wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wana habari wengi wa media za Bongo ni mashabiki wa Simba wamejaa fitina

    Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio ya Yanga. Wamekuwa wakijificha kwa kile wanachokiita uchambuzi lakini ukifuatilia chambuzi zao...
  2. system hacker

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha matatizo ya Kodi ni 'Bunge' lakini watu wengi hawaoni

    Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi. Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili. Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kutengeneza maeneo mapya ya kibiashara ili kuiondolea nguvu Kariakoo. Kariakoo ibaki kama mji wa kale

    Serikali inabidi Sasa ifikirie kuunda maeneo mapya ya kibiashara, nje ya kariakoo. Ni ajabu mpaka leo, kariakoo ndio eneo pekee la kibiashara Dar es Salaam, na hicho ndio chanzo cha msongamano mjini. Uwepo mkakati wa makusudi kuwekeza maeneo kama ubungo, kimara, bunju, tegeta kwa kujenga...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kipi kinafanya wasafiri wengi kupendelea kukaa dirishani wakati wa safari?

    Ndugu zangu, kwanini wasafiri wengi hupendelea zaidi kukaa dirishani iwe kwenye basi ndege hata meli wakati wa safari? Kuna watu wakikosa siti dirishani wapo tayari kuairisha safari.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu Ikulu mpya inayoenda Kuzinduliwa hatutasikia nayo ina Hirizi nyingi na Kondoo wengi Wamezikwa

    Kuna Mtu Mmoja aliingia zamu yake ( mwaka nauhifadhi ) na alikuta Hirizi kila mahala huku Kondoo wakiwa Wamefukiwa hadi hawaka anashindwa Kulala ndipo Watu wa Maombi wakaitwa na Kuombea kisha vyote vikatolewa na ikawa salama na aliyekuwa navyo akaondoka navyo vingine Kwake Mikocheni, Masaki na...
  6. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Membe kutokudhuria pia Bashiru, mke wa Magufuli na wengine wengi hawajahudhuria

    Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe. Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda)...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Waafrika wengi wana akili ndogo na wengine hawana akili kabisa?

    Nilishaongea sana na sasa naona kazi kurudia . Icheki hii video fupi hapo chini uone jinsi akili za Mwafrika huyu na ma bodyguards wake Mimi ni Mtanzania ila simjui huyu kijana I mean sio maarufu sana, sio potential sana kwamba anaweza kuvamiwa akitembea mchana maeneo ya wazi hasa pahali...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi Duniani wamekuwa wakiishi zaidi ya miaka sabini; Tanzania ni kama vile viongozi wanaanza kuishi chini ya miaka sabini; Tumekosea wapi?

    Ukisoma vitabu vitakatifu utabaini viongozi wengi walibarikiwa vipawa, nguvu na maisha marefu. Utabaini viongozi wengi wanaombewa waishi sana; utabaini kwamba viongozi wengi walikuwa wana ulinzi wa Mungu naturally. Ulinzi huu usionekana ulikuwa unawasiaidia viongozi husika kuyaona maisha ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Virus wanaodaiwa kumuua Membe waliondoka na viongozi wengi miaka miwili nyuma. Madaktari wawezeshwe wafanye utafiti, tusipuuze

    Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu. Hawa Virus naamini kama wameweza kufanya damu kuganda hadi kusababisha kifo watakuwa hatari sana na...
  10. jastertz

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Watanzania wengi ni kufika Arusha

    Najua hapa wengi mtabisha but ukiacha watu wa mataifa mengine, watanzania wengi wanatamani wafike Mkoani Arusha tofauti na mikoa mingine. sio kwa sababu ni kuzuri sana but kuona kile kinachozungumziwa., watu wa aina yake, mandhari nzuri na ya kuvutia.. mji wenye idadi kubwa ya wageni...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Nchi zenye Waislam wengi Ukristo hupigwa vita usiwepo wakati Nchi iliyojaa Ukristo kuna uhuru wa kuabudu?

    Mfano ni nchi kama Nigeria tu hapo Waislam ni asilimia 50, Wakristo asilimia 40 Utakuta kanisa limebomolewa, Kanisa limelipuliwa, Wakristo wanatekwa au Wakristo wanauawa?
  12. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Hii ndio chemshabongo ambayo imewashinda wengi, je wewe unaweza kuijibu?

    Vipi kwema wakongwe wenzangu? Wakuu mimi ninachemshabongo yangu ambayo imenisumbua kwa muda mrefu, so nitafurahi na kushukuru sana kama nitapata mtu mwenye upeo wa kuijibu chemshabongo hiyo. 1. Kwanza naomba mtu aniwekee jina la band au msanii gani alieimba wimbo wa zamani unaoimbwa "mtu ni...
  13. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Moja Ya Kosa Wanaume Wengi Hufanya Wakiwa Na Mwanamke

    Shida ya kuishi na mwanamke ndo huanzia hapa. Shida ya kumpata mwanamke ndo huanzia hapa. Hupelekea mtu kusema mwanamke haeleweki. Hupelekea kutoelewana. Sababu anakua hana jibu kamili kutoka kwa mwanamke. Kosa hilo ni: Kumtafsiri mwanamke kwa maneno yake zaidi ya vitendo vyake. Kumsikiliza...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nini kinasabisha hili kwa wanawake wengi wa Kichaga? Na Wapemba nao wana lao

    Wanasifika kwa kuwa na Kipulilo aka Komwe. Nini Chanzo cha Tatizo hilo? Unakuta dada mzuri tu maskini sura huku chini inavutia ila ana Komwe. Na nywele zimeanzia karibu na kati kati ya kichwa. Je, haiwezekani kufanyika utafiti wa kitaalamu kubaini nini chanzo? Wapemba wengi ni flat head end...
  15. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Oscar Oscar: Simba sio mbovu kama wengi wanavyodhani, kilichotuangusha msimu huu ni Ubora wa Yanga na Azam tu!

    Wakati tukimsubiri Marumo Gallants ambaye mpaka sasa amepotea njia ya kuja bongo na hajulikani kafika wapi, Ebu tumsome mchambuzi nguli kutoka viunga vya Kalia Mchambuzi huyu amesema sababu ya Kufa Kiume FC kushindwa kung'aa ndani na mipaka ya nchi yetu ni kwa kuwa Azam na Yanga ni bora...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Fomu za kugombea Urais 2025 kupitia CCM ziwekwe kwenye mtandao ili zijazwe online

    Ninaomba kutoa ushauri kuwa, Wanachama wengi wa CCM wanaonyesha kutaka kutia nia kugombea Urais kupitia CCM mwaka 2025. Ili kuwa wana-CCM uhuru na haki ya kuchagulia ninashauri fomu za kugombea Urais ziwekwe kwenye mtandao na malipo yake yalipwe online. Hii itaongeza uwazi wa uchukuaji fomu...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

    Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi 1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi 2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Deep down wazungu wengi wanajuta kuwapeleka watumwa weusi, hasa Marekani

    Ukiachana na wale watu maarufu, Ukifatilia kwa karibu maisha ya black American wengi sio ya kistaarabu, ni bora watu weusi wanaoenda kwa kufanya kazi kuliko wale waloizaliwa pale pale, wana mambo ya hovyo na yenye kuaibisha black community. Nadhani wanatamani bora wangechukua latino.
  19. YE67NBE

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la V8 mtaani na bado watu wanaamini masikini ni wengi Tanzania?

    Wakuu za sasa hivi hapo, Ni siku nyingine tena kutoka kwa bwana nikasema ngoja niwasabahi na kutoa baadhi ya mawazo niliyonayo. Kuhusu msemo wa Tanzania masikini ni wengi, personally napingana na huu msemo kabisa. Maana huwezi sema masikini ni wengi wakati haya ma V8 yamejaa barabarani kama...
  20. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Makosa ambayo watu wengi hufanya katika kujenga au kujibu hoja humu jukwaani

    Kupitia mijadala mingi humu jukwaani,nimegundua watu wengi hawajui kujadiliana na mara nyingi hoja zao huwa na makosa,kasoro au upotofu. Ni tofauti na mijadala ya Quora au reddit inavyoenda. Kasoro za kimantiki ni makosa yanayotokea wakati hoja au maelezo yanayotolewa hayafuati misingi ya...
Back
Top Bottom