Mwanamke mwenye watoto wengi zaidi kwa sasa duniani,ana watoto 44.

carnage21

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
519
1,256
‪#UNAAMBIWA. Mariam Nabatanzi (41) raia Kutoka Nchini Uganda 🇺🇬 ambae anatajwa kuwa ndio Mwanamke mwenye Watoto wengi zaidi kwa sasa Duniani, Mariam mpaka sasa ameshazaa Watoto 44 na Mwanaume mmoja huku akiwa na seti 4 ya mapacha Watatu 3, seti 3 ya mapacha Wanne 4, na seti 6 ya mapacha Wawili 2 na wengine 8.

Watoto hao wote 44 alijifungua alipokuwa na umri wa miaka 36 tu, Kwa Mujibu wa Wanasayansi wanasema Mariam Ana maumbile yanayomfanya atoe mayai mengi kwa mzunguko mmoja, Kati ya Hao Watoto 6 Wamefariki!! Na Kwa Sasa Amebakiza watoto 38 ambao wapo hai.

Kwa Sasa ni Single Mother Baada ya Mume Wake Kumkimbia Kutokana na Kuwa na Hali hiyo ya Kujifungua watoto wengi Kwa Uzao Mmoja na Kukimbia Majukumu.

Je,wewe apo (mwanamke) unao wangap!!?😂😂
FB_IMG_16854569885875110.jpg
FB_IMG_16854569828797845.jpg
FB_IMG_16854569649319119.jpg
 
Gives me baby fever...nipate hata ishirini!

Me nikipata dough ni kufyatua tu. Raha sana kuzungukwa na wananchi wako.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom