Nenda tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe chukua kadi ya uanachama mapema utafurahi 2025

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,824
18,563
Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama!

Baada ya hapo shiriki kwenye mambo yote ha uenezi wa chama hiki cha upinzani kilichobaki kwenye ulingo wa siasa za upinzani Tanzania.
 
Hii ni Fursa adhimu kwa Vijana na Wazee wenye Maono ya kutumia Wananchi wao.
 
Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama!

Baada ya hapo shiriki kwenye mambo yote ha uenezi wa chama hiki cha upinzani kilichobaki kwenye ulingo wa siasa za upinzani Tanzania.
mbona zimezagaa mtaani tu kila mahali zimetupwa 🐒
 
Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama!

Baada ya hapo shiriki kwenye mambo yote ha uenezi wa chama hiki cha upinzani kilichobaki kwenye ulingo wa siasa za upinzani Tanzania.
Siku hizi tunapata kadi na kuilipia online. Siyo lazima uende kwenye tawi kupata kadi au kulipia michango mingine. Download app ya chadema ndio kila kitu
 
Kwa hiyo na wapiga kura mnao wa online tu?
CCM ina kadi online na matawi ya CCM physical kika kijiji na kila mtaa na mitaa ya mijini mingine unakuta ina ofisi hadi tatu za CCM Tanzania nzima kinajuana na wanachama wake physically
 
Back
Top Bottom