Simba hii michezo mliyoanza ya kuhonga marefa ili mshinde mechi itawapalia muda si mrefu, mmeanza wengine watamaliza na pasiwepo kelele!

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
609
1,563
Naona Tanzania inayo safari ndefu katika nyanja ya waamuzi na mpira wa kitanzania kiujumla, mechi ya Leo imeonyesha ni wapi tunaelekea na klabu kinachokwenda kuiwakilisha nchi kimataifa!

Mpaka Sasa sijaelewa mwamuzi alikataaje goli la singida na kuamuru kuwa ni offside, ukirejea kuangalia replay zaidi ya mara kumi uwezi kuiona iyo offside na ata mwamuzi analijua ilo isipokuwa pengine fedha alizopewa zimemrevya! Uwezi kusema kwamba waamuzi awajui walifanyalo na wakati wanapewa mafunzo Kila mara ya Sheria na kanuni za soka! Huu ni uchafuzi wa mpira wa Tanzania!

Timu Kama inashinda basi ishinde kwa juhudi zake na ubora wake na sio kubebwa na waamuzi, Hii ni mechi ya pili Simba anafaidika na maamuzi ya waamuzi na chama Cha waamuzi kipo kimetulia tu,

Na hii ndio timu eti inakwenda kucheza kimataifa? Unakwenda kucheza kimataifa ukiwa inategemea ibebwe kwenye LIGI yako ili ushinde vipi kimataifa unadhani wapo waamuzi aina ya wakina tatu marogo?

Lakini hii michezo nafikiri itakuja kuwacost wao wenyewe maana timu nyingine zinaona kinachofanyika kwaiyo kwa sasa Kila timu itashinda mechi zake kivyovyote ata kwa goli la mkono na pasiwepo na mpuuzi yoyote wa kuinua kisemeo kulalamika!

Mbinu hii imechaguliwa rasmi na mwisho wa msimu tutaona nani bingwa, Simba ni timu ambayo Iko ovyo sana kwenye defence line yake na ndio maana Kila mechi inaruhusu goli ivyo kimbilio lao la mwisho liliobaki ni waamuzi wa kitanzania, lakini tukumbuke udhaifu wao huu kwenye mechi za kimataifa watachapika ipasavyo na kule akuna waamuzi wa Rose mhando, licha ya singida kunyimwa goli halali bado walikuwa na uwezo wa kumaliza mechi kwa ushindi namna walivyocheza kipindi Cha pili, kwa maana iyo Ile dhana ya kubebwa na waamuzi utafaidika nayo kwa marefa wa hapa Tanzania na ukitoka nje utahukumiwa kwa ubora wako na si vinginevyo!

N;B kutoa povu ni ruksa kwa wafuasi wa mbumbumbu fc lakini ujumbe umefika na mkiridhika na kinachoendelea majibu mtayapata mechi za kimataifa!
 
IMG_8024.jpeg
 
Naona Tanzania inayo safari ndefu katika nyanja ya waamuzi na mpira wa kitanzania kiujumla, mechi ya Leo imeonyesha

N;B kutoa povu ni ruksa kwa wafuasi wa mbumbumbu fc lakini ujumbe umefika na mkiridhika na kinachoendelea majibu mtayapata mechi za kimataifa!
Imekuingia eenh. ICHOMOE
 
Mpaka Sasa sijaelewa mwamuzi alikataaje goli la singida na kuamuru kuwa ni offside, ukirejea kuangalia replay zaidi ya mara kumi uwezi kuiona iyo offside na ata mwamuzi analijua ilo isipokuwa pengine fedha alizopewa zimemrevya! Uwezi kusema kwamba waamuzi awajui walifanyalo na wakati wanapewa mafunzo Kila mara ya Sheria na kanuni za soka! Huu ni uchafuzi wa mpira wa Tanzania!
Ngoja kwanza tupambanie madarasa
 
Naona Tanzania inayo safari ndefu katika nyanja ya waamuzi na mpira wa kitanzania kiujumla, mechi ya Leo imeonyesha ni wapi tunaelekea na klabu kinachokwenda kuiwakilisha nchi kimataifa!
Mpaka Sasa sijaelewa mwamuzi alikataaje goli la singida na kuamuru kuwa ni offside, ukirejea kuangalia replay zaidi ya mara kumi uwezi kuiona iyo offside na ata mwamuzi analijua ilo isipokuwa pengine fedha alizopewa zimemrevya! Uwezi kusema kwamba waamuzi awajui walifanyalo na wakati wanapewa mafunzo Kila mara ya Sheria na kanuni za soka! Huu ni uchafuzi wa mpira wa Tanzania!
Timu Kama inashinda basi ishinde kwa juhudi zake na ubora wake na sio kubebwa na waamuzi, Hii ni mechi ya pili Simba anafaidika na maamuzi ya waamuzi na chama Cha waamuzi kipo kimetulia tu,
Na hii ndio timu eti inakwenda kucheza kimataifa? Unakwenda kucheza kimataifa ukiwa inategemea ibebwe kwenye LIGI yako ili ushinde vipi kimataifa unadhani wapo waamuzi aina ya wakina tatu marogo?
Lakini hii michezo nafikiri itakuja kuwacost wao wenyewe maana timu nyingine zinaona kinachofanyika kwaiyo kwa sasa Kila timu itashinda mechi zake kivyovyote ata kwa goli la mkono na pasiwepo na mpuuzi yoyote wa kuinua kisemeo kulalamika!
Mbinu hii imechaguliwa rasmi na mwisho wa msimu tutaona nani bingwa,
Simba ni timu ambayo Iko ovyo sana kwenye defence line yake na ndio maana Kila mechi inaruhusu goli ivyo kimbilio lao la mwisho liliobaki ni waamuzi wa kitanzania, lakini tukumbuke udhaifu wao huu kwenye mechi za kimataifa watachapika ipasavyo na kule akuna waamuzi wa Rose mhando, licha ya singida kunyimwa goli halali bado walikuwa na uwezo wa kumaliza mechi kwa ushindi namna walivyocheza kipindi Cha pili, kwa maana iyo Ile dhana ya kubebwa na waamuzi utafaidika nayo kwa marefa wa hapa Tanzania na ukitoka nje utahukumiwa kwa ubora wako na si vinginevyo!

N;B kutoa povu ni ruksa kwa wafuasi wa mbumbumbu fc lakini ujumbe umefika na mkiridhika na kinachoendelea majibu mtayapata mechi za kimataifa!
Bado hamjasema ongezeni sautiiii
 
Back
Top Bottom