Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 570
- 1,229
Habari wanajf. Utafiti umefanywa na taasisi fulani umebaini kuwa, vijana wengi hasa wa kiume wanogopa kununua mipira ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali na mimba zisotarajiwa kwa kigezo kuwa pindi wanapoenda kununua bidhaaa hiyo wanaona aibu na hasa wanapokuta wahudumu watu wazima au wa jinsia tofauti. Aidha watoto wa kike wanaogopa kununua bidhaaa hiyo kwa kigezo kuwa wataonekana Malaya. Je wewe unapoenda duka unafanye kupata bidhaa hiyo??? Tuwashauri vijana wasiogope na kuona aibu??