Paulo Makonda ni Waziri Mkuu Mtarajiwa

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wakuu JF wazima nimatumaini yangu,
Nianze kwa kusema hivi, Hakuna asiyemfahamu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kipindi cha Awamu ya Tano kabla ya uchaguzi wa 2020

Kwa Huruka yake unyanyasaji na ukatili kwa wapinzani na hadi kufikia kuvamia vituo vya Habari wote ni Mashaidi.
Akastaafu maneno ya kasemwa yeye akawa kimya hadi wengine walidriki kumshitaki lakini hakuwahi kusema chochote!

Mwishoni mwa mwaka jana 2023, Chama chake kikamteua kuwa Katibu itikadi na Uenezi Taifa! Watu wakaona kama hakustahili!maneno yakawa mengi huko na huku wakakutana na aliyekuwa Mkuu wa wolaya kipindi hicho akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam hadi aliwahi kumkalisha chini! ndiyo madaraka yalivyo ayajali umri!

Akamkuta ndiye ameshikilia kiti cha ukatibu Mkuu wa chama cha CCM ni Boss kweli! Tukapenyezwa kuwa Katibu Mkuu inaonyesha hapendi kufanya kazi na Makonda hata kwenye ziara za Mwenezi Katibu Mkuu haendi na hampi peza zakufanya mikutano lakini anashangaa kuona mambo yanaenda Paul anaendelea kufanya mikutano! Aikupita muda mrefu mitandao ya kijamii hasa X ukaibua kashifa za Katibu Mkuu akaamua kujiudhuru wadhifa wa katibu mkuu!

Ziara za Chiristian Paul Makonda zikashika moto nalianza kwa maagizo kwa Waziri mkuu watu wakashika vinywa!! lakini ndiyo hivyo,hakuishoa hapo na waziri wakawa wanapewa maagizo ya kero anazokutana nazo kutoka kwa wananchi! Nakweli kijana anafanyazi ya uenezi.

Kwa upande wangu niliona anachokifanya ni sahihi hii nchi inamatatizo makubwa sana wananchi wanateseka sana sasa Makonda ndiye amebaki kutatua kero za wananchi kana kwamba yeye ndiye Maakamo wa Rais au Ndiye Waziri Mkuu au naibu wake! Hadi kero za ardhi anatatua utadhani nchi hii aina mawziri husika!! Kwangu mimi hii nchi inahitaji watu kama Makonda.

Ukuangalia kwa undani style ya Makonda ni ya Hayati Magufuli kiutendaji kitu kimoja anatakiwa kukifanya nikujiepusha na ukatili dhidi ya wapinzani wake kwani hakuna kitu utamfanyia binadamu mwenziyo wewe ukabaki salama na hasa katika kazi za siasa kwani siyo za kudumu!Hivyo Makonda tutegemee kuwa katika nafasi ya Juu kiutendaji.
 
Nyumbani kwenu is possible, but not anywhere else!
 
Hatujui ya mbele lakini magufuli aliwang'ata watu hivyo wakimuona makonda inabidi wastuke.

Uking'atwa na nyoka hata ukiguswa na unyasi lazima ustuke. Watakao mpa uwaziri mkuu wasije kujilaumu baadae
 
Kwa upande wangu niliona anachokifanya ni sahihi hii nchi inamatatizo makubwa sana wananchi wanateseka sana sasa Makonda ndiye amebaki kutatua kero za wananchi
Mawazo ya kifala kabisa kabisa kabisaaa.

Mtoa maada unaonekana iliishia darasa la 2 kisha ukajikita katika kilimo cha pamba 😬
 
Unateseka ukiwa wapi mamaeee
Wewe ndiyo hopeless wa mwisho kabisa. Nianze tu kuteseka dhidi ya nyinyi washamba na wachunga ng'ombe! Kuwa serious wewe.

Kwanza unatakiwa kufahamu Tanzania ijayo haiwezi kuongozwa na mtu aliyefoji cheti chake cha kitaaluma.
 
Let's see what gonna happen! Time will tell.
Kiiza, unawaaibisha wahaya wenzako! Kwa lipi la Makonda. Makonda ni mpuuzi, anapayuka kwa vile kuna mtu nyuma yake anampa nguvu za kusema hivyo! Alipokufa Magufuli na kabla alitoweka kabisa maana hakuwa na mtu wa kumlinda! Watu kama akina Lisu, Mbowe na wezao hao ndio unaweza kusema penye utawala wa kidemokrasia naweza kuwa PM, Rais and the like! Hawategemei nguvu ya fulani kusema wanalolisema.......

Have a nice day. Kwaheri!
 
