wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mabeberu: Ni haki wao kudhulumu ardhi na rasilimali za nchi zingine, bali ni dhambi kwa wengine kukaribishwa na nchi nyingine kuwa washirika!

    Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa nguvu kwa lengo la kumng'oa rais Saad wa Syria. Urusi ilialikwa na syria ili itoe msaada na urusi...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Bomu lalipuka karibu na msikiti na kuua wanne huku wengine wakijeruhiwa kule Afghanistan

    Hawa wagomvi kwenye hii dini sijawahi kuelewa nani hupigana na nani maana wote humpigania na kumtetea "mungu" mmoja.... Kuanzaia Somalia hadi Afghanistan, ni mabomu ya kujilipua kisa wanamtetea "mungu" wao ila wahanga ni hao hao wanao amini kwenye "mungu" huyo huyo.... At least four people have...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Asili yetu waafrika ni nini? Mbona ni watu wa ajabu na hatuonyeshi ikiwa tunauwezo wa kuwakomboa watu wetu?

    Tuko tayari kupandishwa kwenye bas na wazungu tukienda kwao, Ila sisi hatuko tayari kupunguza na kuacha uagizaji wa magari ya kifahari yanayokula kodi nyingi za watu wetu Ukiacha wazungu na wenye asili ya Kiyahudi, tuliobaki ni binadamu tuliotokana na nini? Mbona siamini nikionacho baada ya...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yatangaza wagonjwa wengine 6 wa Ebola

    Wizara ya Afya ya #Uganda imethibitisha maambukizi mapya ya Ugonjwa wa Ebola baada ya kulipuka kwa ugonjwa huo na kuua mtu moja mwenye umri wa miaka 24, mwanzoni mwa wiki hii eneo la Mubende. Aidha, mamlaka inafuatilia vifo vya watu wengine saba kikiwemo cha mtoto wa mwaka mmoja kujua kama...
  5. Execute

    JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania ni wezi kama wezi wengine tu

    Laini mpya kabisa. Nimeweka salio la elfu mbili na sijaitumia kabisa. Baada ya wiki mbili hela yote imepotea. Wiki nzima nawafuatilia mwisho wanasema ulijiunga na huduma kadhaa. Nawaomba wanitumie uthibitisho wamekaa kimya kwenye Facebook page yao.
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez awa makamu wa rais caf pamoja na wenzake wengine 10

    RAIS • Ahmed Yahya MAKAMU WA RAIS (WAPO 11) 1• BARBARA GONZALEZ 2• Maclean Cortez 3• Djibrilla Hamidou 4• El Hajoui Hamza 5• Sekou Sylla 6• Shehu Dikko 7• Ransford Abbey 8• Alim Konate 9• Mohamed Yonis 10• Muwanda Haruna 11• Mokhosi Mohapi MSHAURI • Desmond Maringwa
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Mapigano yazuka kati ya walinzi wa mpaka wa Kyrgyzstan na Tajikistan

    Siku zote Urusi amekua akikingia kifua Armenia, na yupo hadi na base pale, ila ilipobainika Urusi hana chochote cha maana kwenye medani za vita baada ya aibu anayopata Ukraine, ghafla Azerbaijan wakaanza kuchakaza Armenia. Na mtanange haujaishia hapo, kunao hawa Kyrgyzstan na Tajikistan...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Inonga ndiyo Mkongo pekee aliyeitwa Timu ya Taifa je, hawa Wengine wasioitwa ni Wakongo kweli?

    Pongezi nyingi kwa Klabu ya Simba kuweza kutoa Mchezaji wake ( Beki tegemeo ) Henock Inonga Baka na Mchezaji husika kwa kuweza Kuitwa hivi majuzi tu katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Congo DR. Kuna Timu Moja nchini Tanzania ( kwa sasa nimeisahau ) imejaza Wakongo wengi kama Wanamuziki wa Zaiko...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

    Habari! Mpaka leo natafakari hivi ni sababu za Kijiografia ndizo zimepelekea utofauti huu mkubwa wa akili baina ya Mwafrika na mtu mweupe? Sometimes nahisi ni sababu za kibaiolojia (genetic factors) ndizo zimeweka mstari wa akili kati ya Mwafrika na mtu mweupe? Narudi mezani napata jibu ni...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Malema na Waafrika wengine wanaoonyesha chuki zao kwa mwendazake Malkia Elizabeth ni wavivu wa kufikiri

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikionyeshwa kusikitishwa sana na matamko yanayotolewa na watu mbalimbali hasa wanasiasa maarufu wa kiafrika kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza. Julius Malema wa SA pamoja na watu wengine wameonyesha chuki zao kwa hoja za mambo...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Upende usipende Dunia itakufundisha kutokudharau wengine

    Anaandika, Robert Heriel Vijana wenye Dharau na kiburi mnawaona Watu wazima wenye age 45-70. Msiwaone wapole😂😂 msiwaone Kama wamezubaa 😊 Walikuwa wanaringa Kama ninyi, walikuwa na Dharau na kiburi Kama ninyi. Ila Dunia imewafundisha, somo limewaingia. Ujana maji ya Moto wahenga walishasema...
  12. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Acha kujiona bora kuliko wengine

    ACHA kujiona BORA kuliko WENGINE Je, huwa una tabia ya kujiona bora kuliko wengine? Basi ngoja nikuchane mwanangu... Mafanikio uliyonayo yasikupe kiburi ukaanza kujiona kuwa umemaliza na kuanza kudharau wengine.Ebu elewa kwamba.... Kama ni pesa, kuna watu wana pesa kuliko wewe. Kama ni elimu...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Mshukiwa wa mauaji ya watu 10 kwa Kisu akutwa amefariki

    UPDATES: Polisi wamethibitisha kuwa mwili wa Damien Sanderson, mmoja kati ya washukiwa wawili waliohusika na mauaji siku ya Jumapili huko Saskatchewan umepatikana katika eneo la James Smith Cree Nation. Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, washukiwa hao wawili ni ndugu na tahadhari imetolewa kuwa...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Bomu laripuka kwenye msikiti kule Afghanistan na kuua mkuu wa dini na waumini wengine

    Hawa nao sijawahi kuelewa sababu zao za kulipuana huko Afghanistan wakati wote dini moja.... At least one cleric and several civilians have been reported killed in the city of Herat, despite Taliban claims they have improved security. An explosion rocked the Guzargah mosque in the city of Herat...
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Putin hana unafiki, haendi mazishini, siyo kama wengine!

    Kama haumpendi mtu kwa nini kujibaraguza kuhudhuria mazishi yake kama akifariki tena wengine mpaka wanatoa hotuba kwenye mazishi lakini you don’t mean it, Rais wa Urusi Putin ameonyesha njia baada ya kifo cha Rais wa mwisho wa USSR kwenye mazishi yake Gorbachev haendi, Putin siyo fun wa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Washirika wengine wa Jacob Zuma wakamatwa kwa Ufisadi

    Waendesha wamewakamata Watendaji wa zamani kutoka kampuni ya Usafirishaji ya Umma ya Transnet ambayo inachunguzwa juu ya kuhusika na ufisadi wakati Jacob Zuma akiwa Rais. Mamlaka ya Taifa ya Mashtaka (NPA) imesema Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Transnet, Brian Molefe na Mkurugenzi wa Fedha...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasa akina Dada hili Jambo si sawa Jamani tunatafutiana tu sababu za kuonana wabaya n.k chonde chonde sisi wengine zinatuathiri sana tu

    Hizi issues mkianika nje sisi wengine tunapatwa na hisia kinyama....yaani tena nikiona sehemu ambapo papuchi inakaa nadata kabisa ... Msianike nje please. Nyumba moja nlipanga dada mmoja akawa anaanika nje vifuniko vyake....siku moja nlimfuata na kumsihi sana asiendelee kufanya hivyo akaniambia...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu 14 wafariki baada ya kudaiwa kunywa pombe, wengine wapo hoi

    Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu. Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza vifo saba vilitokea maeneo ya Mvara na Oluko na vingine saba vimetokea Madi Okollo, yote yakiw ani...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia songa mbele, wengine watakushukuru na kuacha kelele za lawama tukifika Kanaani

    Mh. Rais, najua unatambua kuwa safari ya kuyafikia maendeleo siyo nyepesi, siyo tambalale wala mteremko. Mh Rais sisi watanzania huwa tunalalamika sana linapoanza jambo fulani na kuinua sauti za kelele kila mahali ili mradi tu kila mtu kaongea. Mh. Rais wetu, umekuwa muwazi sana katika serikali...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atoa elimu ya Uraia kuhusu Usalama wa Taifa na Mamlaka yao Kisheria. Viongozi na wasomi wengine waige mfano huo wa kuelimisha jamii.

    ..kwa kweli elimu anayoitoa ni ya kupigiwa mfano. ..Ni vizuri wananchi wengi zaidi wakaelewa haki zao.
Back
Top Bottom