Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,483
- 40,498
Ulimwengu wa sasa ni waki-digitali; chochote unachokifanya, hakikisha kina sehemu kuu 3; -
- Biashara yenyewe
- Blog yake
- Youtube chanel yake
Ikiwa na maana; kwenye biashara utapiga hela, youtube utapiga hela, na blog utapiga hela.
Mfano:-
Mfano:-
- We ni mkulima wa mboga mboga
- Anzisha youtube, kuhusu hiyo bustani yako ya mbogamboga
- Anzisha blog kuhusu hiyo bustani yako ya mboga mboga
Mfano:-
- We ni mfugaji
- Anzisha youtube, kuhusu huo ufugaji
- Anzisha blog kuhusu huo ufugaji
Mfano:-
- We unafanya biashara ya mabasi (kusafirisha abiria)
- Anzisha youtube yake
- Anzisha blog yake
N.k
Inaitwa kufanya biashara kisomi; nadhani nimeeleweka.
Inaitwa kufanya biashara kisomi; nadhani nimeeleweka.