Msaada wazo la biashara, nifanye biashara gani ninaishi jijini Dodoma nina mtaji wa 380000/=naombeni ushauri

Yohana469

Senior Member
Feb 16, 2021
106
250
Habar wana JF

Mimi ni graduator wa chuo kimojawapo jijini Mbeya mwaka wa jana, kutokana na tatizo la ajira niliamua kutafuta mtaji kwa kufanya kazi vibarua na nimefanikiwa kukusanya kiasi cha tshs 380000.

Hivyo naombeni ushauri nifanye biashara gani ambayo itanipa faida nzuri kwa mtaji wangu huo.

Kwetu ninaishi jijini Dodoma na ndo mahali ambapo nimepanga nifanyie biashara, ushauri mazingira+aina ya biashara, karibuni kwa ushauri wana JF.

1620113568454.png

Kupata mawazo zaidi ya biashara pitia uzi huu: Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?
 
souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
546
1,000

Tafuta connection china na india,ulete frames za miwani ukiwa unatafuta dokta wa macho akupe makadirio ya machine ya kupima macho na muingie JV, ukinda ule tatizo lao kubwa tatizo la macho utapiga hela safi sana.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
King Rabbit

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
537
1,000
Nimejaribu kuwazamia baadhi ya ma-supplier kutoka sehemu tofauti ila wengi wanataka uwe na kampuni yako tayari hawa operate kwa mtu individual.
 
Tanayzer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
2,449
2,000
fanya local biashara ya juice vyuoni haswa Sjut na udom unaoitisha mwenyewe amini kuna dada alikuwa anachukua 30 kwa juice, japo matunda mtihani muda mwingine....

Fanya biashara ya mihogo na nyama ya kuku mitaani kikuyu, area c, nkuhungu etc.

Fsnya biashara ya viatu vya kike vizuri na vya kisasa toa dar kariakoo kwajumla uje uuze hata elfu 5....kiatu cha elfu 1500 utaiza elfu 5 cha elfu 3 utauza 7500 ndivyo wanavyofanya.
 
Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,314
2,000
Tafuta eneo lenye msongamano wa watu,Kodi eneo la baraza mbele. Weka meza na viti, uza hapo chai maziwa na juice.
 
Yohana469

Senior Member
Feb 16, 2021
106
250
fanya local biashara ya juice vyuoni haswa Sjut na udom unaoitisha mwenyewe amini kuna dada alikuwa anachukua 30 kwa juice, japo matunda mtihani muda mwingine....

Fanya biashara ya mihogo na nyama ya kuku mitaani kikuyu, area c, nkuhungu etc.

Fsnya biashara ya viatu vya kike vizuri na vya kisasa toa dar kariakoo kwajumla uje uuze hata elfu 5....kiatu cha elfu 1500 utaiza elfu 5 cha elfu 3 utauza 7500 ndivyo wanavyofanya.
Wazo zuri
 
Gepard

JF-Expert Member
Feb 8, 2021
291
500
Habar wana JF

Mimi ni graduator wa chuo kimojawapo jijini Mbeya mwaka wa jana, kutokana na tatizo la ajira niliamua kutafuta mtaji kwa kufanya kazi vibarua na nimefanikiwa kukusanya kiasi cha tshs 380000.

Hivyo naombeni ushauri nifanye biashara gani ambayo itanipa faida nzuri kwa mtaji wangu huo.

Kwetu ninaishi jijini Dodoma na ndo mahali ambapo nimepanga nifanyie biashara, ushauri mazingira+aina ya biashara, karibuni kwa ushauri wana JF.

Kupata mawazo zaidi ya biashara pitia uzi huu: Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?
Hao watu wote ni pesa mkuu,
 
Gepard

JF-Expert Member
Feb 8, 2021
291
500
Mkuu uza viatu vya kike. Vinauzika, vina faida na haviozi.
Yap wazo zuri, ajue kupoint viatu vizuri, ajue chimbo mfano dsm pale karume aende sa 9 usiku, pia vya watoto below 10 years vinaenda. Biashara pia n kujikusanyia wateja mfano ukienda kupoint hakikisha watu baadh wamekuagizia au kuwa na shauku na mzgo wako, piga picha product zako hata Kama ushauza popote waonyeshe watu pia bei rafiki n muhimu, mtaji hauliwi heshmu pesa, mda, ubunifu mfano kwenye mitandao ya kijamii jikuze, minimize matumiz sanaaa mfano Arusha to dsm 33000 luxury bus Ila kwa mtaji wako panda fuso au treni, minimize mda wa kukaa dsm kuchukua mzgo chap urud location yako ya biashara. Nmechokaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom