son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 686
- 1,781
Generali wa marekani Alexus Grynkewich amesema kwasasa hana silaha za kuilinda Israel hivyo ni bora silaha zilizopo ziisadie kwenye ardhi ya marekani badala ya kuilinda Israel.
Vi tweet vya masjidGenerali wa marekani Alexus Grynkewich amesema kwasasa hana silaha za kuilinda Israel hivyo ni bora silaha zilizopo ziisadie kwenye ardhi ya marekani badala ya kuilinda Israel
Unateseka ukiwa wapiVi tweet vya masjid
Waamini tu,wangeshamaliza mchezo kama Venezuela,,,wamegonga kisiki,USA🇺🇸 hawaaminiki
Si ni hawa hawa USA🇺🇸 na washirika wao waliuaminisha ulimwengu ya kuwa Saddam Hussein anamiliki silaha za maangamiziWaamini tu,wangeshamaliza mchezo kama Venezuela,,,wamegonga kisiki,
Hahaha ni kweli mijinga sana hayataki kukubali USA kisha shindwa vita na Iran anatafuta njia ya kuficha aibu zake kesho utasikia Gulf states ndio waliye mzuia asipige Iran leo wamedai Iran kaomba poa Iran kawajibu sijawahi kuomba poa mimi na sita omba poa na USA hata siku moja ni lazima akubali masharti ya Iran akitaka yaishePro America watakuambia huo ni mtego TU wa danganya toto, ili mtu aingie mazima ajichanganye amalizwe.
Watakuambia hakuna watu wanatumia akili hapa duniani kama wamarekani.
Wairan aka wairanian msemo wa ulamaa mmoja. wafanye kama wanajikuna waone kitakachotokea .tutaamka na breck news za viongozi wa mairanian kuliwa vichwaEndeleeni kujidanganya tu!!