Mlipuko huu utaondoka na wengi. Nilibanwa na Kifua kwa siku 2. Dalili na Tiba

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Asalam ndugu wanajamii. Hapa ni kijijini, tuongee kama wanakijiji kahawani tusije Angamia.

Wakati wa hizi taarifa mbali mbali za kubanwa vifua kwa maradhi ambayo taarifa rasmi ya serikali imeyaweka katika tahadhari ya chini na yasiyo hatari kwa afya ya jamii, huku uraiani hali si njema.

Dalili
1. Viungo kama kunyong'onyea na mwili kuwa katika hali laini launi isiyopenda pilika, uvivu uvivu hivi.
2. Kuanza kupoteza hamu ya kula. Utaijuaje? Unaanza kukosa mvuto na Tamaa hata ya kile upendacho kula. Achana na habari za mdomo, sijui ulimi kuwa mchungu hadi hapo utakuwa umechelewa.
3. Koo kuanza kuwashawasha, kama linakereketa kereketa. Linakuwa na mikwaruzo. Hapo hata mafua unaweza usiwe nayo au haujagundua kama unayo. Kinachotutatiza hapa kila mmoja anadhani anaweza kugundua mapema kama anamafua. Haya sasa unaweza ukawa nayo na usijue. Wakati yanaanza kumbe ndo yanakumaliza. Maake ndani huko kushaharibika.
4. Kifua kuanza kubana bana kama mtu aliepiga pushup ghafla, au kama mtu aliebeba mzigo mzito kiwani. Hapa unaweza kudharau ukadhani ni kauchovu ka jana etc.
5. Kupoteza hamu ya kufanya mapenzi ( kupungua kwa libido) au kwa lugha rahisi kushuka kwa ashiki. Yaani unakuwa na umpendae na kila mkiwa pamoja kama mazingira yanaruhusu chochote mtafanya ikiwemo Busubusu. Au pia hata umpenda kama yuko mbali unaona ule moto wa kumkumbuka unapotea. Haya maradhi yanashusha sana libido. Na naomba wanasayansi ya afya wapafanyie kazi kwenye hii dalili.
6. Kifua kubana rasmi, makohozi makavu na wakati mwingine hayatoki. Jitahidi kuyakohoa.

Tiba
1. Tafuta haraka dawa za Hospital zili ziliorodheshwa mara kadhaa toka hii kitu imeanza.
Azuma, vitamin c, zinc., panadol, Cetrizen. Gonga hizo.
2. Kunywa maji ya lmao, tangawizi, na kitunguu saumu. Unavichemsha pamoja kidogo na unachuja maji yake.
3. Mazoezi. Achana kabisa na starehe za gari au boda kama unapoenda panafikika kwa mguu. Pushup, kulima, etc. Mwili uwe active.
4. Jifukize kiasi kukipa joto kifua. Usijifunike mashuka na mablanketi. Sogelea tu kidogo sufuria inayotoa mvuke na ukifikie kifua, pua na mdomo. Funmba macho kuepuka athari kwenye macho.
5. Iko dawa nyingine naifanyia utafiti. Ni ya asili na iko majumbani kwetu. Nitaileta nikiona matokeo yake.

Party 2 itakuja baadae.
Asante kwa sasa. Mimi ninaendelea
 
Dalili za umaskini ndio hizi
 
Enzi zile walikua busy kumlaumu jembe anaficha ugonjwa saiv wapo kimya kama sio wenyewe
Walitoa taarifa ya wagonjwa 6 tu nchi nzima. Kuna haja ya kuchukua tahadhari na kuwahi tiba. Kwa wenye madaktari wa familia sawa endelee kuwatumia. Tusio nao chonde chonde akili mukichwa
 
Aisee basi lipo jambo.
nilikua Mwanza juzi nikakuta mwenyeji wangu yupo hoi bin taaban dalili ni kama izo za mleta mada.

nikamuandalia juisi ya machungwa, malimao,tangawizi na asali akanywa huo mchanganyiko kutwa nzima.asubuhi nikaenda town jioni narudi nikakuta yuko fit nikamwambia apambane sasa aende akapime.
 
Asalam ndugu wanajamii. Hapa ni kijijini, tuongee kama wanakijiji kahawani tusije Angamia.

Wakati wa hizi taarifa mbali mbali za kubanwa vifua kwa maradhi ambayo taarifa rasmi ya serikali imeyaweka katika tahadhari ya chini na yasiyo hatari kwa afya ya jamii, huku uraiani hali si njema.

Dalili
1. Viungo kama kunyong'onyea na mwili kuwa katika hali laini launi isiyopenda pilika, uvivu uvivu hivi.
2. Kuanza kupoteza hamu ya kula. Utaijuaje? Unaanza kukosa mvuto na Tamaa hata ya kile upendacho kula. Achana na habari za mdomo, sijui ulimi kuwa mchungu hadi hapo utakuwa umechelewa.
3. Koo kuanza kuwashawasha, kama linakereketa kereketa. Linakuwa na mikwaruzo. Hapo hata mafua unaweza usiwe nayo au haujagundua kama unayo. Kinachotutatiza hapa kila mmoja anadhani anaweza kugundua mapema kama anamafua. Haya sasa unaweza ukawa nayo na usijue. Wakati yanaanza kumbe ndo yanakumaliza. Maake ndani huko kushaharibika.
4. Kifua kuanza kubana bana kama mtu aliepiga pushup ghafla, au kama mtu aliebeba mzigo mzito kiwani. Hapa unaweza kudharau ukadhani ni kauchovu ka jana etc.
5. Kupoteza hamu ya kufanya mapenzi ( kupungua kwa libido) au kwa lugha rahisi kushuka kwa ashiki. Yaani unakuwa na umpendae na kila mkiwa pamoja kama mazingira yanaruhusu chochote mtafanya ikiwemo Busubusu. Au pia hata umpenda kama yuko mbali unaona ule moto wa kumkumbuka unapotea. Haya maradhi yanashusha sana libido. Na naomba wanasayansi ya afya wapafanyie kazi kwenye hii dalili.
6. Kifua kubana rasmi, makohozi makavu na wakati mwingine hayatoki. Jitahidi kuyakohoa.

Tiba
1. Tafuta haraka dawa za Hospital zili ziliorodheshwa mara kadhaa toka hii kitu imeanza.
Azuma, vitamin c, zinc., panadol, Cetrizen. Gonga hizo.
2. Kunywa maji ya lmao, tangawizi, na kitunguu saumu. Unavichemsha pamoja kidogo na unachuja maji yake.
3. Mazoezi. Achana kabisa na starehe za gari au boda kama unapoenda panafikika kwa mguu. Pushup, kulima, etc. Mwili uwe active.
4. Jifukize kiasi kukipa joto kifua. Usijifunike mashuka na mablanketi. Sogelea tu kidogo sufuria inayotoa mvuke na ukifikie kifua, pua na mdomo. Funmba macho kuepuka athari kwenye macho.
5. Iko dawa nyingine naifanyia utafiti. Ni ya asili na iko majumbani kwetu. Nitaileta nikiona matokeo yake.

Party 2 itakuja baadae.
Asante kwa sasa. Mimi ninaendelea
Mi nna siku ya 4 sasa nimekunywa dawa ila bado sipumui vizuri nabanwa aisee
 
Tembelea hospital, Ongeza bidii ya Mazoezi usilale. Tupia kahawa tupia mdalasini na asali. Gonna ya moto moto. Dakika chache utaona
 
Aisee basi lipo jambo.
nilikua Mwanza juzi nikakuta mwenyeji wangu yupo hoi bin taaban dalili ni kama izo za mleta mada.

nikamuandalia juisi ya machungwa, malimao,tangawizi na asali akanywa huo mchanganyiko kutwa nzima.asubuhi nikaenda town jioni narudi nikakuta yuko fit nikamwambia apambane sasa aende akapime.
Safi, tuzingatie hospital
Lkn ule ushauri wa kitabibu kuwa usihofu ni mafua kidogo tu usiuzingatie. Piga hizo dawa na hivyo vyakula na vinywaji vya moto kama hizi tangawizi na mdalasini
 
Wakuu hapa nilipo ndio nimepata nafuu nilibanwa siku 3 nyuma na dalili ni hizo hizo japo dalili hizo zinamagonjwa mengi
 
Back
Top Bottom