Binadamu unapozaliwa na kuja duniani wewe tayari ni majibu na sio maswali

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,039
45,614
Vijana kabla ya kukata tamaa na kutamani kujiua hebu elewa maana ya maisha kwanza.

Hapa duniani tunatumia past kuishi katika present, unabidi kukaa na kutafakari wewe ni nani hasa kumbuka ulichokuja kukifanya hapa duniani.

Wewe ni majibu na sio maswali.

Dunia huwa inatupa maswali na sisi tunaipa majibu, yawezekana wewe ndo yule daktari bora utakaye-okoa maisha ya watu.

Hivyo usiendelee kulalamika bali itafute njia yako upite katika njia yako.

Maisha ni mfano wa barababra ya treni huwa haina foleni.

Ukiona unatumia nguvu kubwa katika maisha maana yake umetoka katika njia.

Mafanikio ni yale majibu utakayoipa dunia.

Write your own book about success Instead of reading someone else's book about success.
 
Unamaanisha ulikuepo hapo kabla

Hii ntailezea Ila katika Akili isiyofikika inakuwa na taarifa zako (subconscious mind)

Ukikaa ukakumbuka utaona kuwa kuna mambo unayajua vizuri na unayaependa kufanya na kila ukifanya you do at the best mpaka watu wengine wanashangaa . na hayo mambo unafanya pasipo kufundishwa na MTU.

Tunatumia past kuishi katika present.
 
Vijana kabla ya kukata tamaa na kutamani kujiua ebu elewa maana ya maisha kwanza.

Hapa duniani tunatumia past kuishi katika present, unabidi kukaa na kutafakari wewe ni nani hasa kumbuka ulichokuja kukifanya hapa duniani .

Wewe ni majibu na sio maswali.

Dunia huwa inatupa maswali na sisi tunaipa majibu ,yawezekana wewe ndo yule daktari bora utakaye-okoa maisha ya watu

Hivyo Usiendelee kulalamika bali itafute njia yako upite katika njia yako.

Maisha ni mfano wa barababra ya treni huwa haina foleni .

Ukiona unatumia nguvu kubwa katika maisha maana yake umetoka katika njia.

Mafanikio ni yele majibu utakayoipa dunia .

Write your own book about success Instead of reading someone else's book about success.
📝🆒🔊👍👌👏👊🤝🙏💐🎁🗼🎖️🏆👑🛡️
 
Pesaa Docta ndio inaleta furaha na huzuni

Ukiwa nayo unafurahi ,ukiwa una bac n huzuni tupu nakutia hurumaa..
 
• Naichukia dunia kwa sababu, tunaishi kwa mda mfupi sana.

• Hizo nadharia za sijui, utazaliwa mara ya pili, Sijui ulizaliwa kwa sababu fulani, huko nikufarijiana tu, .
 
Sikia wewe
images%20(67).jpg
 
Ati nini??
Ukiwa unafurukuta kupata pesa basi haupo njia sahihi??

Enhee naijuaje sasa hiyo njia sahihi na mimi niteleze kama ganda la ndizi maana hili jua na mvua za dar zote zangu.!!?
 
Back
Top Bottom