Atakutesa lakini atakulaumu kwa nini unalalamika unaumia.
POLENI SANA.
Historia ya masikini inaandikwa chooni, historia ya mshindi inaandikwa kwenye vitabu.
Mshana Jr
min -me
ngara23
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yesaya (A.Y), ameeleza mtazamo wake kuhusu mjadala wa “mdundo wa taifa” katika mahojiano na kituo cha redio cha East Africa Radio, Aprili 10, 2026 akisisitiza kuwa muziki hauwezi kulazimishwa kuwa na mwelekeo mmoja bali hujijenga na kukua kiasili.
AY...
Nashangaa sana kuona vijana wengi tunaendelea kuwa maskini katika Karne hii ambayo imejaa fursa kibao just imagine watu kama kiboko ya wachawi , na manabii kibao
Akina chif godlove wanatajirika kwa ujinga ujinga tu akina mwijaku na wengine wengi kibao alafu kuna akina sisi ambao tunaendelea...
Mara nyingi tunaona nchi kama
Sudan
South Sudan
Chad
Somalia
Burundi
Madagascar
And some parts of
Nigeria
Kenya
Ethiopia
Kila mwaka lazima usikie kutoka hizi nchi kuwa millions wanaface hunger. Kwa nini AU wasijadili jinsi ya kumaliza hili tatizo?
Mfano Tanzania huku huwezi kusikia...
Unakuta mtu amevaa sketi fupi mwenyewe halafu anaanza kuivuta vuta chini akiwa anakaa au anatembea!
Au gauni linapeperuka anahangaika kulirudisha.
Wengine unukuta kavaa nguo/juba/dera kubwa mno la kupwa limepitiliza mpaka linaburuta chini halafu anaanza kushikilia tena kwa kuning'iniza mkononi...
Wamaasai watarudi maeneo yao na wataanza kuyapigania, hivi ni vipeperushi vitakavyokuwa kwa lugha ya Kiswahili na kiamaasai
CCM imetaka kuunda Palestina hapa nchini
Nimeshindwa kuelewa Wakristu wengi hata baadhi ya madhehebu wamekuwa wakinasibisha Israel kama njia yakwenda kwa Mungu hadi wengine Wameweka Bendera za Israel katika makanisa yao wengine wanatembe na bendera katika magari yao!
Swali nini kinawafanya waipende Israel wakati wayahudi walimtesa...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
Kutumia mbinu za kijima yaani mkono wa chuma Kwa kizazi kipya ni ku expose uzembe wa idara ya taifa husika katika kusoma alama za nyakati plus mahitaji ya kizazi husika!
Tambiko hubadilika kutokana na mahitaji ya nyakati na kizazi ili kuepuka madhara makubwa Kwa taifa!
Kama ccm ndio Tambiko...
Maisha ni safari ndefu, ukifanikiwa kufika 60,70,80…ukiwa na afya njema ni jambo la kumshukuru Mungu. Changamoto kubwa hapa kama uko na mwenza wako na mipango yenu ya pesa iko sawa uzee mbaufurahia.
Shida inakuja pale mliachana na mwenza au mmoja ametangulia mbele za haki. Mwaume anaanza...
Kila script wanayotoa waigizaji wanakosea.
Script ya kwanza ni ile ya maandamano ya kwenda ubalozi wa Vatican Tanzania, kuna makosa mengi ya kiufundi yalifanyika ikakosa mvuto.
Script ya pili ni ile ya kuvamiwa kwa main character (steringi), ikajulikana hakuvamiwa wala kuumizwa bali alipaka...
Chadema ni chama cha Mtei, Mbowe na Waluteri kilichoporwa na wahuni na Wakatoliki kutaka kukitumia kwenda Ikulu lakini baada ya kushindikana watahakikisha kinarejeshwa kwa wenyewe as soon as possible. Hata aliyoyasema Mbowe kwenye msiba yalipangwa kwa ustadi mkubwa. Mwigulu hakwenda pale kwa...
Utashangaa mtu kaoa mke mzuri unamposti, unataka sisi tufanyaje mwisho WA siku tuna mwinda na tuna MLA unakuja kushituka kumbe ulioa Malaya, tatizo ni wewe ulieamua kututangazia kuwa Kuna chombo kizuli pahali fulani. Huyo ni mkeo au mumeo wako picha yake weka chumbani kwenu au sebuleni hapo uwe...
Hamjambo!
1. Moja ya mambo yaliyonifanya niandamane na kunusurika kuuawa ni pamoja na kupinga Utekaji, mauaji, wasiojulikana na siasa zisizo za haki kwa wapinzani. Ingawaje sina chama lakini mimi ni mdau na mpenda haki.
2. Nakereketwa na kukerwa nikisikia mtu Fulani kapotea katika mazingira ya...
Hebu tazama hii, sina mengi ya kusema! Ila kwa hakika tulio ndoani tunavumilia mengi Sana.
Hapa ni mke wa mtu, ana watoto kabisaaa, na mume WA madhabahuni!
Nachoka Baba yenu, Nachoka sanaaaa!
Polisi wameua watu 4 kwa siku moja.
Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya.
Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia unauawa pia.
Nchi haina mwenye.
Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati...
Leo nipo mkoa wa shinganya wilaya ya kahama kikazi.
Hongereni kwa kupewa manispaa sasa.
Il nilichogundua kahama ina mchanganyiko wa watu wengi sana na wanachi wamejenga yani majengo unayokutana nayo ukiambiwa hapa ni kahama kwenye picha utabisha.
wilaya ya kahama imetanuka sana kwa kahama...
Kiufupi huu mchezo wanaouanza utawaponza wenyewe na tumeona na tumethibitisha msanii mario kutumia maroboti kuboost views huku akijitamba kwa kuwashukuru mashabiki ilihali anajua kabisa mshabiki halisi hatuna mpango nae..
Nyimbo ya Mario leo imefika viewz mil 1+ youtube lakini cha kushangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.