Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry amepigwa marufuku kuondoka Nchini humo kufuatia uchunguzi unaoendelea kuhusu kuhusika kwake katika mauaji ya Rais Jovenel Moïse yaliyotokea Julai 2021
Mwendesha Mashtaka anatazamia kufungua mashtaka dhidi ya Henry ambaye ametakiwa kuelezea uhusiano wake na...
Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa
Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi
Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali
Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko...
Kongole kwa reshuffle.
Nipongeze kwa mabadiliko kidogo ya Baraza la Mawaziri,kuna watu walikuwa mizigo kama Waziri wa Ujenzi na Nishati na umewatumbua.
Lakini sasa kuna watu umewaacha Barazani ila ni mizigo mizito,mtu kama Lukuvi na Mkuchika wameshachoka kwa sasa inafaa wapumzishwe...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Ama kweli dunia tambara bovu.
Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji.
Mbarawa ni kama mtu wa kisirani na mara nyingi hana focused objectives.
Tutegemee nini sasa sekta hii ya ujenzi maana huku mwishoni aliwaita...
Mara nyingi ukiona manaibu Waziri waliokuwa wamekaa kimya wanajitokeza na kutoa press Basi nidalili za kuamsha dude wasijeonekana wamepwaya.
Unakumbuka mjadala mkubwa unaoendelea mitandaoni baada ya kuteuliwa kwa mbunge stagomena Tax Ni juu ya mabadiliko ya baraza la Mawaziri.
Kipindi chote...
Mawaziri wote kwenye viapo vyao huwa wanaapa kuhifadhi, kuitetea na kuilinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kiapo hicho ni sheria na hupaswa kufuatwa kwa mtu yeyote anayepewa dhamana ya uwaziri kwani anakuwa anafanya kazi kwa niaba ya Rais wa nchi.
Jambo la kushangaza badala ya...
Mh waziri ni wazi unaongoza wizara muhimu Sana nakuomba pambana sana kuhakikisha kua haki inatawala ktk idara zako zote ili watanzania wawe na amani na tuzidi kudumisha upendo
Wiki hii iliyopita waziri mkuu wa jimbo la Quebec la kanada alifanya press conference kuzungumzia masuala ya ugonjwa huu.
Alionekana akitoa ishara ya kimasoni kabla ya mkutano kuanza.
Nini maana yake?
Hapa chini anaonekana amefumba jicho moja.
Je, ana chongo?
Anaumwa jicho?
Hapana.
Hiyo ni...
Je, Kuna sheria inayomtaka Rais kuteua Waziri wa Ulinzi baada ya muda fulani pale anapotenguliwa, kuacha uwaziri au kufariki?
Kama hakuna sheria je Kuna ulazima wa kuwa na Waziri wa Ulinzi? Na je Nini kilimsukuma JPM kuteua Waziri wa sheria Mara tu Mzee Maiga alipofariki?
Hii nchi tunashindwa tuiweke kundi gani, kundi la masikini au tajiri?
hivi huu ufujaji wa hela mnauelewa kweli yaaani stars kushinda mechi moja tu hata bado haijafudhu waziri anatoa hela anagawa kwanini usitoe zako mfukoni,
haya mambo ndio yanafanya tuendelee kukwepa kodi na tozo
WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la Posta Tanzania zijipange na zihakikishe zinaanza kutoa huduma katika...
Taharuki imetawala maeneo ya Mbagala-Zakhem, baada ya Polisi kupiga mabomu ya machozi kuwatuliza wafanyakazi zaidi ya 1,000 wanaotengeneza barabara ya mwendokasi kugoma wakishinikiza kulipwa stahiki zao.
Tukio hilo lilitokea leo, Septemba 6,2021 baada ya Polisi kupiga mabomu hayo mara mbili...
Habari wandugu. Ukifuatilia nchi nyingi utaona kuwa zina mmoja, Waziri Mkuu au Makamu wa Rais na si wote.
Na nchi nyingi zenye mawaziri wakuu ni zile za kifalme, wakati Jamhuri nyingi zina Makamu wa Rais. Na zingine zikiongozwa na waziri mkuu pekee, Rais akiwa ni ceremonial tu.
Na hata...
Sijajua Waziri Kalemani anakwama wapi, hivi sasa yeye ndiye Waziri anayedharaulika kuliko Mawaziri wote,
Maagizo yake mengi yamekuwa yakipuuzwa sijui anacheka cheka na Raia au tatizo nini?
Alianza na suala la Wananchi Vijijini waunganishiwe umeme haraka TANESCO wakampuuza,
Kafuata suala la...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania kuhakikisha wanalipa tozo za muziki unaopigwa katika redio zao ili kuwawezesha wasanii kupata haki zao.
Bashungwa amesema hayo jana Ijumaa Septemba 3, 2021 wakati akizinduzi kituo...
"Nazijua Siasa za ndani na nje ya Tanzania pengine kuliko Wanasiasa wengi nchini na nimezipractise in black and white nje ndani hivyo hakuna wa Kunidanganya"
Chanzo: Radio One Promo ya Kipindi cha dakika 45 cha Jumatatu ya tarehe 6 Septemba 2021.
Tafadhali kama Patrobas Katambi yupo ( ni JF...
Kupitia kwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa sh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua mahindi kutoka kwa wakulima.
“Uzalishaji wa mahindi ni mkubwa lakini na sisi pia tumeimarisha hifadhi yetu ya Taifa ya chakula. NFRA tumeipa fedha za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.