wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Mchepuko hautaki tuwekeze unachojua wenyewe ni kutumiwa hela na kula tu

    Ni manzi yangu ya kitambo ila ndio hivyo tena hana malengo yoyote yeye anajua kutumiwa na kula tu. Nilimwambia awe na biashara nimuwezeshe afanye biashara ajipatie hela ndogo ndogo za kutumia cha ajabu anasema sio kazi yake kutafuta pesa. Nia yangu ilikuwa nimuwezeshe awe na biashara ya...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ufedhuli wa uzushi; sasa wanapingana wenyewe kwa wenyewe

    Anayejiita she he Mwaipopo anatoa tuhuma nzito kwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA kamanda John Heche kapewa pesa tasilimu na mfanyabiashara kada wa ccm kiasi cha dola laki 2 kamaTsh 520,000,000 hivi Kajitokeza Nilesh kakana na kutoa tuhuma kwamba kuna watu walimuomba hela akagoma kuwapa hivyo...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ebu tujitengezee wenyewe miaka 30 ya bongoflava ya JF. Tujikumbushie mangoma, mastori na moments

    My fond memory ya huu muziki huu ni pale baba mdogo wangu alipo leta albamu ya sugu nyumbani, ilikuwa na picha ya sugu amefungwa pingu mikononi kashikilia mic na shampeni, humo kulikuwa na ngoma ambayo niliipenda sana inaitwa niko mikononi mwa polisi Baadae nikaja kupata albamu hard blasters...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa akili zao wanazijua wao wenyewe!

    Akili zingine huwa zinastaajabisha sana eti waje kushika madaraka ya nchi!? #Biashara ya vyama vya siasa inalipa sana ona afya zao na mali walizonazo,fananisha na wale wazungusha mikono wa piiipoo pawaaa....(Kuna wajanja na wajinga miongoni MWAO)
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TLS na vyama vya siasa na hata CCM wenyewe, ni kwenda mahakamani kupinga katazo la waziri la mikutano ya hadhara, jambo la kikatiba

    Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
  6. Toredo0

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawanaga akili wenyewe wanapoteza watu wenye malengo nao kwa upumbafu wao

    Ipo hivi wakati nipo chuo nilikutana na binti mmoja mzuri tu wakati nipo mwaka wa pili yeye yupo wa kwanza tumedumu katika mahusiano hatimaye mpaka mimi nimemaliza chuo nikamuacha yeye anaendelea kusoma. pia wakati bado anasoma mimi nipo mtaani nikapigiwa pande nikapata kazi serikalini wakati...
  7. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Tufanye maridhiano sisi wenyewe ndani bila kutegemea watu wa nje

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi. Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
  8. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mnamtumia huyo mwenye id ya "anonymous" kuelezea changamoto zenu si mueleze wenyewe tuwape miongozo nini cha kufanya

    Ukileta changamoto yako wewe mwenyewe humu jukwaani watu watakuhoji lakini pia watakushauri nini cha kufanya kuliko hilo roboti lenu mnalolituma Kujeni wenyewe au mnaogopa kuanzisha account jf?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Afrika ya kusini dhidi ya waafrika wenzao utawatafuna wenyewe kombe la dunia!

    Waangalie hapa walivyosheheni kwa silaha za jadi: pinde, mapanga, fimbo, marungu wakiwa tayari kuwashambulia waafrika wenzao walioko Afrika ya kusini.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Muungano Huu Shaghalabaghala: Mzanzibari ni Mtanzania, ila si kila Mtanzania ni Mzanzibari

    Kumekuwa na kauli tata kutoka kwa viongozi wa Zanzibar kuhusu Muungano, wakionyesha ubaguzi wa wananchi kutoka Bara kupata huduma au kushiriki fursa za kiuchumi, hali inayozua maswali. Kauli hizo zimekuja wakati kukiwa na mjadala wa kwa nini raia wa upande mmoja (Tanzania Bara/Tanganyika)...
  11. Stability

    JamiiForums Tanzania Wengi hamuelewi hili ila masingo maza wenyewe wanakuona mwanaume mdhaifu or maybe retard kwa wewe kukubali kuwa step father😁

    Kaa mbali, acha kihere here😁 eti sijui boga na ua lake, hakuna kitu kama hicho, women are weird, bro.
  12. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Tamaa, Usaliti na Matokeo Yake Wanaume na Wanawake Wengi Wanaharibu Familia Zao Wenyewe

    Kuna wanaume Mungu kawajalia familia nzuri sana mke mwema, anayejitunza, anayeheshimu ndoa yake, anayekutii na kusimama kwenye nafasi yake kama mke. Pengine amekuzalia watoto na amekuwa nawe kipindi kigumu na chepesi. Lakini kutokana na tamaa, unaanza kuchezea amani ya familia yako mwenyewe...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Angalieni wenyewe siasa nyingi mbipango mibovu

    https://youtu.be/mVPnfyiLJaI?si=yHScuM1kZJdb9zxM
  14. R

    JamiiForums Tanzania Machawa wamemwagwa JF, tuwablock wabaki wanawasiliàna wenyewe mimi nimeblock wawili leo

    Ndiyo dawa yao..Block them wabaki peke yao!
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Aisee hata simba wenyewe wamebaki wanashangaa🤣🤣

    https://youtube.com/shorts/ckpjnHkqa9E?si=mG_23v6OuBb17h3T
  16. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Sina neno, jioneeni wenyewe

    Mambo ya kuoa mke wa mtu 😀😀🔥 Natafuta Ajira
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama Yale maandamano ya mapinduzi yangefanikiwa kufika jioni(Giza) nchi ingechafuka mpaka sasa kungekuwa na mapigano/vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Hamjambo! 1. Ingawaje wengi wanakataa hayakuwa mapinduzi. Na serikali haijakiri kwenye ripoti zake. Lakini Mimi Mtibeli nakiri yale yalikuwa mapinduzi yaliyojificha kwenye mwamvuli wa maandamano. 2. Ingawaje sikuona Waandamanaji wenye silaha za Moto lakini Nia Yao ilikuwa ni kuiodondosha...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Scholarship za Japan MEXT: Waafrika tunafelishana wenyewe

    Jana Jumanne bhana nikaamka na dhamira moja—kutafuta ukweli kuhusu ufadhili wa MEXT wa Japan. Nilikuwa na ndoto ya kuwasaidia vijana wangu wanne kufungua milango ya elimu ya kimataifa. Safari yangu iliniongoza hadi barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam, nikiwa na matumaini makubwa, ni...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wairan wenyewe ni mashabiki wa US na Israel ila wewe mwenzangu wa daraja mbili unalaani vikali matendo ya mabwenyenye😁😁

    Ni kipi haswa ulichosimamia😁😁 muuaji ayatollah anaeua watu wake kwa ajili ya madaraka au watu wa iran ambao kiasili ndio wenye nchi? Hakuna unajua wewe zaidi ya ushabiki, unashibikia IRGC kwa maana wana wakilisha unyama ulionao ndani yako na unyama wa itikadi mnayo share nao.
  20. P

    JamiiForums Tanzania Leo ndio nimeamini Tanganyika itapiganiwa na Watanganyika wenyewe

    Kwa hali jinsi ilivyo tusitegemee mtu kutoka visiwani au Comoro aje aipiganie nchi yetu Tanganyika Yule asuman wa tume nadhani ni mvisiwan yule ni ngumu SANA kukubal hali ya uchaguzi uliopita ulisababishwa na dada yake kushupaza shingo na ndipo akamchagua yeye kuziba kelele halali za...
Back
Top Bottom