Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,709
- 5,699
Hi
Jana nliona video afrimax, kuna bibi anaeitwa Sofia wa hapa hapa Tanzania anadai ana miaka 86 halafu bado bikra, hajaolewa hana watoto wala wajukuu, kwasababu kipindi cha usichana wake alikataa kila mwanaume aliekuwa anamtongoza.
Aliwakataa hao wanaume sababu alikuwa akiwaangalia hawana hela, wanaume wengine waliomfata aliona hawana muonekano mzuri sana, akachagua chagua mwishowe huyo miaka 86
Wengi wanamshangaa huyo bibi, bila kujua wanawake wengi (including walioko kwenye ndoa) wana mawazo kama ya huyo bibi, sema tu wameamua kufunga macho waingie kwenye ndoa, wasikose watoto na waepukane na maneno ya jamii, ila kiuhalisia wanawake hawapendi 95% of men they see.
Kama umeoa, ukichunguza vizuri huyo mkeo, there is a high chance you're not her first choice. Kakubali umuoe kwasababu aliowataka hawakumtongoza