wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kontawa (lyric genius )Atadumu kwenye game au nae atapotea kama wengine..!?

    Ndani yake huyu jamaa namuona Godzilla(RIP). Ni ngumu sana mapengo kuzibwa ila nimemfuatilia huyu kijana ni genius wa kuandika.. hatumii nguvu nyingi sana,,hakuna kiki za kijingajinga hakuna teaser(vionjo) vya kupima upepo kama wafanyavo wengine. Anatoa kazi anaachia kazi.. kizuri chajiuza...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hili la kuhusu 'Uume' hutokea na kwa Wengine? Na inatokana na nini?

    Unakuta Wewe Mwenyewe kabisa ukijiangalia na hata Kujipimia Kimoyomoyo Maumbile yako ( Uume wako ) ama unauona ni mdogo au wa Kawaida lakini kila Mwanamke unayekutana nae ataulalamikia kuwa ni Mkubwa, huwa Unawaumiza na hata ukitaka kuwa nao tena Wanakukwepa. Je, kuna Uwezekano kwa Macho yako...
  3. JamiiForums Tanzania 40% ya Wagonjwa wanaotibiwa Saratani Hospitali ya Bugando ni Wanawake wenye Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi. Dkt. Masalu amesema #Bugando inahudumia Wagonjwa wapya 1,500 wenye tatizo la Saratani kwa mwaka huku zaidi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Sakata la Plea Bargain limenikumbusha Kisa hiki cha Wezi

    SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI Anaandika, Robert Heriel Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge ya Siri na yale ambayo yapo waziwazi. Ingawaje wapo Wezi binafsi WA kujitegemea ambao hufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Share hapa ushuhuda kama uliwahi kufikiria / kujaribu kujiua na ulichojifunza kinachoweza kusaidia wengine

    Miaka 10 iliyopita kuna kipindi nilikuwa nimejiandaa kujiua, nilipanga kabisa muda na siku, nilishaandika hadi barua. Sintosahau 2013 nilivyotaka kujiua nikiwa nimeshamaliza form 4 matokeo yametoka na nimefeli, nyumbani nipo nipo tu kama zigo, wazazi walilalamika kachoma pesa kunisomesha kwa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto na wengine hubaguliwa?

    Kwema WanaJF, Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo sana kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu na CHADEMA watautafuna mfupa uliowashinda wengine

    Mheshimiwa Lissu kaingizana nchini jana kama farasi wa ngongo. Mapokezi yake tu ni ishara tosha kuwa huyu ni mtu wa namna gani kwa watu wake. Kwenye hotuba yake mara tu baada ya kuwasili, anawaongelea waziwazi watanzania wote. Matatizo ya bei za vyakula, mzigo wa matozo na kodi ni shida kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA imejengwa na mabilioni ya Mbowe nyie wengine mmechangia nini?

    Kwa maelezo ya Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake. Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama KUPE tu kwenye ng'ombe aliyenona?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kingai Pekee ndiye aliyeweza kupambana na Mbowe akishia kupandishwa cheo; wengine wote wameishia pabaya

    Mbowe ameweza kupambana na watu wengi wa mfumo chinichini Bila kuonyesha adharani mashinikizo yake. Waliobomoa Mashamba yake huko Hai wote wameondolewa kwenye mfumo, viongozi waandaminizi waliokuwepo wakati ananyanyasika nao wametupwa nje Kwa fedhea. Walioitwa viongozi WA dola waliamini mfumo...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna watu na viatu ila kuna wengine ni ndala na vingine

    Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu. Dunia tunaishi maisha ya kuangalia unacho tu mpaka mnauzi jamani, tupumzishane wakati mnatupiga vita mlitegemea kusaidiwa na nani.
  11. JamiiForums Tanzania Tukiachana na wachezaji Kapombe na Mwenda kupigana na kupangua vipapai, ni wachezaji gani wengine waliowahi kuhusika katika mazingira haya ?

    Ni uzi maalum kwa kumbukumbu Kwa vile sayansi haithibitishi kila kitu ikiwemo uchawi inakuwa ngumu kupata ushahidi ila wataalam wa mambo wanakwambia kwamba haya mambo ya kupigana vipapai yapo katika soka la bongo. Hadi sasa tumeweza shuhudia wachezaji hawa wawili Mwenda na Kapombe wakihusishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa adhabu ya wale wanao anzisha vita na kusababisha vita na mateso kwa watu wengine

    Habari wana JF Nilikua natafakari tu mienendo ya viongozi wa dunia hii wa sasa na awali, nikagundua kwamba vita nyingi zinaanzishwa na viongozi wa kisiasa wasio na mapenzi ya dhati na raia wao. Vita nyingi zimeanzishwa kwa sababu za kipumbavu ambazo hazina mantiki yoyote kwa mustakabali wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kurogwa au unamfahamu aliyerogwa elezea hapa na wengine wajifunze

    1. Ndugu mmoja alipigwa marufuku kukatiza katika uwanja wa jirani akiwa anatoka kuteka maji. Huyu dada hakusikia akawa analazimisha, Yule mzee akampa onyo la mwisho, Kwa kiburi ndugu yule akalazimisha kupita. Siku iliyofuata alishangaa miguu inaishiwa nguvu na inakuwa ya baridi. Tangu siku hiyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Kabla ya Mapinduzi Matukufu lipo tabaka lililokandamiza, kubagua na kupuuza wengine huku likishindwa kujali "UTU" na kuwapuuza walio wengi

    Na Mwandishi wetu Z'bar Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinajivunia mabadiliko makubwa yaliyofikiwa Zanzibar katika kipindi cha miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ambayo yamewafanya wananchi kujiamini na kujiitegemea kimaendeleo alisema Shaka Hamdu Shaka, Mwenezi CCM Taifa Aliendelea kwa kusema...
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Ajali ya Basi yaua watu 16 na kujeruhi zaidi ya 20

    Takriban watu 16 wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi lililokuwa likielekea Gulu kugonga na Trela la Lori katika kituo cha biashara cha Adebe huko Kamdini kando ya barabara kuu ya Kampala-Gulu kaskazini mwa Uganda . Polisi walisema watu hao 12 walifariki papo hapo, huku wengine...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Lissu, Lema na Diaspora wengine?

    Hivi nini maana ya diaspora? Na Je, Lissu na Lema nao si diaspora au tofauti yao na hao diaspora wetu ni nini? Kwa nini wao tunawarusu kupiga siasa za nchi yetu na kuwaruhusu kugombea hadi uraisi wa nchi yetu? Kwani Katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusiana na jambo hili?
  17. JamiiForums Tanzania Mafuriko yaua watu 51 Ufilipino, wengine zaidi ya 19 hawajulikani waliko

    Idadi ya waliofariki katika mafuriko makubwa yaliyoharibu sehemu kubwa ya ardhi ya Ufilipino mwishoni mwa juma la Krismasi imepanda hadi 51, huku wengine 19 wakitoweka, shirika la kitaifa la kukabiliana na majanga limeeleza leo, huku wakaazi walioathirika wakihangaika kurejea kwenye makazi yao...
  18. JamiiForums Tanzania Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

    ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE! Anaandika Robert Heriel Kuhani. Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40. Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe. Ninapenda kuwausia Vijana...
  19. JamiiForums Tanzania Sugu: TRA siyo CHADEMA, acheni janja janja lipeni kodi

    Kudos wanajamvi. Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi. Sugu amenukukiwa akisema watu waache janja janja kwani TRA sio Chadema na kwamba kulipa Kodi ni Uzalendo. Asante Sana Sugu kwa kuonesha...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watu tisa wafariki huku wengine wakijeruhiwa kutokana na mkanyagano

    Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…