima ananikumbuka.

Najiuliza nifanya nn nipige chini mchumba ama

HII IMEMKUTA MWANANGU SIO STORY YANGU NIMEVAA UHUSIKA TUU ILI KUIELEZEA
 
Chai ya muarobaini
FB_IMG_17106874684630038.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom