wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jastertz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uking'atwa na mbu panawasha na wengine hawawashwi?

    Wana JF! Naombeni kujua kwanini Kuna mtu aking'atwa na mbu anawashwa na mwingine hawashwi..??
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wengine hawajitambui Kabisa

    Nimemsikia mjinga Mmoja kupitia Uhuru Fm anamlalamikia Kijana Mlinda mlango Ally salumu eti hawezi kudaka mechi kubwa yaani , kuongea ongea tu mfano wa walevi.
  3. Street brain

    JamiiForums Tanzania Maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee

    Daaah, ngoja niteremke moja kwa moja kwenye point,, Simba alipokuwa cafcl maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee na sahivi niwasikie, NASEMA HADI FA HAMTAPATA YAANI MTAKANDAWA POTE POTE MKIVUKA AZAM FC MNAKUTANA NA MWENYE KUU YA JANGWANI YAANI MTAPOTEANA MPAKA MSEME JINA LA UTOTO LA...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Arusha flood nadhani imewachukua watu wengine leo. Video

  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Mahausigeli' wengi ni wepesi Kushika Mimba tofauti Wanawake Wengine?

    Ushauri wangu kama uko Nyumbani na una Housigeli ambaye ama Wewe Baba Unambandua au Mwanao Anambandua au Nduguyo hapo Kwako na hata Shemeji yako Anambandua tafadhali tumia Condom au Waambie Wavae mpira kwani Mtafiti Huru GENTAMYCINE nimegundua Mahausigeli wanaongoza kwa Kushika Mimba kwa haraka...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Kitanzania inatuchukulia simple sana sisi walinzi, wengine tuna elimu zetu na fedha tunazo

    Hello! Inachekesha sana. Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi. Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha, awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi. Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine...
  7. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Wachaga tupe siri na sisi wengine

    Hellow africa Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄 Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

    Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
  9. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

    Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana. Kuna siku niliiona pale Pestana Dodoma majamaa wameshiba na miili imejengeka vyema, wamevaa vipens vifupi hadi...
  10. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wageni huwa sio wastaarabu kabisa

    Hi, Tabia zako zinatosha kukuelezea wewe ni mtu wa aina gani. Imagine mgeni anafukuafukua msosi kama yuko mgodini kutafuta nyama, lengo lake ni nini au anataka wenyeji tule pilau kavu? Binadamu wengine jau kweli, hawa ndio wale ndugu akifa wanakuja kung'ang'ania mali ambazo hawajui hata...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wengine ukituheshimu kwa Pesa tulizonazo tunakuona Kama Mnafiki na Kiberenge

    WENGINE UKITUHESHIMU KWA PESA TULIZONAZO TUNAKUONA KAMA MNAFIKI NA KIBERENGE. Anaandika, Robert Heriel Tajiri wa Tibeli Wengine vipesa tumeanza kuvishika mapema. Hizi miambili miambili, sijui tumilioni. Hivi Kwa kweli tumebarikiwa mapema mno lakini hiyo haitufanyi tuheshimiwe au tudharau...
  12. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi ya Urusi yaua watu 8 na kujeruhi wengine zaidi ya 20 nchini Ukraine

    Mashambulizi ya Urusi huko mashariki mwa Ukraine yamesababisha vifo vya watu wanane na kuwajeruhi wengine zaidi ya 20. Mkuu wa Majeshi ya Ukraine amesema mashambulizi makali yanayofanywa na vikosi vya Urusi yaliendelea jana Ijumaa katika eneo la Sloviansk na maeneo mengine ya Donetsk, mashariki...
  13. Killa Cam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafuta hela ikusaidie uzeeni

    Tafuta hela iwe mlizi wako usitafute hela kwa kupata wanawake wazuri. Ukiwa na hela ina kupatia heshima kwenye familia na jamii. Ukiwa na hela ukiumwa inakuwa rahisi kwako kupata matibabu mazuri. Tafuta hela ikupe mke mwema sio mke mzuri, unaweza kuwa na mke mzuri wa sura na umbo lakini akawa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia waonee huruma maskini wa Tanzania, watu wanakufa kwa kukosa dawa huku wengine wakichota mabilioni

    Naomba kuchukua nafasi hii kuandika kwa kifupi kabisa ombi moja kwa niaba ya watanzania. Nakuomba Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia tafadhali wachukulie hatua za kisheria wote wanaohusika na ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi yetu. Tunakopa matrilioni, lakini tunapoteza matrilioni...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niwaamini tena TBS, TFDA na wathibiti ubora wengine maana kila nikijaribu kuwaamini inashindikana

    Naombeni ushauri namna ya kuongeza imani yangu kwa haya mashirika wadhibiti ubora! Yamkini wanafanya kazi nzuri sana lakini imani yangu kwao ilishakufa kabisa! Yaani ni mara mia uniambie hiki kitu ni bora kwa reference zingine tofauti na haya mashirika ya ubora tz!. Kila nikiona nembo ya...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru. Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae. Chanzo: Jambo...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Watu sita wafariki Dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti kuzama Ziwa Kivu

    Takriban watu sita wamefariki dunia, na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya boti kuzama katika upepo mkali Ziwa Kivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Boti hiyo ilikuwa imesheheni wafanyabiashara na bidhaa zao zikitoka Mugote katika mkoa wa Kivu Kusini kuelekea Goma, mji...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya Akili Bandia yaanza kumtisha Elon Musk, yeye na watafiti wengine 1000 wataka isimamishwe kwa muda

    Zaidi ya viongozi na watafiti 1,000 wa teknolojia, akiwemo Elon Musk, wamezitaka maabara za ujasusi za bandia kusitisha maendeleo ya mifumo ya hali ya juu zaidi, na kuonya kwamba zana za AI zinaleta hatari kubwa kwa jamii na ubinadamu. Barua hiyo ya wazi, iliyotolewa na Taasisi isiyo ya Faida...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Kamala Tanzania na viongozi wengine wa Marekani waliowahi kufika Tanzania

    Hii ni orodha fupi ya baadhi ya viongozi wa Marekani ambao wamewahi kutembelea Tanzania kwa nyakati mbalimbalu. 1. Rais Barack Obama: Aliitembelea Tanzania mwaka 2013 akiwa madarakani na kukutana na viongozi mbalimbali wa serikali wakiongozwa na Rais Jakaya Kikwete 2. Rais Bill Clinton...
  20. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusiana na watu wanoambukiza virusi wengine kwa makusudi?

    Kuna kijiji nilienda na nilikaa hapo kwa muda fulani , kipindi nikiwa hapo nilishuhudia baadhi ya wakazi wa kijiji hicho wakiambukizana magonjwa kwa Makusudi kwa mfumo huu, unakuta mwanaume ana mchepuko nje ambae ni mke wa mtu anakuwa na mahusiano nae pamoja na mabinti zake. Kuna Mzee mmoja...
Back
Top Bottom