Wakuu JF wazima nimatumaini yangu,
Nianze kwa kusema hivi, Hakuna asiyemfahamu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kipindi cha Awamu ya Tano kabla ya uchaguzi wa 2020

Kwa Huruka yake unyanyasaji na ukatili kwa wapinzani na hadi kufikia kuvamia vituo vya Habari wote ni Mashaidi.
Akastaafu maneno ya kasemwa yeye akawa kimya hadi wengine walidriki kumshitaki lakini hakuwahi kusema chochote!

Mwishoni mwa mwaka jana 2023, Chama chake kikamteua kuwa Katibu itikadi na Uenezi Taifa! Watu wakaona kama hakustahili!maneno yakawa mengi huko na huku wakakutana na aliyekuwa Mkuu wa wolaya kipindi hicho akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam hadi aliwahi kumkalisha chini! ndiyo madaraka yalivyo ayajali umri!

Akamkuta ndiye ameshikilia kiti cha ukatibu Mkuu wa chama cha CCM ni Boss kweli! Tukapenyezwa kuwa Katibu Mkuu inaonyesha hapendi kufanya kazi na Makonda hata kwenye ziara za Mwenezi Katibu Mkuu haendi na hampi peza zakufanya mikutano lakini anashangaa kuona mambo yanaenda Paul anaendelea kufanya mikutano! Aikupita muda mrefu mitandao ya kijamii hasa X ukaibua kashifa za Katibu Mkuu akaamua kujiudhuru wadhifa wa katibu mkuu!

Ziara za Chiristian Paul Makonda zikashika moto nalianza kwa maagizo kwa Waziri mkuu watu wakashika vinywa!! lakini ndiyo hivyo,hakuishoa hapo na waziri wakawa wanapewa maagizo ya kero anazokutana nazo kutoka kwa wananchi! Nakweli kijana anafanyazi ya uenezi.

Kwa upande wangu niliona anachokifanya ni sahihi hii nchi inamatatizo makubwa sana wananchi wanateseka sana sasa Makonda ndiye amebaki kutatua kero za wananchi kana kwamba yeye ndiye Maakamo wa Rais au Ndiye Waziri Mkuu au naibu wake! Hadi kero za ardhi anatatua utadhani nchi hii aina mawziri husika!! Kwangu mimi hii nchi inahitaji watu kama Makonda.

Ukuangalia kwa undani style ya Makonda ni ya Hayati Magufuli kiutendaji kitu kimoja anatakiwa kukifanya nikujiepusha na ukatili dhidi ya wapinzani wake kwani hakuna kitu utamfanyia binadamu mwenziyo wewe ukabaki salama na hasa katika kazi za siasa kwani siyo za kudumu!Hivyo Makonda tutegemee kuwa katika nafasi ya Juu kiutendaji.
Makonda ni jina ambalo watanzania wakilisikia tu mioyo yao wanasema Dkt Samia tena mpaka 2040!
 
Nilishalisema hili sana hapa JamiiForums ila kama kawaida Sikueleweka.

Na si tu kuwa Waziri Mkuu ila Ahadi alizodanganywa Paul Makonda ni Mbili ama awe Makamu wa Rais ( japo Dhehebu lake litakuwa ni Kikwazo kwakuwa si Roman Catholic ) au ya Uwaziri Mkuu.

Ambacho Paul Makonda hakijui na Simlaumu kwa kutolijua hilo kwani naturally hana Akili ni kwamba anatumika tu Kimkakati'ili Kumsafishia Mtu njia kwa wana Kanda ya Ziwa ila Uchaguzi Mkuu wa 2025 ukimalizika tu anaenda Kutupwa / Kutoswa na akileta Kidomodomo basi Kesi za Kuhusu yale mabaya aliyoyafanya akiwa DC Kinondoni na RC wa Dar es Salaam zinaibuliwa rasmi ili Kummaliza mazima.

Nafasi ambayo nina uhakika nayo kwa Huruma tu anaweza Kusawadiwa / Kupewa ni ile ya Ubalozi ama nchi za Asia au Afrika au Ubunge ili akatulie huko.

Na leo narudia tena Kusema nilichokisema Awali hapa hapa JamiiForums kuwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kwa Makundi Makubwa matano ya Kimafia yaliyoko CCM na yanayotaka Uongozi wa Juu wa Kiuteuzi huku Wote wakiwa wamehaidiwa hizo Nafasi kuna Vifo Viwili au Vitatu naviona ama kwa mwaka huu wa 2024 au huo ujao wa 2025.

Tunzeni mapema kabisa hii post yangu.

Nimemaliza.
 
