Nimepiga hela ndefu Betpawa nipeni wazo la biashara

Habarini wapendwa, Namshukuru Mungu kwenye hii shughuli yetu ya kubeti nimebahatika kula million 5 naomba mnisaidie kunipa mawazo ya biashara niifanyie biashara gani ya kunipa faida chapchap mimi nipo Chato, Geita
Hongera sana. Kuwa makini wekeza. Wakati naishi mivumoni, jirani yangu alikula milion kama 10 sportpesa na baada ya mwezi akala tena milion 29. Hii pesa ilimchanganya akaendelea kubet na kazi akaacha.
Leo kapigika kinoma noma aisee
 
Habarini wapendwa, Namshukuru Mungu kwenye hii shughuli yetu ya kubeti nimebahatika kula million 5 naomba mnisaidie kunipa mawazo ya biashara niifanyie biashara gani ya kunipa faida chapchap mimi nipo Chato, Geita
Fungua account benki saving iweke umo alafu kaa kimya umwombe Mungu na uchanganue vizuri kile unataka. Usituulize sisi tusikupe ushauri usiofaaa. Ukute naishi mbinga nauza nguo za msimu we uko arusha mtaani kwenu kuku bei ghali na watu wanataka.
Thinkkkkkkkkkk.
 
Thinkkkkkkkkkk
 
Back
Top Bottom