Vijana wengi wenye ndoto kubwa hutokea familia maskini

Disney mbola

New Member
Apr 8, 2023
3
3
Kama kichwa cha Uzi huu kinavoeleza hapo juuu. Vijana wengi wenye ndoto KUBWA za kimaisha kwa asilimia KUBWA wanatokea familia ambazo zina kipato cha Hali ya chini

Ninze na mimi mwenyewe ndoto YANGU ILIKUWA kuja kuwa daktari lakini ilipotea tu pale nilipofika kidato cha nne je sababu ILIKUWA ni nini?
Uzembe.
Kipato.
La hasha kipato ILIKUWA ni sababu tosha ya kushindwa kuendelea na kidato cha Tano .
Nilipomaliza kidato cha nne niliscore division 2 na nikabahatila kuchaguliwa kujiunga na kidato cha Tano katika shule ya sekondari Rungwe mbeya hko kwa mchepuo wa CBG .

Naweza nikasema kwa bahati mbaya nilishindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya kushindwa kumudu gharama .
Sikukata tamaa kijana bila woga nikaingia mtaani kustrugle lakini bado nilipata kidogo mno ilifikia hatua mawazo ya shule yakawa hayapo Tena.

Nilikaa nikafikiria nikapiga hesabu miaka 30 ijayo inchi hii itakuwa na wasomi wengi hivo hata ukiingia ofisi yoyote itakuwa ni vigumu kupata kazi kwa sababu nitakuwa Sina professional yoyote.

OMBI LANGU KWA WANA JF.

Kwa yeyote ambaye anaweza kunidhamini , kampuni , au shirika naomba anipe connection ili niweze kutimiza ndoto

Asanteni wana JF natanguliza shukrani.
Kwa mawasiliano piga no;

0715162198
 
Content ya uzi na tittle ni vitu viwili tofauti ila kuna kauhusiano kidogo...

Ila kuna vijana wakuni watakuja na kukuzodoa kwamba umezunguka sana! Ungeweka wazi tu kwamba unataka upatiwe msaada ufikie achievement zako... Anyways! Bongo watu wako radhi kukuchangia uoe/uolewe ila sio pesa ya kukufanya uendelee na masomo utoboe ndoto zako, au ulipie pesa kwa ajili ya masomo ya kijana wako.

KILA LA KHERI!
 
Back
Top Bottom