Unaenda kujenga Kiwanja huko madongo poromoko halafu iwaje baada ya AFCON.
Viwanja ni biashara nje ya michuano; Wembley stadium kwa mwaka unatengeneza zaidi £300 million kibiashara. Na unachochea local economy kama £500m input kila kutokana na events zake.
Huo uwanja wa Arusha kuna mipango gani baada ya AFCON kimatumizi; uwezi kwenda kujijengea uwanja tu huko madongo poromoko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.