chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 971
- 1,969
Kwema WanaJF,
Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo sana kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka laki tano akitaka.
Najiuliza jinsi ya kukabiliana na haya Ni njia ipi itumike.