wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kamari: Mbadala wa Dawa za Kulevya?

    Kwa wale ambao mmeshawahi kusikia namna 'punda' wa 'sembe ya mwakyembe' wanavyo 'packiwa' mizigo ya kusafirisha mtakubaliana na mimi kwamba biashara hii 'takatifu' ina faida kubwa iliyotukuka. Ni ukweli unaosikitisha kwamba 'pipi' za 'sembe' hushindiliwa kupitia njia ya nyuma mpaka tumbo lijae...
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Wahaya hatuna kawaida ya kupanda Mabasi, wengi tuna Private Cars

    Siku za hivi karibuni nimeona watu wakiiponda stendi ya mabasi ya Bukoba kuwa ni stendi duni, nakubaliana nao ila nawakumbusha pia kuna kitu hawakijui au wanakijua ila hawataki kusema, sasa leo nitakisema hapa ili kumaliza utata. Iko hivi, sisi wahaya tunapenda kutumia private cars au ndege...
  3. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

    Imekuwa ni fasheni kwa wadada na mabinti wengi wanazaa bila mtoto kujulikana ni wa nani hii hatua waliofikia hawa dada zetu naona tunaelekea kupoteza maadili yetu kama watanzania. Nina dada yangu pia nina shangazi yangu hawa wote wamezaa bila kuolewa kibaya zaidi watoto haijulikani baba zao ni...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina waandishi /wanahabari wengi wa "hovyo" wasiojitambua kabisa!

    Nimefuatilia mahojiano ya Profesa Anna Tibaijuka na Kituo cha Wasafi kuhusu sakata la mkataba wa ki.pu.mbavu ambao Nchi yetu imeingia na Dubai hivi karibuni! Mahojiano hayo yaliongozwa na Edo Kumwembe na mtu anayejiita Oscar! Hao wanahabari nawashauri waendelee na mambo ya mpira na mambo...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake, wapi tunakosea kuwaandaa wakati wa tendo?

    1) Huwa tunakosea wapi kwenye kuwaandaa katika swala zima la kuelekea katika kufanya mapenzi? 2) Nyie mnapenda tuwe tunawaandaaje, na nini hamkipendi tukifanye tunapowaandaa? Yale maneno ya pembeni muyaache, semeni ukweli watu tuache ujuaji.
  6. Mjegejo Wa Begeju

    JamiiForums Tanzania Bara la Afrika, Maajabu Makubwa ya Viongozi na Watu wao

    Africa ndiyo bara linaloongoza kwa kuwa na maajabu mengi yasiyo na tija. Ni bara ambalo linaamua kumchagua binadamu mmoja kumfanya awe mungu, jambazi la kuheshimika, tapeli, muuaji na fisadi. Huyu akichaguliwa na kupewa vyeo hivyo anaachagua naye watu wa namna yake ambao watatenda kama yeye...
  7. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Sikubaliani na hoja ya kwamba walimu wengi ni failure wa kidato cha nne au sita

    Habarini wadau, kwa muda mrefu kumekuwa na uongo na propaganda kuhusu ualimu. Watu wengi husema kwamba ualimu huenda watu waliofeli katika mitihani yao ya kidato cha nne au sita Binafsi nimejaribu kufuatilia hili kwa muda mrefu, na nimekuwa nikisoma guide books za kila mwaka. Ninachoona ni...
  8. radika

    JamiiForums Tanzania Kwanini bandari apewe DP World?

    Kabla hamjakimbilia kutuambia faida na hasara, chambueni kwanza vipengele vya mkataba na mjibu maswali yanayoulizwa. Nia ya kumtafuta DPW ilitokana na report ipi ya uchanganuzi wa ufanisi wa bandari? Tenda iliyozishindanisha kampuni tofauti tofauti kisha ikapatikana DPW ilitangazwa wapi? Mgao...
  9. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

    Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu. Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo? They are acting like they were in boarding schools for 10...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana mzalendo aliyevujisha mkataba wa Dp World, Mungu akulinde, na akuzidishie maisha marefu kwa zawadi uliyotoa kwa mama Tanganyika.

    Wiki ya pili na tunaelekea wiki ya tatu saasa , masikio, macho na mioyo ya wana wa tanganyika yamegoma kuelewa, kupokea, au kusikia nyimbo, mapambio na kelele, maelekezo juu ya uwekezaji tata ulioambatana na mkataba tata wa DP world na mama JMT juu ya bandari za Tanganyika pekee zenye muundo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Salim Asas tambua kuwa wengi wa UVCCM hawafurahii mnavyouza nchi. Wanaofaidi ni wachache, hawawezi kutetea ufisadi

    Usilazimishe watetee uovu. ---- MNEC SALIM ASAS ATAKA VIJANA KUVUNJA UKIMYA KUJIBU HOJA ZA WAPOTOSHAJI MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas ameushangaa ukimya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Iringa katika kutetea viongozi na mipango mbalimbali ya maendeleo inayofanywa...
  12. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi akili zao ni kama za watoto wadogo. Unapowaeleza jambo elezea kama unamueleza mtoto mdogo.

    Umewahi sikia kitu kinachoitwa The curse of knowledge(Laana ya maarifa)? Ni ile mtu anafikiri kuwa maarifa aliyonayo au mambo anayoyafahamuu basi kila mtu wa kawaida anayafahamu. Hii inapelekea watu wengi wenye maarifa na wasomi waonekane hawawezi kujieleza au kuongea kwa ufasaha, au...
  13. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wengi wa CCM sio wazalendo kwa nchi yetu

    Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
  14. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wengi wa CCM sio wazalendo kwa yetu

    Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
  15. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Wabunge tumieni pesa yenu vizuri, wengi hamtorudi msimu ujao

    Hali niionayo sasa na ajenda za uchaguzi zinazozidi kuzaliwa, hasira ya wananchi ninayoiona kwa mabo mengi mchanganyiko, kuchoka kwa walio wengi kuona mambo yaleyale kwa miaka 62 Ongezeko la unemployment inayoongezeka, utumwa unaoongezeka wa walionacho na wasionacho, uongozi usiolidhisha wa...
  16. Mimi Ni Mtu Wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wameonewa sababu ya Swali hili la Polisi

    Kuna swali maarufu la jeshi letu la Polisi Nchini pindi raia apelekapo mashtaka Polisi 'Unamuhisi Nani'.
  17. Zacht

    JamiiForums Tanzania Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

    Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Kiafrika zenye mamilionea wengi

    Ifuatayo ni orodha ya nchi 10 za kiafrika zenye dola millionaire wengi. =============== Top 10 countries in Africa with the highest number of millionaires in 2023 Business Insider Africa presents the top 10 countries in Africa with the highest number of millionaires in 2023. This list is...
  19. polokwane

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

    Baada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali. Lakini wengine ni lile kundi ambalo lina danganya nyaraka mfano mtu kaingiza kontena 100 akidai kwamba...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanamiliki majini bila kificho na kuyatumia kwenye tiba sambamba na visomo vya Quran takatifu. Huu sio ushirikina?

    Ushirikina sio kutumia uchawi pekee, hata unapomshirikisha Mwenyezi Mungu na majini huo nao ni ushirikina. Mkasa huu niliweza kuushuhudia live kwa macho yangu 2019, Mgonjwa alipona maradhi yake lakini hadi leo najiuliza ilikuwa sahihi kwa Sheikh / Ustadh kuyatumia majini sambamba na kuitumia...
Back
Top Bottom