Ngoja nikushirikishe hizi pia. Ufanye biashara gani Kama una 100k, 500k au 1 M? Kwenye biashara kwanza zingatia vitu vitatu (3)
A. Uhitaji wa bidhaa husika au tatizo ambalo lipo kwenye jamii/eneo unalotaka kufanya biashara.
B. Ujuzi ambao unao.
C. Kiasi Cha Mtaji ambacho unacho.
Hivi vitu 3...
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo ana hakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe afanye hiyo Biashara mwenyewe; (faida watagawana kwa makubaliano)
Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
Ulimwengu wa sasa ni waki-digitali; chochote unachokifanya, hakikisha kina sehemu kuu 3; -
Biashara yenyewe
Blog yake
Youtube chanel yake
Ikiwa na maana; kwenye biashara utapiga hela, youtube utapiga hela, na blog utapiga hela.
Mfano:-
We ni mkulima wa mboga mboga
Anzisha youtube, kuhusu...
Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa?
Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii.
Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
Jamani ndugu zangu wana JF, ninalo wazo kabambe la Biashara. Mazingira yote ya biashara nimeshajiridhisha nayo.
Na wazo langu haliko na mambo mengi, lakini kila kitu kipo kwa uhakika. Nipo Dar es salaam
Natafuta mtu tunayeweza kuingia naye ubia katika biashara hii itakayogharimu Tsh 500,000...
Wapo watu wanajivunia kuwa na mawazo ya biashara ila hawana mitaji; ukiomba wakushirikishe wazo lao, wanakataa wakihisi unaweza kuchukua wazo lao na kulifanyia kazi.
Unakuta miaka nenda rudi, mpaka anakuwa mzee bado yuko na wazo lake tu, na hataki kushirikisha watu ili lifanyiwe utekelezaji...
Habarini wapendwa, Namshukuru Mungu kwenye hii shughuli yetu ya kubeti nimebahatika kula million 5 naomba mnisaidie kunipa mawazo ya biashara niifanyie biashara gani ya kunipa faida chapchap mimi nipo Chato, Geita
Habari zenu ndugu zangu wana JF I hope wote mko salama kwa majina naitwa Fadhili. I think this might sound stupid kwa baadhi ya watu lakini point ni kwamba ninao mtaji wa shillingi million 100 lakini sijuwi ni business gani ambayo itakuwa na revenue nzuri.
Najua kuna watu wengi ambao wana...
Kwenye maadhimisho ya Mei Mosi nilisikia kitu cha ajabu sana kwenye risala ambacho naamini Muheshimiwa Rais hakukisikia vizuri kwani hakukitolea maoni yake.
Hivi inaingia akilini eti mfanyakazi wa shirika binafsi (Private) aliyekuwa anachangia michango yake kikamilifu huko NHIF akistaafu...
Habari za wakati huu wakuu;
Leo nataka niwe BRIEF maana katika maoni ya wadau niliyopata ni kwamba nipunguze urefu wa maandiko yangu kwa sababu baadhi ya watu wana processing power ndogo na wakifika mwisho wa andiko wanakuwa wamesahau ujumbe wa msingi.SO nitakuwa BRIEF
WAZO LINAHUSU NINI?
Wazo...
Wadau wanaoamini katika ubia natafuta wazo la biashara na uwekezaji usiozid milion 100.
Nina parameters zangu
1. Mwenye wazo awe shareholder wa biashara yenyewe hata kama hana mtaji wa pesa. Akili ni mtaji mkubwa
2. Biashara iwe ya uzalishaji wa product flani na sio biashara ya kununua na kuuza...
Habari za muda huu wapendwa, hope mko poa kabisa. Guys nina 3m nawaza nifanye biashara gani tho professional yangu ni photography ila naona kama hii pesa 3M ni haitoshi kwa mtaji wa studio nadhan hii ni bei ya camera moja tu kali tena used.
Basi nikawa nimewaza kufanya biashara ya nguo sema...
Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara.
Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo?
Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa.
===========
SIMILAR CASES:
===========
May 18, 2012:
May 10, 2014:
May 16, 2014...
Habari za muda huu, na poleni na harakati za kimaisha.
Nikiwa na imani na members wa jukwaa hili, nina imani kubwa nitapata mchango wa mawazo ya biashara kulingana na maeneo niliyopo na vitangulizi nilivyo navyo. Kwa uzoefu wenu, naomba nisaidiwe wazo la biashara niweze kujikwamua kiuchumi...
Niko na shilingi elfu hamsini Tzs, ni biashara gani naweza fanya Dar es Salaam?
=========
Unashauriwa kusoma uzi huu kupata mawazo zaidi>>>Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
Mimi ni kijana wa kiume (25) nipo Dodoma nahitaji kufanya biashara, nina mtaji wa shilingi laki Tano tu 500,000.
Je, nifanye biashara gani itakayonipatia faida na kukuza kipato changu? Nina ujuzi wa kompyuta na ualimu tu.
Mawazo yenu wakuu.
Asanteni.
=======
Nyuzi unazoshauriwa kusoma:
1...
Habar wana JF
Mimi ni graduator wa chuo kimojawapo jijini Mbeya mwaka wa jana, kutokana na tatizo la ajira niliamua kutafuta mtaji kwa kufanya kazi vibarua na nimefanikiwa kukusanya kiasi cha tshs 380000.
Hivyo naombeni ushauri nifanye biashara gani ambayo itanipa...
Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote.
Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote nilipokwama ni kugharamia technology yake maana watu wa IT wamenipigia gharama inafika million 8 mpaka 10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.