Ni kweli GENTAMYCINE ila pia fahamu kuwa Makonda hana target ya hivyo vyeo, na kilichopo ni Makonda jinsi alivyo ndivyo alivyo, yaani upangiliaji wake wa hotuba na kauli unaona ni mtu fulani genius sana (najua unaweza kuwa na mtizamo wako labda unamfahamu zaidi) ila kwenye hadhira Makonda ni mwenye hekima na anaweza kuongea na watu wa hali zote na kueleweka (kwa sasa hakuna awaye yeyote kwa wanasiasa waliopo mwenye huo uwezo). Na eti alipoteuliwa Dotto Biteko wakasema eti amsaidie Mama kura kanda ya Ziwa sisi wachambuzi tulisema Biteko hana kabisa ushawishi hata hotuba zake hazina mvuto kabisa na hana uwezo wa ushawishi. Makonda hiyo kazi kaiweza pamoja na Dkt Nchimbi kumkemea akidhani Makonda atatetereka hapana kaendelea na msimamo wake. Kingine hakuna mwanasiasa aliyeenda kwenye kaburi la Dkt Magufuli na ku plege utiifu hata ktk umauti wake hakuna na ujue hicho kitu ktk ulimwengu mwingine kina nguvu sana. Kumbuka Dkt Magufuli alitakiwa kuwa wamemuua siku nyingi hao mafisadi ila walijaribu mara kadhaa wakashindwa na hatimaye kawa rais kwa hiyo jambo alilolipqnga Mungu binaadamu hawezi likwamisha
 
Ukuangalia kwa undani style ya Makonda ni ya Hayati Magufuli kiutendaji kitu kimoja anatakiwa kukifanya nikujiepusha na ukatili dhidi ya wapinzani wake kwani hakuna kitu utamfanyia binadamu mwenziyo wewe ukabaki salama na hasa katika kazi za siasa kwani siyo za kudumu!Hivyo Makonda tutegemee kuwa katika nafasi ya Juu kiutendaji.
Naunga mkono hoja kwenye bandiko hili Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... nilishauri
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali,

Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda
Paskali.
Hata baada ya kuteuliwa kuwa Mwenezi wa CCM, Paul Makonda bado anapigwa vita na wasiomtakia mema, wasioitakia mema CCM na wasio itakia mema Tanzania.

Japo Tanzania ni nchi ya vyama vingi, na kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, mamlaka kuu ya nchi ni wananchi, kupitia katiba, serikali ya CCM ilifanya mabadiliko ya katiba kinyume cha katiba na kupoka ukuu wa mamlaka kuu ya wananchi, na kuikakabidhi kwa chama cha siasa, ambapo sasa mamlaka Kuu ya nchi ni chama tawala, CCM ndio imeshika hatamu kuongoza serikali, hivyo katika ukuu wa chama, CCM ndio kila kitu, hivyo Makonda kama msemaji wa CCM, kikao cha CCM kinaweza kumwagiza Rais wa JMT atekeleze jambo lolote lililoelekezwa kwenye ilani ya CCM, Katibu Mwenezi ndie msimamizi wa ilani ya CCM, ana mamlaka yote ya kumuamrisha hadi Rais wa JMT, atekeleze ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo Makonda yuko very right kumuamrisha Waziri Mkuu na kumpa ultimatum ya miezi 6 kumaliza migogoro yote ya ardhi ya nchi hii.

Na baada ya miezi 6, kama Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa atashindwa kuitatua migogoro yote ya ardhi, atakuwa ni ameshindwa kazi, Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi, itakutana na kumuagiza Rais wa JMT, kumuondoa Waziri Mkuu, kwa kushindwa kazi na kumteua Waziri Mkuu mwingine mwenye uwezo.

Hata ikitokea Rais Samia ameshindwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM, chama kinaweza kumfuta uanachama na hivyo kupoteza urais!, hivyo Mwenezi wa CCM ni mtu mkubwa sana, kuliko serikali yote ya Tanzania, na hii ndio maana halisi ya Party Supremacy, CCM ndio imeshika hatamu za kuiongoza serikali ya Tanzania .

Hongera sana Mwenezi mpya wa CCM, Paul Makonda, kuiheshimisha CCM, endelea kutoa maagizo na ultimatum kwa viongozi wote kuhusiana na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, wewe ndiye msimamizi wa ilani ya CCM!.

Angalia ilani ya CCM imeelekeza nini kuhusu Bunge la JMT, toa maelekezo kwa Spika with ultimatums, Spika akishindwa kutekeleza Spika anaondolewa!, enzi za Spika Sitta, aliponea chupu chupu kuondolewa, kuna mtu mmoja very powerful ndani ya CCM aitwae "The King Maker" ndie alimuokoa Spika Sitta kwa kumpa maelekezo Mwenyekiti wa CCM, JK, na hii ndio salama yake!.

