Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote.
Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote nilipokwama ni kugharamia technology yake maana watu wa IT wamenipigia gharama inafika million 8 mpaka 10...
Wadau mambo Vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono ntashukuru.
Ok. Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda kwenye duka la jumla linalouza nguo, za kiume/ kike za jumla mi plan yangu ni kuchukua zile nguo...
Kuchagua wazo la biashara ni jambo la awali na muhimu kulifanya kabla ya kuingia kwenye biashara husika. Hatua hii inahitaji umakini wa hali ya juu kwakua ukikosea hapa kitakachofuata ni kupoteza muda, nishati pamoja na pesa.
Kabla ya kuchagua wazo la biashara itakubidi kuzingatia mambo...
Habari wazawa !
Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata mimi nina mawazo mengi sana ya biashara ambayo sidhan kama nitaweza kuyatimiza yote , nimeona na mimi...
Salaam wakuu naomba kutoa ufafanuzi kidogo kama watafutaji na wapambanaji wazo ndio kila kitu ukiwa na wazo ni rahisi kutengeneza pesa!
Napokea ujumbe mwingi pm watu ambao wako serious tunajadiliana naomba watu mjue kuhusu kiwango ambacho ninacho kinafit kwa wazo dogo na hata kubwa half of one...
Habari wana jukwaa hili samahani kwa mwenye wazo lolote la biashara lolote nalinunua tutaingia makubaliano ya kimkakati kwa muda wa miezi kadhaa atalisimamia likileta ufanisi namlipa pesa zake au tunakuwa na ubia pamoja niko serious mambo ya utani hayatakiwi
Bila ya kupoteza muda ningependa kuchukua nafasi huu kwenda moja kwa moja kwenye mada husika.
Ninakwenda kufunguka na kueleza kila kitu hatua kwa hatua juu ya wazo hili lilipotokea na kwanini muda huu ni muafaka kulitekeleza
Bila kificho nitaeleza kila kitu kinachohitajika na namna wazo hili...
Wazo la biashara ya MAZAO na MIFUGO
Niende moja kwa moja katika mada, nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu masuala ya mazao na mifugo na katika hayo nimepata taarifa muhimu sana na nikaona nisiwe mchoyo niweze kushiriki nanyi kwa pamoja tuinue hali zetu za kiuchumi.
Ukiangalia katika mwaka...
Hongereni kwa mapambano ya uchumi.
Nimefikiria kuanzisha biashara tajwa hapo lakini sina uzoefu sana kama baadhi yenu humu.Kibnafsi location ya kupata mbuzi ipo nje kidogo ya mji na location ya kuweka goli langu bado nipo kwenye upembuzi yakinifu.
Naomba maoni nyenu Manguli wa biashara hii...
Dunia inabadilika kila siku,binadamu amekua kiumbe hatari zaidi ingawa wenye upendo wapo na wabaya pia wapo.
Ulimwengu huu ni wa usawa na haki hivyo kila mmoja wetu anahaki ya kupata sawa sawa na wengine kulingana na nafasi alio nayo.
imekua rahisi kuonesha upendo kwa uwapendao kwa kuwatumia...
Hello, je umeanzisha Kampuni au Biashara mpya na unatamani kuwa na website itakayobeba kampuni au biashara yako? au unayo Kampuni au Biashara muda mrefu tu, lakini umekuwa ukitamani kuwa na Website ili kukuza unachofanya?
Basi, naomba kusema kuwa nafasi ndio hii sasa, ya kubadilisha Biashara...
biashara
dar es salaam
developer
faida ya website
faida za website
gharama za kuanzisha website
jinsi ya ku host website
jinsi ya kutengeneza website
jinsi ya kutumia wordpress
mawazo ya biashara
mawazo ya biashara pdf
mfano wa website
umuhimu wa website
wazolabiashara
website
website designer
website ni nini
NATAFUTA MFADHILI AU MUWEZESHAJI, MTU BINAFSI AU TAASISI
Habari zenu wakubwa kwa wadogo.
Naitwa Omar. Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na perfume napatikana Mwanza. Malengo yangu ni kukuza biashara yangu na kuifanya biashara katika hadhi inayowapendeza wengi.
Nahitaji mtu binafsi...
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima.
HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA
1. TUMIA UJUZI ULIO NAO
Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa...
Kutokana na kutembea sana humu JF nimekutana na baadhi ya member wakiuliza njia za kutumia ili waweze kulinda mawazo yao ya biashara mimi kama member mwenzenu nilikuwa katika sintofahamu hiyo nilikuwa sijui wapi niende nikalihifadhi wazo langu kisheria hivyo nilipita humu lakini sikupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.