Bado unatafuta wazo la biashara ya kufanya?

KatetiMQ

Senior Member
Sep 25, 2022
180
311
Ngoja nikushirikishe hizi pia. Ufanye biashara gani Kama una 100k, 500k au 1 M? Kwenye biashara kwanza zingatia vitu vitatu (3)

A. Uhitaji wa bidhaa husika au tatizo ambalo lipo kwenye jamii/eneo unalotaka kufanya biashara.
B. Ujuzi ambao unao.
C. Kiasi Cha Mtaji ambacho unacho.
Hivi vitu 3 ndio vikuongoze biashara ya kufanya.

Kwa mfano,

Biashara kwa mtaji wa laki tatu (300,000 T.shs)
1. Unaweza kuuza BITES kama Karanga,Ubuyu au Biscuits kwa brand yako, Unaweka Kwenye package za kuvutia alafu unauza.
2. Unaweza kununua mzigo wa nguo za ndani kama, Boxer za kiume, Pants za kike, Mikanda ya kiume. Unachagua nguo za ndani zenye quality nzuri unauza kwa bei ya jumla na rejareja.
3.Unaweza pia kununua mzigo wa perfume kwa bei ya jumla, Ukaanza na Perfume 30 mpaka 50. Zinatoka sana hizo.
4. Unaweza kuuza juice za aina mbalimbali. Unafanya na delivery pia. Unaweza kusambaza pia kwenye Migahawa ambayo hawauzi Juice.

5. Biashara ya kuuza Mkaa. Unanunua gunia kisha unauza rejareja Zingatia tu eneo kama wanatumia mkaa.
6. Unaweza kuuza sabuni za maji za kusafisha toilet. Za ltr 5 unauza elfu 10 na kuendelea.
7. Unaweza tengeneza na kuuza cake, siku Hizi shughuli bila keki haiwezekani.

Kama una Mtaji mkubwa zaidi (2 M TZS) na zaidi, unaweza kufanya biashara za,
1. Kuuza mazao ya nafaka (Unga, Mchele, Sukari n.k)
2. Kufungua saloon ya kike au kiume.
3.Kufungua eneo la kufyatua matofali na kuuza matofali.
4. Kuuza asali (Nyuki wadogo & Nyuki wakubwa) na kusambaza
5. Kufungua duka la vifaa vya ujenzi na kuuza (bati, nondo, mbao, misumari, tiles n.k)

Kama uko busy sana unaweza kununua HISA za makampuni yanayofanya vizuri kwenye masoko ya hisa au UTT

Je, umepata wazo kidogo?
 
Umesaidia
 
Angalau kichwa kinaangaza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom