Kuna tofauti gani kati ya Lissu, Lema na Diaspora wengine?

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,953
4,326
Hivi nini maana ya diaspora? Na Je, Lissu na Lema nao si diaspora au tofauti yao na hao diaspora wetu ni nini? Kwa nini wao tunawarusu kupiga siasa za nchi yetu na kuwaruhusu kugombea hadi uraisi wa nchi yetu?

Kwani Katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusiana na jambo hili?
 
Mtu yeyote anaye kaa nje mwenye asili ya Tanzania ni Tanzania diaspora. Huu ni utu sio sheria au utaratibu wowote. Yaani wewe mfanyakazi wa serikali ukienda kusoma nje miaka miwili na wewe ni diaspora wa Tanzania. Diaspora ni tofauti sana na vibali vya nchi.

the dispersion or spread of a people from their original homeland.
"the diaspora of boat people from Asia"
  • people who have spread or been dispersed from their homeland.
    "the Latin American diaspora has spread across the United States"
 
Achana na hiyo definition ya ggogle. Kwa mjibu wa Katiba na sheria za nchi yetu diaspora ni mtu aliye na uraia wa nchi mbili. Kwa kawaida ili apate uraia wa nchi ya ugenini, nchi hiyo humtaka aukane kwanza uraia wa nchi alikotoka. Na kwa mjibu wa katiba na sheria za nchi yetu, mtu akipata uraia wa nchi nyingine automatically uraia wake wa Tanzania hufutwa, hatambuliki tena kama raia wa Tanzania. Hupoteza haki zote za raia wa Tanzania ikiwemo haki ya kupiga au kupigiwa kura etc

Wanafunzi wa kitanzania wanaosoma nchi zingine siyo diaspora. Au waliopelekwa na serikali kufanya kazi nchi za nje na kwenye balozi zetu huko nje nao siyo diaspora. Hawa akina Lema na Lisu wamejipeleka wenyewe huko kwa sababu wanazozijua wao, walishapata uraia wa nchi hizo na hivyo automatically walishaupoteza uraia wao wa Tanzania. Ni diaspora kwa mjibu wa sheria zetu.
 
Tuonyeshe hilo kwenye katiba. Nilisha kusema hapa una mtindo wa kutunga vitu na kuongea kama vya ukweli kumbe ni fikra binafsi tu
 
Wewe ndiyo huwa unaongea fikira binafsi. Mimi naongeaga ukweli tupu.
Kasome Katiba ya Jamhuri ya Tanzania ibara ya nane, ibara yote ya 21, ibara yote ya 5, sheria ya uchaguzi yote, sheria ya NEC na ZEC etc.

Pitia maombi na malalamiko ya siku nyingi ya diaspora wa kitanzania kuhusu kutokuwa na haki nchini Tanzania ya kumiliki ardhi, haki ya kupiga kura au kupigiwa kura za kupata mamlaka za utawala katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kadhalika. Ninajua wewe ni diaspora wa siku nyingi uliyechukua uraia wa Marekani na unajua fika maswala haya, usitake kudanganya.
 
Bwana Kamundu hebu msikilize hapa diaspora mwenzako ambaye ni mjuzi wa katiba na sheria za nchi yetu ambaye unamwamini kuliko mimi.
 
Achana na hiyo definition ya ggogle. Kwa mjibu wa Katiba na sheria za nchi yetu diaspora ni mtu aliye na uraia wa nchi mbili. Kwa kawaida ili apate uraia wa nchi ya ugenini, nchi hiyo humtaka aukane kwanza uraia wa nchi alikotoka. Na kwa mjibu wa katiba na sheria za nchi yetu, mtu akipata uraia wa nchi nyingine automatically uraia wake wa Tanzania hufutwa, hatambuliki tena kama raia wa Tanzania. Hupoteza haki zote za raia wa Tanzania ikiwemo haki ya kupiga au kupigiwa kura etc

Wanafunzi wa kitanzania wanaosoma nchi zingine siyo diaspora. Au waliopelekwa na serikali kufanya kazi nchi za nje na kwenye balozi zetu huko nje nao siyo diaspora. Hawa akina Lema na Lisu wamejipeleka wenyewe huko kwa sababu wanazozijua wao, walishapata uraia wa nchi hizo na hivyo automatically walishaupoteza uraia wao wa Tanzania. Ni diaspora kwa mjibu wa sheria zetu.
Huu si ukweli .katiba imesema kifungu gani kuwa mwenye uraia mbili? Au hujui hakuna mtanzania mwenye uraia mbili?? Katiba yetu ukipata tu uraia mwingine hapohapo umepoteza utanzania.
Huu ndo ujinga unaoupata kwa kuwa ccm hujui hata maana ya diaspora.
 
Sikua najua kama hao kina Lissu na Lema walishaukana uraia wa Tanzania na kununua uraia wa nchi nyingine, ndio naskia kutoka kwako. Nilikua najua kua wamepewa hifadhi ughaibuni Kwa sababu za kisiasa

Embu nisaidie nijue ni lini walibadilisha uraia wa Tanzania?

Una uthibitisho? Maana sikuwahi kuskia taarifa kama hizi popote ndio naskia kutoka kwako
 
Mjinga sana huyu kijana msamehe .na bila haya anasema katiba inasema
 
Hivi nini maana ya diaspora? Na Je, Lissu na Lema nao si diaspora au tofauti yao na hao diaspora wetu ni nini? Kwa nini wao tunawarusu kupiga siasa za nchi yetu na kuwaruhusu kugombea hadi uraisi wa nchi yetu?

Kwani Katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusiana na jambo hili?
Acha upoyoyo! Fanya kazi.
KATIBA Inakuja utaelewa tu.

Sent from my T810S using JamiiForums mobile app
 
Sikua najua kama hao kina Lissu na Lema walishaukana uraia wa Tanzania na kununua uraia wa nchi nyingine, ndio naskia kutoka kwako. Nilikua najua kua wamepewa hifadhi ughaibuni Kwa sababu za kisiasa

Embu nisaidie nijue ni lini walibadilisha uraia wa Tanzania?

Una uthibitisho? Maana sikuwahi kuskia taarifa kama hizi popote ndio naskia kutoka kwako
Kawaulize vizuri watakwambia wenyewe. Hiyo political asylum yao ilisha expire siku nyingi na serikali ya Dr Samia haina mgogoro wo wote wa kisiasa na hao watu. Wao wenyewe walishasema hata watoto wao wana uraia wa nchi hizo.

Huu si ukweli .katiba imesema kifungu gani kuwa mwenye uraia mbili? Au hujui hakuna mtanzania mwenye uraia mbili?? Katiba yetu ukipata tu uraia mwingine hapohapo umepoteza utanzania.
Huu ndo ujinga unaoupata kwa kuwa ccm hujui hata maana ya diaspora.
Mbona unayoongea ndiyo niliyaongea, inaelekea hukunielewa. Hao watu wenye asili ya Tanzania waliopata kibali/uraia cha kuishi huko ughaibuni kwa sababu zao binafsi hususani green pasture, walishapoteza automatically uraia wao wa Tanzania. Hivyo kihalisia hatupaswi kuwaita diaspora ingawa tumeshasikia mara nyingi wanaitwa hivyo kimakosa. Sheria zetu haziruhusu mtu kuwa raia wa nchi mbili au zaidi. Nchi kama Kenya wanaruhusu na kilio kikubwa cha watu wenye asili ya Tanzania wanaoishi huko ughaibuni kimekuwa nao waruhusiwe kuwa diaspora.

Nimekuwekea ibara kadhaa za katiba yetu zinazohusu jambo hili. Pia nimekuwekea hotuba ya uchambuzi ya makamu mwenyekiti wako. Kazisome hizo ibara na sikiliza hiyo video utaelewa.
 
Kawaulize vizuri watakwambia wenyewe. Hiyo political asylum yao ilisha expire siku nyingi na serikali ya Dr Samia haina mgogoro wo wote wa kisiasa na hao watu. Wao wenyewe walishasema hata watoto wao wana uraia wa nchi hizo.

Mbona unayoongea ndiyo niliyaongea, inaelekea hukunielewa. Hao watu wenye asili ya Tanzania waliopata kibali/uraia cha kuishi huko ughaibuni kwa sababu zao binafsi hususani green pasture, walishapoteza automatically uraia wao wa Tanzania. Hivyo kihalisia hatupaswi kuwaita diaspora ingawa tumeshasikia mara nyingi wanaitwa hivyo kimakosa. Sheria zetu haziruhusu mtu kuwa raia wa nchi mbili au zaidi. Nchi kama Kenya wanaruhusu na kilio kikubwa cha watu wenye asili ya Tanzania wanaoishi huko ughaibuni kimekuwa nao waruhusiwe kuwa diaspora.

Nimekuwekea ibara kadhaa za katiba yetu zinazohusu jambo hili. Pia nimekuwekea hotuba ya uchambuzi ya makamu mwenyekiti wako. Kazisome hizo ibara na sikiliza hiyo video utaelewa.
Niwekee ibara ambayo umesema diaspora ni mwenye uraia mbili rejea kauli yako.kijana wa ccm sikiliza .Diaspora ni Mtu yeyote alie mkazi wa nchi ambayo yeye sio raia wa nchi hiyo ila ameenda kihalali.
 
Hee, wewe kweli ni mjukuu wangu.
 
Nyi wazee mnakuja andika pumba humu afu tukiwapinga ooo vijana wa sikuhizi hawajiheshimu,nyi mnaotuheshimu si ndo mmefikisha hapa taifa
Unajua taifa hili lilikotoka? Na unajua mataifa kama USA yalikotoka?
 
Wewe ndiyo huwa unaongea fikira binafsi. Mimi naongeaga ukweli tupu.
Kasome Katiba ya Jamhuri ya Tanzania ibara ya nane, ibara yote ya 21, ibara yote ya 5, sheria ya uchaguzi yote, sheria ya NEC na ZEC etc.

Pitia maombi na malalamiko ya siku nyingi ya diaspora wa kitanzania kuhusu kutokuwa na haki nchini Tanzania ya kumiliki ardhi, haki ya kupiga kura au kupigiwa kura za kupata mamlaka za utawala katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kadhalika. Ninajua wewe ni diaspora wa siku nyingi uliyechukua uraia wa Marekani na unajua fika maswala haya, usitake kudanganya.

Inabidi ubadilishe jina lako ndugu! unaongea kama mtu wa kijiweni

Diaspora haina uhusiano wowote na Raia. Mfano mimi kwenye familia yangu kuna ambao wana uraia wa nchi ya USA na wengine ni raia wa Tanzania lakini wote ni Tanzania diaspora. Kisheria ilivyo sasa ukiwa disapora na raia una haki zote kama Mtanzania mwingine. Ukiwa dispora ambaye amechukuwa Uraia wa nchi nyingine huna haki kama Mtanzania mwingine na hawa ndiyo wana lalamikia sheria zaidi. Sasa kusema diaspora wote ni sawa kisheria sio kweli.

Pili Kuhusu Lissu na Lema walienda kama wakimbizi miaka michache tu hawawezi wakawa tayari wamepewa uraia kwa muda mfupi hizi ni miaka 5 sehemu nyingi kupewa uraia kuanzia ukubaliwe kupewe cheti cha uenyeji permanent residency permit. Sasa hawa wote wana permanent residency sio Uraia na wana haki zote na bado wana passport ya Tanzania.

Hivyo unakosea kuwaweka diaspora wote sawa lakini vilevile ni lazima uelewe utaratibu wa kupata Uraia kwenye hizi nchi inachukuwa miaka hiyo sio kwamba unapewa uraia moja kwa moja

Upende kuweka utamaduni wa kuuliza kwanza utaratibu kabla ya kurukia jambo usilo lielewa. Lema na Lissu wana haki zote kama Raia wengine
 
Back
Top Bottom