wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanamiliki majini bila kificho na kuyatumia kwenye tiba sambamba na visomo vya Quran takatifu. Huu sio ushirikina?

    Ushirikina sio kutumia uchawi pekee, hata unapomshirikisha Mwenyezi Mungu na majini huo nao ni ushirikina. Mkasa huu niliweza kuushuhudia live kwa macho yangu 2019, Mgonjwa alipona maradhi yake lakini hadi leo najiuliza ilikuwa sahihi kwa Sheikh / Ustadh kuyatumia majini sambamba na kuitumia...
  2. Beberu

    JamiiForums Tanzania AzamPesa ipo poa sana, bei zipo chini, ila kwanini SSB hawaweki mawakala wengi mtaani?

    Kama kichwa kinavyosema hapo juu, leo nimejaribu kudownload app ya Azam pesa na kujaribu kucheki gharama zao, kiukweli wana gharama ndogo sana ukilinganisha na MNO wengine, ila shida sasa ni mawakala wao 💔 hawana mawakala kabisa? Kwanini SSB wasifanye kampeni kubwa ya kupita kila kibanda cha...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Huenda Wananchi wengi wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake

    Wananchi wengi watakuwa wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake kwa kuuziwa na wauzaji wa maduka madomadogo maarufu kama maduka ya mangi na waha. Wauzaji wa bidhaa hizo aidha hawafatilii muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa zao ili wazitoe dukani au wengine hujua na kufanya kusudi kuwauzia watu...
  4. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Picha: Nape Nnauye Habarini JF GT! Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu. Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
  5. Disney mbola

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wenye ndoto kubwa hutokea familia maskini

    Kama kichwa cha Uzi huu kinavoeleza hapo juuu. Vijana wengi wenye ndoto KUBWA za kimaisha kwa asilimia KUBWA wanatokea familia ambazo zina kipato cha Hali ya chini Ninze na mimi mwenyewe ndoto YANGU ILIKUWA kuja kuwa daktari lakini ilipotea tu pale nilipofika kidato cha nne je sababu ILIKUWA...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Agha Khan madaktari wengi ni wanafunzi au ndio kwanza wanaanza kazi?

    Ndugu wanajamvi. Nimeona nilete hili kwenu natumaini wengi wenu mliowahi kwenda Hospital ya Aghakan pale mjini mme notice kuwa madaktari wengi ni wanafunzi ambao hawana uzoefu. Na wengi hurudi kwenye kusoma Notice ili kujua mgonjwa anasumbuliwa na nini..? Nilimpeleka mtu mida ya usiku...
  7. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa watu wengi wanafanya wakiharibikiwa gari.

    Kukosa mtu sahihi wa kurekebisha tatizo la gari lako. Moja kati ya makosa ambayo nimeyaona kwa kipindi kirefu ni hili. Mtu anakuwa na mawazo kichwani kwamba Fundi mmoja anaweza kufix matatizo yote kwenye gari yake. (Sisemi kwamba hili haliwezekani, ila linawezekana kwa wale wenye magereji...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wakataa KUOA wengi ni wale ambao tuliumizwa na wapenzi tuliowapa hisia na tumaini la kudumu katika kweli. Hii imekuwa chachu ya fikra hasi kuhusu KUOA

    Hello family, Mods please tupeni fursa tuseme kweli, kweli inaponya. Let speak the truth, the truth be told. Hakika nasema katika kweli hasira na chuki hasa katika mawanda ya ndoa si bure kuna chanzo, wengi wa wanaokataa ndoa na kuoa ni wahanga wa kuumizwa kihisia na kuharibiwa malengo hasa...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

    Picha linaanza unakuta profile picture yake ni ya kibabe Ila kwa vitendo sasa unaona kabisa ni sifuri Wanajua zaidi kupiga domo kwenye misamiati na vitu maneno technical ila vitendo 0, utasikia naweza kupiga sql injection nipate password zote, System naweza kuitungua ddos ile, nikikaa man in...
  10. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Utafiti: vijana wengi wanaogopa kununua condom madukani kisa eti wanaona aibu.

    Habari wanajf. Utafiti umefanywa na taasisi fulani umebaini kuwa, vijana wengi hasa wa kiume wanogopa kununua mipira ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali na mimba zisotarajiwa kwa kigezo kuwa pindi wanapoenda kununua bidhaaa hiyo wanaona aibu na hasa wanapokuta wahudumu watu wazima...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini makabila ya watu yaliyompakani/ mikoa kwa Nchi yetu wengi wako vizuri sana kichwani, majasiri, watafutaji na wasioyumbishwa?

    Chunguza mikoa yote ya mipakani utapata majibu hayo, hata uje kwenye uongozi utaona utofauti wakishika watu hawa..
  12. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini maamuzi mengi ya Viongozi (Serikali) yanapingwa sana na wananchi walio wengi?

    Ni kweli kuwa huwezi hufanya jambo la kuwafurahisha watu wote. Na si kila mtu atapendezwa na mambo uyafanyayo hata kama ni mazuri kiasi gani, Ila basi angalau mambo yaliyo mengi ufanyayo yapendezwe na walio wengi.! Mie nachukulia JF kama case study. Ukiachana na watu wachache sana ambao wao...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wamehitimisha kwamba MC Joel alijirusha, wanasahau kuhoji kwamba kuna kurushwa kwa nguvu na kutishiwa ujirushe

    Ndio kawaida ya watu wengi kufikia conclusion wakiona mtu karuka ghorofani basi kajirusha, Tukumbuke pia kuna kuruka kwa mazingira haya. A. Kurushwa na mtu au watu wengine kwa nguvu, hapa inaweza kuwa mtu anasukumwa kwa nguvu ili adondoke, kuna watu wana nguvu hana haja kukusukuma anakurusha...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wengi wamesusia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati? Wengi hawapo

    Naangalia Bunge lipo tupu. Viti vingi havina watu. Hadi wabunge wameomba iangaliwe akidi kama imetimia. Spika kadai linafanyiwa kazi.
  15. carnage21

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye watoto wengi zaidi kwa sasa duniani,ana watoto 44.

    ‪#UNAAMBIWA. Mariam Nabatanzi (41) raia Kutoka Nchini Uganda 🇺🇬 ambae anatajwa kuwa ndio Mwanamke mwenye Watoto wengi zaidi kwa sasa Duniani, Mariam mpaka sasa ameshazaa Watoto 44 na Mwanaume mmoja huku akiwa na seti 4 ya mapacha Watatu 3, seti 3 ya mapacha Wanne 4, na seti 6 ya mapacha Wawili...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa na Wakuu wa Majeshi wengi kwanini waliopewa Magari na Rais ni Waitara na Mboma tu?

    Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

    Kumekuwa na wimbi la ongezeko la sehemu za siri kutoa harufu mbaya! Unaweza kukuta mdada mzuri kupita kiasi, lakini harufu sasa. Wingi wa manukato hufanya usisikie chochote mapema, lakini mkishaanza kushughulika tu hali hujitokeza fasta. Uchunguzi nimeufanya wa kutosha tu, tena asilimia kubwa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Wengi mtanitoa akili

    Hi Mimi nilibahatika kupata kazi sehemu fulani mshahara ulikuwa mdogo ila nilificha mtu yoyote asijue napokea kiasi gani Sasa siku moja katika kuongea nikajikuta nimesema kwa ndugu mshahara wangu wakaanza kunichamba hapa ushibi bora uache iyo kazi tutakutafutia sehemu nyingine acha mara moja...
  19. The Boss

    JamiiForums Tanzania Kuwa na followers Wengi Instagram hakuna faida?

    Nilikuwa naangalia wasanii wenye followers Wengi nimeshangaa kuona Zuchu kazidiwa followers na wasanii Wengi wa kike lakini wasanii hao Wana "struggle"... kulinganisha na Zuchu ..imenishangaza sana. Nilifikiri sanaa ya sasa kuwa na followers Wengi ndo kila kitu. Unauza chochote na unapata...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mlipuko huu utaondoka na wengi. Nilibanwa na Kifua kwa siku 2. Dalili na Tiba

    Asalam ndugu wanajamii. Hapa ni kijijini, tuongee kama wanakijiji kahawani tusije Angamia. Wakati wa hizi taarifa mbali mbali za kubanwa vifua kwa maradhi ambayo taarifa rasmi ya serikali imeyaweka katika tahadhari ya chini na yasiyo hatari kwa afya ya jamii, huku uraiani hali si njema...
Back
Top Bottom