Makonda angalia ilani ya uchaguzi ya CCM inasema nini kuhusu mhimili wa Mahakama, toa maagizo with ultimatum kwa Jaji Mkuu atekeleze.

Angalia ilani ya uchaguzi inasema nini kuhusu majeshi, ulinzi na usalama, toa maelekezo with ultimatum kwa Amiri jeshi Mkuu na kwa Mkuu wa majeshi, IGP , etc.

Ila kwa nafasi ambazo sio za kichama kama Jaji Mkuu, Mkuu wa Majeshi, CAG, Mwenyekiti wa NEC, Msajili wa Vyama vya Siasa, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi, Mwenyekiti wa Tume ya Utawala Bora na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma ambao ni wateule wa rais, Paul Makonda anaweza kuwapa maelekezo bila ultimatums kwasababu hawa chama hakiwezi kuwafanya chochote, na badala yake, chama kitampa maelekezo mamlaka yake ya uteuzi ambaye ni Rais wa JMT, awaondoe!.

Kiukweli ninamkubali sana Paul Makonda!, Tangu nilipoanza kumkubali Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
He has never let me down!. Tena niliwahi kushauri Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... ushauri huu still stands, kwasababu miaka hii 4 ya Mama ni kumalizia awamu ya Magufuli, awamu ya baada ya Magufuli inaanza 2025, ila Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo you never know with politics, everything is possible!.

Paul Makonda kanyaga mwendo, chapa kazi, kazi iendelee!.
Paskali.
P
 
Wakuu JF wazima nimatumaini yangu,
Nianze kwa kusema hivi, Hakuna asiyemfahamu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kipindi cha Awamu ya Tano kabla ya uchaguzi wa 2020

Kwa Huruka yake unyanyasaji na ukatili kwa wapinzani na hadi kufikia kuvamia vituo vya Habari wote ni Mashaidi.
Akastaafu maneno ya kasemwa yeye akawa kimya hadi wengine walidriki kumshitaki lakini hakuwahi kusema chochote!

Mwishoni mwa mwaka jana 2023, Chama chake kikamteua kuwa Katibu itikadi na Uenezi Taifa! Watu wakaona kama hakustahili!maneno yakawa mengi huko na huku wakakutana na aliyekuwa Mkuu wa wolaya kipindi hicho akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam hadi aliwahi kumkalisha chini! ndiyo madaraka yalivyo ayajali umri!

Akamkuta ndiye ameshikilia kiti cha ukatibu Mkuu wa chama cha CCM ni Boss kweli! Tukapenyezwa kuwa Katibu Mkuu inaonyesha hapendi kufanya kazi na Makonda hata kwenye ziara za Mwenezi Katibu Mkuu haendi na hampi peza zakufanya mikutano lakini anashangaa kuona mambo yanaenda Paul anaendelea kufanya mikutano! Aikupita muda mrefu mitandao ya kijamii hasa X ukaibua kashifa za Katibu Mkuu akaamua kujiudhuru wadhifa wa katibu mkuu!

Ziara za Chiristian Paul Makonda zikashika moto nalianza kwa maagizo kwa Waziri mkuu watu wakashika vinywa!! lakini ndiyo hivyo,hakuishoa hapo na waziri wakawa wanapewa maagizo ya kero anazokutana nazo kutoka kwa wananchi! Nakweli kijana anafanyazi ya uenezi.

Kwa upande wangu niliona anachokifanya ni sahihi hii nchi inamatatizo makubwa sana wananchi wanateseka sana sasa Makonda ndiye amebaki kutatua kero za wananchi kana kwamba yeye ndiye Maakamo wa Rais au Ndiye Waziri Mkuu au naibu wake! Hadi kero za ardhi anatatua utadhani nchi hii aina mawziri husika!! Kwangu mimi hii nchi inahitaji watu kama Makonda.

Ukuangalia kwa undani style ya Makonda ni ya Hayati Magufuli kiutendaji kitu kimoja anatakiwa kukifanya nikujiepusha na ukatili dhidi ya wapinzani wake kwani hakuna kitu utamfanyia binadamu mwenziyo wewe ukabaki salama na hasa katika kazi za siasa kwani siyo za kudumu!Hivyo Makonda tutegemee kuwa katika nafasi ya Juu kiutendaji.
Hiyo itapendeza sana !
Lakini pia afanye toba sana !
Wazee aliowadhalilisha walimkabidhi Mungu machungu yao !! 🙏🙏
 
Back
Top Bottom