Around saa mbili na ushee asubuhi ya Leo, Nimeshuka zangu Chanika kituo kinaitwa Kwa Ngwale.
Natembea zangu mdogo mdogo naelekea eneo husika. Kwa mbali nasikia sauti za ibada hasa ulichukulia Leo ni siku ya ibada Kwa ndugu zetu Wakristo.
Mara paap nakaribia katika kanisa moja na huko ndani...
"Hivyo wewe mwanadamu, utoapo hukumu juu yao na bado unafanya mambo yale yale, unadhani utaepuka hukumu ya Mungu?" Warumi 2:3 NEN.
Wapo watu hupenda kusema usiangalie tabia yangu bali zingatia ninachokuambia au ninachokuhubiri au ninachokufundisha.
Hatujui kuwa watu hujifunza zaidi kwa matendo...
Kuweka mizania sawa kwa minajili ya ulinganifu tuiangalie Tanzania dhidi ya wengine EA.
Nchi zote hapa kuna lugha rasmi za kibeberu yaani kiingereza au kifaransa. Kwingine kasoro Tanzania si ajabu kukuta watu wa kawaida wakiwamo boda boda, vinyozi, maseremala nk wakizimudu vilivyo lugha hizo za...
Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond...
Salama wandugu,
Mimi nimefikiria kuhusu hii Tanzania nabaki nasikitika tu,niannze na watu walionusurika najua huko mliko mnafanya ibada za kushukuru, na wengine mnakata keki.Nawaomba kwa uwingi wenu changeni pesa ya kupata nyumba au boti la uvuvi mpeni huyu kijana aliyewaokoa he unajisikiaje...
Aviation Fuel ni mafuta yanayotumiwa kuendeshea injini za ndege. Kimsingi zipo kama aina nne za mafuta zinazotumika katika usafiri wa anga.
Jet A-1, ambayo kimsingi ni kundi la mafuta ya taa.
Jet B, ni mchanganyiko wa mafuta ya taa na petroli.
Avgas, ambayo ni kama petrol ya ndege.
Biokerosene...
Kuelewa kwa Kenge ni mpaka apigike damu zitoke masikioni. Mitanzania mingi ni mivivu ya kufikiri inapenda short cut na pia haijielewi. Toka zamani ilikuwepo DECI ikawagonga ,ikaja Kalyinda ikawatoa malinda, Qnet wazee wa all mornings.
Wamekuja wahuni wengine hawa hapa. Muda si muda watu...
Double standard kwenye kuripoti matukio!
Waharifu wengine wanaanikwa picha zao hata kama uchunguzi unaendelea inakuwaje hawa picha hazijawekwa wazi?
Wakiwa wanaripoti Waharifu wengine huwaonesha kwa mbwembwe wakiwa wanawapigapiga mabegani watuhumiwa kuonesha msisitizo!
Lakini wakikosea wao...
" imagine Imenichukua wiki 3 niweze kupanga hizi games mbili za leo mpaka zika tick ilikuwa ngumu sana. Demu mmoja akiwa free mwingine yupo tight. Yule akiwa free huyu yupo period..
Hatimaye leo zote zikatick. Nikapanga ratiba vizuri ili match zisiingiliane sababu utatumika uwanja mmoja...
Takriban watu 100 wamekufa katika moja ya dhoruba mbaya zaidi zilizoikumba Ufilipino mwaka huu huku wengine kadhaa wakihofiwa kutoweka baada ya wanakijiji kukimbilia kwenye njia iliyokumbwa na maporomoko ya udongo na kufukiwa na matope yaliyojaa mawe.
Watu takriban milioni 2 wamepoteza makazi...
Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka.
Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
Yaani unakuta mtu anakaribia kufa unamuuliza "sasa mzee unatuachaje?" Anasema "muishi kwa amani na upendo"
Khaaaa... Amani na upendo hakuna mshiko? Mzee anakufa anawaachia Kauli tu. Maana ndiyo aliyo nayo hana mali.... Anaacha kauli na madeni.unakufa bado unawaachia shida. Si bora ungeishi...
Ni dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri.
Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni huu, ili kukomesha tabia hii ya unprofessional journalism Uongozi wa Yanga utowe tamko la Boycott...
Muuza Kangala nina wakati mgumu sana. Maana huyu mwanamke ananichanganya. Kama miezi mitatu tulizinguana naye. Baada ya kizinguana naye mpaka leo anazingua kunipa puchi.
Mimi nikivusha wanawake anamaindi, kuna siku nilivusha mwanamke ile nataka kuchapa nikasikia anapiga simu. Sasa hivi kila...
Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo.
Mtupe ujuzi; je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
Mama Samia tuokoe sisi maskini na usisahau kumkamata Biswalo ambaye katudhulumu sisi wanyonge bila makosa yoyote.
Najua naye yule angekuwepo angekamatwa pia kwa kudhulumu watu uhai na pesa zao. Maskini Nimrodi Mkono kapalalyse kisa alifilisiwa na pesa yake kuchukuliwa kwenye account zake
Kama heading inavyojieleze Kama unajua uliweka pesa zako Kaylnda sahau na utafute kazi nyingine ya kukuingizia kipato watanzania ni wagumu sana kuelewa sijui kiwakute nini ndio wakubali QNET nao walikuja ivi ivi wakaondoka na kuacha vilio kila kona now Kalynda wameaondoka na kijiji[emoji16][emoji16]
Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER...
Hii no fap challenge inahusu kujizuia kuzitoa shahawa kwa kufanya vitendo kwa mwili ama kutumia akili kuwaza, vitendo vinaweza kuwa kama sex au kujichua na akili ni pale unajenga mawazo ya kingono mwishowe unapizi,
Shahawa ndipo nguvu za mwanaume zilipo kiroho, kiakili na kimwili, ukiona huwezi...
Boxer ni mchezo ambao unahitaji umpelekee mashambulizi mwenzako ili wewe ushinde. Lakini pamoja na mashambulizi hayo, yupo refa na Masecond ambao wote kazi yao ni kuwalinda mabondia ndani ya uwanja.
Lakini ni kazi ya bondia pia yeye mwenyewe kujilinda. Lakini la ziada kabisa ambalo mabondia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.