wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi hawakuwa wanaijua Katiba wakati wa Kifo cha Magufuli

    Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha kuonesha kuwa Viongozi wengi walikuwa hawana ufahamu na katiba Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni...
  2. JamiiForums Tanzania Mawaziri wengi hawakubaliwi na wananchi, huu ni ukweli mchungu

    baada ya kufanya tafiti yangu binafsi mimi kama mzalendo nimeona mawaziri wengi hawakubaliwi na wananchi hii inaonesha wananchi wengi hawaikubali serikali. ikatokea ipigwe kura ya ndio kwa mawaziri nahisi waziri Gwajima ndiye atakayebaki maana sioni kama wengi wanamcoment vibaya. keq utafit...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Huyu bibi bikra mwenye miaka 86 anawakilisha mentality ya wanawake wengi

    Hi Jana nliona video afrimax, kuna bibi anaeitwa Sofia wa hapa hapa Tanzania anadai ana miaka 86 halafu bado bikra, hajaolewa hana watoto wala wajukuu, kwasababu kipindi cha usichana wake alikataa kila mwanaume aliekuwa anamtongoza. Aliwakataa hao wanaume sababu alikuwa akiwaangalia hawana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa vyuo vikuu wengi wana depression. Vijana ambao hawajavuka hata form 4 wanazidi kujipata tu, sababu hawana aibu na hawajipi class ya juu

    Elimu ya chuo kikuu ni muhimu lakini karama ya kuzalisha pesa ni muhimu zaidi. Average age ya kuhitimu ama kumaliza digrii ya kwanza Tanzania ni miaka 24. Vijana wengi waliohitimu chuo wana msongo mkubwa wa mawazo sababu ajira hakuna. Na pia elimu imewaweka daraja la juu hawawezi kufanya kazi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Mwendokasi wengi wana msongo wa mawazo. Waziri kaa na hawa watu uwasikilize itapunguza kuharibu magari

    JPM alipoona Mwendokasi Madereva wanadai maslahi alikwenda kuchukua vijana serikalini na JKT akawapa kazi za ulinzi, kukata tiketi,ufundi na udereva. Walioletwa kwa sababu wanawekwa bila sifa wameendelea kujifunza kazi taratibu lakini wakiwa na msongo mkubwa wa mawazo kuhusu lini watapata...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa kuangalia uchangiaji wa mada nimegundua watumiaji wengi wa JF hutumia device za maofisini mwao

    Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa. Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana. Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wengi wa kisiasa wanapost picha wakiwa na Hayati Magufuli lakini wanahofia kuposti hotuba zake, au zinawachoma?

    Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake. Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti unavyoonesha jinsi ambavyo wanandoa wengi hukutana ama kujuana kwa mara ya kwanza

    UTAFITI UNAVYOONESHA JINSI AMBAYO WANANDOA WENGI HUKTANA MARA YA KWANZA 1. hujuana kupitia marafiki zao wa pamoja ( mutual friend) = 32 % 2. Kazini ( kufanya kazi sehemu moja) = 18% 3. Shuleni ama Chuoni kusoma pamoja = 17 % 4. Sehemu za ibada ( kanisani ama Msikitini) = 8 % 5. kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi inaweza kusahau uwepo wa kina Membe na wenginewe wengi ila si kwa watu kama Magufuli n.k

    Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi Watanzania wasipomuenzi Magufuli, Waganda watamuenzi pindi wanapokuwa wakiliona bomba la mafuta kuyoka Hoima kuja...
  10. JamiiForums Tanzania Waliofanikiwa katika dunia hii ni wachache sana, wengi bado wanahangaika

    Maana yangu katika kufanikiwa: Kufanikiwa ni kuwa na uhuru wa kifedha, kuwa na amani moyoni, bila kuwepo na nguvu ya ziada ya ushurutishaji; uwe wa kimawazo, kiuchumi au kimazingira. Hii inatafsiri, aliyefanikiwa anaweza kujiamulia mambo yake mwenyewe bila kuwepo na ushurutishaji wa kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia “reply” za mwanzoni ? No critical thinking

    Watu wanajinasibu kua critical thinkers lakini si kweli, wengi ni bendera kufata upepo, Kwanini mtu anapoona andiko asilifikirie kisha akaandika kile anachokiona? Badala yake anaandika kutokana na mkumbo wa reply za mwanzo? Mada pekee utaona watu wanatifautiana regardless ya comments za...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakili wengi binafsi wanashangilia na kukimbilia kusimamia kesi za wanaodaiwa kutukana au kuikosoa Serikali?

