wazo la biashara

  1. Shivo32

    Naombeni wazo la biashara ya mtaji wa 300k-500k Dodoma Mjini

    Wakuu, naombeni wazo la biashara ya mtaji wa 300k-500k Dodoma Mjini Napokea ushauri wenu
  2. N

    Naomba wazo la biashara la mtaji wa laki saba

    Ndugu zangu hapa nilipo na mtaji wa laki saba na nipo Arusha. Nilikuwa na wazo la kufungua biashara ya internet cafe ila nikiangalia kwa biashara hii mtaji ni mdogo. Nilikuwa naomba wazo la biashara la mtaji wa laki saba ili niweze kuzungusha hela.
  3. Greatthinker47

    Nifanye biashara gani na mtaji wa laki tano?

    Waungwana naomba yeyote mwenye wazo la biashara Kwa MTAJI wa laki tano
  4. Mshati940

    Msaada wa mawazo ya biashara kwa Mtaji wa Milioni 5 Mjini Bariadi mkoa wa simiyu

    Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
  5. Long trip

    Naomba wazo la biashara Tabora kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2.5

    Natanguliza Shukrani.
  6. Hot27

    Msaada wa wazo la biashara (Dar es Salaam)

    Habari za wakati huu nduguzangu. Mungu ni mwema juu ya mapitio yote ya hapa na pale naamini sote tu wazima, penye walakini Mungu alete neema. Nilifanikiwa kupata ID ya mtihani siku ya mtihani (kwa wanaokumbuka, nitaelezea kilichonipelekea hapo kwa wakati mwingine) Mimi ni kijana wa kiume (22)...
  7. P

    Wazo la biashara Morogoro mjini

    Wanajukwaa habari za Asubuhi, Nina mtaji wa 3M nimehamia hivi karibuni Morogoro mjini hivyo nafikiria kuanzisha biashara. Sababu ya ugeni nimeona nisiwe na haraka kwanza bali niombe ushauri kwenu ni wazo gani la biashara naweza kuanzisha kwa hapa Moro kwa Mtaji huu? Wale Wa negative comments...
  8. Powells Dady

    Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa Tsh 1.5M

    Kwa serious advisers, mimi ninaisha DSM Mbagala, nna 1.5M, naomba nipate wazo la biashara na hiyo pesa ni kwamba biashara ni kuanza mwanzo kabisa. Pia soma Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?
  9. E

    Nahitaji wazo la biashara kwa mtaji wa laki 5 nipo Kongowe, Pwani

    Habari wadau, kama nilivyo eleza hapo awali nahitaji mawazo yenu kuhusu biashara ya kufanya kongowe pwani kwa mtaji wa laki 5. Pia soma Nahitaji ushauri nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani?
  10. More Chances

    Naomba ushauri, nina mtaji wa milion 4 nifanye biashara gani?

    Habari wakuu Mimi ni kijana wa kiume age 29 baada ya michongo kwenda vibaya nikashauriwa kuvungua duka la mangi kwa mtaji wangu milion 4 nikatafuta frame ya mtaani nikapata ila issue ni kwamba kila nikikaa na kuwaza naona kama sina mapenzi kabisa na hii biashara na kodi nshalipa , nishaurini...
  11. E

    Nahitaji wazo la biashara ya 200k

    Salaam Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston. Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe Kwa nje ya geti kuna sehemu kubwa ya kufungua bzness na movement zpo kiasi Je, naweza weka kitu gani hapo..... mtaji ni 200k tu...
  12. ZOYA internet

    Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

    Wadau nimekua na idea ya biashara ila naombeni, niwashirikishe mlitafakari kwangu naona linaweza kulipa sana!!. Wazo lenyewe bila kupoteza mda ni: HUDUMA YA WI-FI YA UNLIMITED KULIPIA KWA MWEZI Tufanye hivi kama upo maeneo ya biashara, chuo, maofisini au popote ambapo kuna watu wenye matumizi...
  13. dr namugari

    Nina wazo la biashara japo la naliuza

    Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid sna Ni leseni yako tu itakuweka salama na mtaji wa angalau milion 3 na ukiwaa Zaid utapiga Zaid pesa...
  14. Masokotz

    Jinsi ya Kupata Wazo la Biashara

    Habari za wakti huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri katika jitihada zenu za kujenga taifa na kuifanya dunia kuwa salama na bora kwa kila mmoja wetu. Kama ilivyo ada,leo nataka kuleta mjadala chokonozi ambao unalenga zaidi kuchokoza fikra zako na kukusisimua.Mjadala Utahusu "Jinsi...
  15. P

    Naombeni wazo la Biashara

    Kwa mtaji wa 3mil naweza kupiga business gani hapa Dar es salaam? Hii 3M sijapewa na mtu. Ni Katika harakati zangu za kutafuta since 2022 hadi leo ndiyo niliweza kuweka Chochote ninachopata, mpaka imefika hiyo. Mimi nilikua na mawazo ma 2 La kwanza biashara ya mazao. Na la pili biashara ya...
  16. Y

    Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni tano (5)

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana nimefanikiwa kupata mtaji wa 5mls nilikuwa naomba ushauri/ideas za biashara/kitu kitakachonifanya nikue kiuchumi ambacho nitaweza kufanya kwa budget hiyo niliyonayo. Karibuni ndugu.
  17. N

    Nina wazo hili la biashara, naombeni ushauri wa kuliboresha

    Habari, Nina wazo la biashara ila mtaji unazingua, nitaanza na nilichonacho. Kwa kuwa nimeishi Dar muda mrefu na nimejuwa mitaa na chocho za Dar, hakuna sehemu utanipoteza Dar. Basi nachofikiria kichwani mwangu, nafungua office mkoani kwakua mkoani kuna watu wanahitaji vitu mbalimbali ila...
  18. M

    Wazo la biashara mtaji kwa milioni 5 kwa Mwanza

    Hello wanajamvi Mimi nikijana wa miaka 23 nimetokea Songea baada ya kumaliza chuo mwaka huu nikaona bora nijiajiri Mimi mwenyewe kutokana na saving niliyopata kwenye boom Natatanguliza shukrani zangu kwa wakazi wa Mwanza. Naomba mnisaidie
  19. R

    Mwenye wazo la biashara Arusha kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) aje hapa

    Kama upo Arusha na una wazo la biashara kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) ila huna mtaji niandikie meseji inayoelezea wazo lako kisha tuma kwenda namba 0768174862. Nitatoa mitaji kwa mawazo nitakayoona yanatekelezeka na kwa masharti tutakayokubaliana. Karibuni.
  20. TUKANA UONE

    Nina wazo la Biashara ila sina mtaji

    Wakuu habarini za leo, natumai mko kamili gado. Ninalo wazo kubwa la biashara ambalo likitekelezeka hakika litanipatia ukwasi wa kutupwa na nitakuwa moja ya matajiri vijana kwenye hii nchi. Tatizo sina mtaji wa kutekeleza wazo lenyewe, nachokifanya kwa siku hizi chache nakwenda kulisajili kwa...
Back
Top Bottom