Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,183
52,954
Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.

👉Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.

👉Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.

Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
👉Watu wa style kama yangu, huwa mnaishije🤒
FB_IMG_16956471825000370.jpg
 
Jitengenezee majukumu. Kama huwezi kuwa na familia sasa fuga hata mbwa,ng'ombe, fisi ilimradi uwaze cha kumlisha na itabidi ukitafute. Binadamu kukosa majukumu unakuwa na msongo wa mawazo na maisha ya huzuni.
 
Back
Top Bottom