    Leo tumeona Polisi wamedai kumkamata mmiliki wa akaunti ya X inayotambulika kwa JINA la Sukunuku; mara tu polisi walipotaka hayo mawakili binafsi wengi wameonyesha nia ya kusimamia kesi hiyo huku baadhi wakiweka wazi kwamba watashinda kesi husika mapema kabisa. Mmoja wa mawakili ndugu Madeleka...
  13. JamiiForums Tanzania Fahamu Sababu za Watu Wengi Hupata Stroke(Kiharusi) Bafuni

    Kawaida, nafasi za kupata Stroke (kiharusi) ni kubwa kutokea Bafuni kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaanzia Kichwani, ambayo ni njia mbaya. Ikiwa unaanzia kichwa kwanza, damu hupanda kwa haraka kichwani na mishipa ya damu inaweza Kupasuka. Hivyo Stoke(Kiharusi) hutokea na unakuta watu hujikuta...
  14. JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: Wanasiasa wengi wa Upinzani wamekuwa masikini sababu ya kutoa

    Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi amesema kwamba ukiingia kwenye siasa hasa zile za upinzani jiandae kutoa zaidi kuliko kupokea, na wanasiasa wengi wamekuwa maskini kwa sababu ya kutoa.
  15. JamiiForums Tanzania Hizi media house zinazopiga kwaya asubuhi hawaoni kuwa ni udini? Wakristo wengi tunachukizwa sana

    Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni.udini mkubwa sana kwanini hata siku moja moja mkaweka mawaidha mtapungukiwa nini? Hamuoni huo ni udini Sisi kanisa ni mwanzo na mwisho kuanzia leo...
  16. JamiiForums Tanzania Waafrika wengi siyo attractive, sababu hatuchagui wenza!

    Ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi...
  17. JamiiForums Tanzania Wazungu ni watu wa upendo sana

    Leo hii kuna laptop nimefungua ndani nikakuta vitu Kama ifuatavyo Kule ndani nimekuta vifaa vya nchi kadhaa ikiwamo U.S.A Malaysia China Japan India Singapore Je sisi ngozi nyeusi tutaweza Nini Kama tumeshindwa kufanya tu hata vya kuiga vinavo onekana kwa macho. Tuache unafiki mfano. Mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

    Kwa wiki iliyopita mitandaoni hasa Instagram na Twitter kuliibuka mjadala mkali ikiwemo vita ya maneno miongoni mwa wafanyabiashara wa mjini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara walimtupia lawama Bi Niffer ambaye ni mfanyabiashara mdogo anayekuwa kwa kasi ya ajabu. Wanamtuhumu Niffer kurukia...
  19. JamiiForums Tanzania Wanachadema wengi tunapiga mahesabu ya kupata ubunge 2025. Tukimwagwa na wananchi tusingizie kuibiwa kama 2020

    Tatizo kubwa makamanda wenzangu huwa wanawaza pesa tu. Mahesabu sasa ni kurudi mjengoni. Kisa tu ukiwa mbunge kuna pesa lukuki za bure. Badala ya kuwekeza kwa kuanza kujenga imani kwa wanannchi ili angalau tukubalike. Tumewekeza kwenye maandamano njaa. Tukimwagwa. Mayowe kibao kama 2020.
  20. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba sio mbovu kama wengi wanavyotaka kuaminisha watu

    Mimi ni mshabiki wa Yanga ila napingana na kauli za watu wanaosema uongozi wa Simba ni mbovu hapana sio mbovi ila wanazidiwa na Yanga kwenye usajili. Mwaka jana Simba imesajili sana ila ukweli ni kwamba wachezaji wengi waliosajili ni wakawaida na ni wachezaji wa magazeti. Kipindi kile Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…