Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,224
12,729
Habarini. Mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini usomaji wetu na kuhabarishana juu ya vitabu tulivyosoma. Hii ni njia nzuri ya kujua vitabu vizuri vya kusoma. Binafsi nimesoma vitabu vifuatavyo, wewe umesoma vitabu gani?

1. The storm before the storm: Kitabu kizuri sana hiki, kinazungumzia siasa za Roma kabla haijatoka kuwa jamhuri na kuwa empire. Kuna uhuni, usanii na visasi vingi sana. Lakini pia kuna mazuri mengi ambayo hata leo hatujayafikia.

35263173.jpg

2. How i found Livingstone: Hiki kitabu setting yake ni Tanzania ya leo. Kizuri sana kwa Mtanzania kukisoma. Kinahusu safari ya H. M. Stanley kutoka Bagamoyo kwenda Ujiji kumtafuta Dr Livingstone. Ukisoma hiki kitabu ndiyo utaelewa kwa nini yale maneno, "Dr livingstone, i presume," ni maarufu sana. kiliandikwa mwaka 1871, unakuwa kama umerudi kuishi na wanyamwezi, wagogo na watu wengine wa miaka hiyo.

430317.jpg

3. The communist manifesto. Hiki ndiyo msingi wa ujamaa duniani. Kinaelezea jinsi mabepari walivyotokea, jinsi ubepari ulivyozaa makabwela, na jinsi makabwela watavyopindua mabepari na kuweka ukomunisti. Fasiri yake ya kiswahili ipo.

1672004175874.jpeg

4. Bury my heart at wounded knee: Kinaelezea jinsi wahindi wa Marekani walivyoteseka wazungu walipoanza kuvamia maeneo yao kwa kasi. Kinasikitisha sana. Wahindi waliteseka kuliko hata weusi waliokuwa watumwa, maana lengo la wazungu lilikuwa ni kuwaangamiza kabisa.

Bury_My_Heart_at_Wounded_Knee_cover.jpg

5. The little prince: Hiki ni hadithi ya kutunga. Ni hadithi simple lakini ina maana kubwa sana. Kitabu cha kwanza kiliandikwa kwa kifaransa, kimetafsiriwa kwa lugha nyingi kiasi kwamba ni kitabu cha pili kutafsiriwa duniani baada ya Biblia. nacho tuliandaa tafsiri yake ya kiswahili.

Littleprince.JPG

6. Breaking the Mirror of heaven: Kitabu kizuri kwa mtu anayevutiwa na Egyptology. Kinazungumzia historia ya idara ya vitu vya kale ya Misri, jinsi ilivyoendeshwa kihuni chini ya Zahi Hawass na historia fupi ya Misri kwa ujumla.

9270ec217c6357c490462b144f054184--mmf600x600.jpg

7. The princess and the Queen: Hii ni hadithi fupi ambayo series ya House of dragons imebase.

220px-The_Princess_and_the_Queen.jpg

8. The three body problem:
Hiki ni kitabu cha kwanza kwenye series ya SciFi Remembrance of earth's past. ni science fiction bora kabisa kuwahi kusoma. Hii ni tafsiri, originally kiliandikwa kwa kichina. wachina wanatoa kazi safi sana.

51hshl7LRTL._AC_SY780_.jpg

9. The dark Forest: kitabu cha pili kwenye hiyo series.

51jYXmPtC2L._AC_SY780_.jpg

10. death's end: kitabu cha tatu na cha mwisho kwenye series hiyo.

Death%27s_End_-_bookcover.jpg

11. A canticle for Leibowtz: Kitabu kizuri. Kinahusu maisha ya kasisi mmoja kwenye jamii ya ki-utopia mabayo imechoma vitabu vyote. Hiki bado sijakimaliza.

12.Chuo cha ustaarabu kitabu cha pili: hiki kitabu kiliandikwa na daktari mmoja mzungu huko Kenya miaka ya 1930'S. kilikuwa kinafundisha juu ya kilimo na ufugaji bora na utunzaji wa mazingira.

1620292959BWT_1.jpg

13. Visa na hadithi: kinasimulia visa na hadithi nyingi za kale. Kimeelezea kwa kina hadithi ya maisha ya Buddha.
14.Mlango wa Historia: kinaelezea historia ya zamani na hekaya zake.
 
View attachment 2458245

Kwa mwaka hu sijasoma. Ila nimejipangia 2023 nisome vitabu vingi na wanangu nijifunze mambo mengi kupitia vitabu. Nataka bint yangu mdogo aanze kusoma vitabu kuanzia mdogo
 
Duuuh mna pata wapi muda wa kusoma vitabu vyote hivyo ..?

Naunga mkono hoja ya usomaji vitabu . ni chakula cha ubongo.
 
Chuo Cha ustaarab tafsiri yake kwamba School of civilization hahaaaaa
Kwamba wakenya/ waafrika walikuwa hawajui kulima!
Pure whitewashing our history
 
Acheni kuchosha watu akili. Maisha yalivyomagumu hivi huo mda wakusoma vitabu utatoa wapi? Wakati wengi wanakula mara moja kwa siku tatu na kuoga gizani mara moja kwa wiki.
 
Hicho labda uagize Amazon.
Asante sana kwa vitabu na maelezo yake. Nitajaribu kutafuta baadhi nivisome. Kuna hivi vitabu viwili, kama hujavisome vitafute. Kulingana na maelezo ya vitabu ulivyosoma, nimegundua aina ya vitabu unavyovipenda zaidi, nina uhakika utavifurahia.
1: Ni kitabu non-fiction kinaelezea maisha na mauaji ya watu wa kabila la Osange nchini Marekani kwenye miaka ya 1920 baada ya hazina ya mafuta kugundulika eneo walilokuwa wanaishi. Hapo ndipo FIB ilipozaliwa kwani uchunguzi uliokuwa unafanyika uligundua mengi...
9780857209030.jpg
 
Kwa mwaka huu sijasoma vitabu vingi vilivyo shiba kurasa nyingi za maarifa mengi, zaidi ya tuviji tabu na tujarida mbalimbali. lakini nashukuru navyo pia vimekua msaada kwangu kuni ongezea maarifa mbalimbali.
 
Someni uhalisia
 
N
Someni uhalisia
Nimekuuliza kule kwamba unataka kusema nini? Hujajibu
 
Nimesoma
1) Dark psychology cha Richard
2) The school of money cha olumide
3)The secret History of Jesuit cha Edmond
4)Meet your Happy chemical cha Loretta
5) Biblia Takatifu cha Johann ludvig
6) The Silva mind control method. Hiki Bado nakisoma.
 
Back
Top Bottom