Nina mtaji wa Tsh. 50,000/= naomba wazo la biashara kwa Dar es Salaam

Abeti lakini asiweke sana matumaini huku!!

Tunabahatisha
IMG_20210618_072205_762.jpg


Hapo ni mikeka tu ndio itakayokutoa,timu mbilimbili deile
IMG_20210618_091103_919.jpg
 
Mtu anafanya biashara kutokana na hobi yake mfano naweza kukushawishi genge lakin ww usiwe na utayari wa kufanya biashara ya genge , yani itakuwa unafanya kazi iyo ya genge kwasabab ya kujaribu hautikuwa tayar kuikubar, lakin ukiifanya kaz kwa kuipenda yan hata biashara ikilegalega utakuwa bize kuiinua tofaut na ile uliopewa idea na mtu bila utayar ikifika tu imekwama biashara utajikuta unakata tamaa kwasabab haukuwa na utayar kuifanya zaid ya kuijaribu
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom