Wazo la biashara kwa laki tano(6)

Ibrason

Member
Jul 27, 2020
8
9
Jamani ndugu zangu wana JF, ninalo wazo kabambe la Biashara. Mazingira yote ya biashara nimeshajiridhisha nayo.

Na wazo langu haliko na mambo mengi, lakini kila kitu kipo kwa uhakika. Nipo Dar es salaam

Natafuta mtu tunayeweza kuingia naye ubia katika biashara hii itakayogharimu Tsh 500,000 ili kuanza.

Tunaweza kuwasiliana kwa namba 0784585481 au tuma tu ujumbe nikupigie Boss
 
Jamani ndugu zangu wana JF, ninalo wazo kabambe la Biashara.

Na wazo langu haliko na mambo mengi, lakini kila kitu kipo kwa uhakika. Nipo Dar es salaam

Natafuta mtu tunayeweza kuingia naye ubia katika biashara hii itakayogharimu Tsh 500,000 ili kuanza.

Tunaweza kuwasiliana kwa namba 0784585481
Njoo pm tuyajenge
 
Nadhani ungetoa pre information hapa halaf kwa deep info au mtu mwenyewe interest na hyo business angekuja DM or kukupgia. Hii ni kwaajili ya ku save time.
 
Wakuu mm Nina malengo ya kuanza ufugaji wa kuku aina ya broiler Kwa mkoa wa dodoma,,, naomba mwenye abc kuhusu hii biashara Kwa upande wa dodoma ipoje msaada plz
 
Natafuta mtu was kunipa milioni 7 namrudishia baadabya miezi 8 Kila milioni moja inazaa milioni 6 juu kwahiyo aliye serious anicheki
 
Wakuu mm Nina malengo ya kuanza ufugaji wa kuku aina ya broiler Kwa mkoa wa dodoma,,, naomba mwenye abc kuhusu hii biashara Kwa upande wa dodoma ipoje msaada plz
nimewah kufuga kuku dodoma kuku wanatoka mm nlkuwa nauzia pale majengo sokoni
 
Back
Top Bottom