Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

Fazilijr

Member
May 12, 2022
21
19
Habari zenu ndugu zangu wana JF I hope wote mko salama kwa majina naitwa Fadhili. I think this might sound stupid kwa baadhi ya watu lakini point ni kwamba ninao mtaji wa shillingi million 100 lakini sijuwi ni business gani ambayo itakuwa na revenue nzuri.

Najua kuna watu wengi ambao wana business ideas lakini mtaji ikawa ndo kikwazo kama una wazo lolote la kibiashara na upo Dar es salam unaweza niandikia ama una weza acha namba yako ya what'sup mimi nitakupigia. mtaji ni 100 million tsh. Karibu kwa Business idea

N.B: kwa atakae( watakao) bahatika ku leta wazo nduri watakuwa wamepata ajira moja kwa moja. sichagui jinsia. i'm very serious about this. karibuni
 
Kwa Dar hapa biashara ni mbili tu ammbazo hazina stress kiivyo kwa upeo wangu

1.bar...kama unavyoona sasa hivi kila kona kuna bar nzur ambayo ukiweka mtaji wa 50m mpk 70m hii kuanzia matengenezo,kodi ya eneo na mtaji pamoja na matangazo ndan ya ya miez 3 pesa yako imesharud na faida juu

2.lodge hapa unaweza kukodi nyumba ila vizuri uwe na eneo lako maana lodge ikiwa sehemu nzur na parking ya kubwa wateja ni wengi ila mazingira yawe safi muda wote maana kuna watu wanakaa 1hr na kuondoka hicho chumba kimoja kinaweza kutumiwa hata mara 3 kwa siku ila muhimu ni usafi uwe na machine za kufulia na madawa ya kuoshea vyoo muda wote bei ya chumba iwe 30k kiwe na ac na tv ndan lodge uwe una uza vinywaj vya aina zote

nimewasilisha nakutakia kila la kheri ukifanikiwa usiache kunikumbuka
 
Habari, umesema Una 100mil sawa, je hiyo pesa unataka kuweka yote kwenye biashara moja???

my take hy pesa igawanye mara 3!
1. Tafuta eneo la karibu na bahari ambalo unaweza kununua au kulikodisha Kwa makubaliano maaalum, kisha tengeneza barabara mfano wa mji barabara hizo ziwe na alama zote za barabarani alafu uweke magari Yale ya kuchezea watoto ambayo mtoto anaweza kukaa na kuendesha au kuendeshwa Kwa kutumi remote, weka magari pamoja na pikipiki za watoto, kisha eneo Hilo Hilo weka min bar, weka vinywaji pamoja sehem ya chips na popcon.
 
Nashukuru kwa wako ndugu nimejaribu kufuatilia naona kama hiyo wazo itagarimu zaidi ya mtaji. kama unalo wazo lingine waweza andika. asante
 
Habari zenu ndugu zangu wana JF I hope wote mko salama kwa majina naitwa Fadhili. I think this might sound stupid kwa baadhi ya watu lakini point ni kwamba ninao mtaji wa shillingi million 100 lakini sijuwi ni business gani ambayo itakuwa na revenue nzuri. najuwa kuna watu wengi ambao wana business ideas lakini mtaji ikawa ndo kikwazo. kama una wazo lolote la kibiashara na upo dar es salam unaweza niandikia ama una weza acha namba yako ya what'sup mimi nitakupigia. mtaji ni 100 million tsh. Karibu kwa Business idea

N.B: kwa atakae( watakao) bahatika ku leta wazo nduri watakuwa wamepata ajira moja kwa moja. sichagui jinsia. i'm very serious about this. karibuni
Nipigie nikupe business plan nzuri ya kilimo biashara cha ndizi from the scratch had market ilipo na unawezaje kupata mkataba wa soko.
0758701818
 
Biashara nzuri kwa hapa dar kwa Sasa ambayo inalipa ni kuuza vinywaji vya Jumla soda,Maji Juice bia na mapombe mngine mtaji wake unaweza kufikia Million 30 ukiwa na Pikipiki za kusambaza kwa Siku unaweza paat faida sio chini ya laki tano na kuendelea

Biashara Nyingine ni biashara ya Ukumbi ukiwa na eneo Kubwa ukijenga hapo Ukumbi ukana na full Music System inalipa sana ili mradi tu eneo liwe karibu na miundombinu Muhimu kwa sababu sherehe nyingi ni Usiku

NA biashara nyingine ni hii ya kufanya miamala kwa njia ya simu mtaji wake ni kama Millions Ishirini tu unaweka mitandao yote na kuwa Huduma za kibenk pia hapo utatoboa Mkuu

Ila kwa kuanzia Biashara ni Bora ukomae mwenyewe kuliko kumuajiri mtu utajuta
 
Nipigie nikupe business plan nzuri ya kilimo biashara cha ndizi from the scratch had market ilipo na unawezaje kupata mkataba wa soko.
0758701818

Asante ndugu hii namba nakupata What'sApp?
 
Biashara nzuri kwa hapa dar kwa Sasa ambayo inalipa ni kuuza vinywaji vya Jumla soda,Maji Juice bia na mapombe mngine mtaji wake unaweza kufikia Million 30 ukiwa na Pikipiki za kusambaza kwa Siku unaweza paat faida sio chini ya laki tano na kuendelea

Biashara Nyingine ni biashara ya Ukumbi ukiwa na eneo Kubwa ukijenga hapo Ukumbi ukana na full Music System inalipa sana ili mradi tu eneo liwe karibu na miundombinu Muhimu kwa sababu sherehe nyingi ni Usiku

NA biashara nyingine ni hii ya kufanya miamala kwa njia ya simu mtaji wake ni kama Millions Ishirini tu unaweka mitandao yote na kuwa Huduma za kibenk pia hapo utatoboa Mkuu

Ila kwa kuanzia Biashara ni Bora ukomae mwenyewe kuliko kumuajiri mtu utajuta

Asante sana ndugu, hizi biashara una experience nazo?
 
Biashara nzuri binafsi ninayo iamini ni "kuchagua bidhaa moja hasa kutoka kwenye FMCG.

Ingia Kiwandani ( Siku hizi Kuna tons of manufacturing industries ).

Create your own "Company, brand and set a marketing and distribution team ).

Kazi yako inakuwa ni kufanya marketing after sourcing, na distribution.

Wateja wakubwa wanakuwa retailers.

Moja ya makampuni yanayofanywa aina hii ya Biashara

View attachment 2222921

Asante sana ndugu naisi mtaji wangu ni mdogo kuanzisha kitu kikubwa kama hicho. Au we unasemaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom