TANESCO mnachonifanyia sijapenda kabisa na sitopenda muwafanyie wengine

Clark cian

Senior Member
Jul 3, 2021
153
139
Zimepita siku nne sasa tangu luku yetu tunayotumia ishindwe kuruhusu umeme kutumika kwenye nyumba yangu

Nimetumia taarifa mapema kabisaa, pale tuuh luku Yao ilipojizima bila ya tatizo lolote.

Nikawaambia kupitia huduma Kwa wateja kuwa""jamani luku yenu imezingua, umeme hauruhusiwi, luku imezima yenyewe njooni mbadilishe

Wakajibu-hamna shida luku Yako ni ya muda kwahiyo namba Yako ya luku ni ipi" na Mimi bila ya shaka lolote nikawatumia namba ya mita na wakasema taarifa yangu ipo itafanyiwa kazi mapema iwezekanavyo.

Sasa ndugu zangu mpaka leo Jumanne hamna chochote, nikijaribu kuwapigia wanasema taarifa wanayo lakini ufuatiliaji ni zero.

Sasa Mimi napandisha na swali langu moja"Kama taarifa wanayo, mbona sasa wanakawia kuja kubadilisha luku? Wanasahau sisi huku Mbezi mwisho tumejikita zaidi kwenye shughuli za ujasiriamali.

Sasa maziwa yangu, ice cream zangu, soda, maji na vitu vingine vinavyohifadhiwa na baridi nivifanyaje haya vimeharibika sasa.

Yaani ukikadiria Hadi sasa nimepatwa hasara kama ya milioni mia sita ( kikwetu kwetu ni laki 6)
Daah sasa ndo mniambie nyie TANESCO mnafanyaga kazi gani huko maofisini na je kama umeme usipokuwepo kwenu mnakubali mlale Giza hadi sasa?

Anyway napeleka simu chaji Kwa jirani nikirudi naendeleza malalamiko ila Kwa mwenye namba ya Tanesco yeyote naiomba kama hamna tutatumia elimu yetu tuliyopewa katika chuo Cha MUST (ila no uvunjifu wa sheria ) 😓😓
 
Meter imetempa, Je mliwasha kitu gani humo ndani

Je walikutumia Namba za kutest Kama Quick On-Off test kwa Meter yako

Tatizo lako halitatatuliwa Kama hujatumiwa ticket Number.
+255752754000 wapigie tena
 
Zimepita siku nne sasa tangu luku yetu tunayotumia ishindwe kuruhusu umeme kutumika kwenye nyumba yangu

Nimetumia taarifa mapema kabisaa,pale tuuh luku Yao ilipojizima bila ya tatizo lolote

Nikawaambi kupitia huduma Kwa wateja kuwa""jamani luku yenu imezingua ,umeme hauruhusiwi ,luku imezima yenyewe njooni mbadilishe

Wakajibu-hamna shida luku Yako niyamuda kwahiyo namba Yako ya luku ni ipi" na Mimi bila ya shaka lolote nikawatumia namba ya mita na wakasema taarifa yangu ipo itafanyiwa kazi mapema iwezekanavyo

Sasa ndugu zangu mpaka leo jumanne hamna chochote,nikijaribu kuwapigia wanasema taarifa wanayo lakini ufuatiliaji ni zero

Sasa Mimi napandisha na swali langu moja"""kama taarifa wanayo,mbona sasa wanakawia kuja kubadilisha luku? Wanasahau sisi huku mbezi mwisho tumejikita zaidi kwenye shughuli za ujasiriamali

Sasa maziwa yangu,ice cream zangu,soda,maji na vitu vingine vinavyohifadhiwa na baridi nivifanyaje haya vimeharibika sasa

Yani ukikadiria Hadi sasa nimepatwa hasara kama ya milioni mia sita ( kikwetu kwetu ni laki 6)
Daah sasa ndo mniambie nyie TANESCO mnafanyaga kazi gani huko maofisini na je kama umeme usipokuwepo kwenu mnakubali mlale Giza hadi sasa ?

Anyway napeleka simu chaji Kwa jirani nikirudi naendeleza malalamiko ila Kwa mwenye namba ya tanesco yeyote naiomba kama hamna tutatumia elimu yetu tuliyopewa katika chuo Cha MUST (ila no uvunjifu wa sheria ) 😓😓
Wewe uko mkoa gani? Mbona Tanesco wako fasta sana siku hizi?
 
Back
Top Bottom